Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

Jp Omuga,
Taking people to the streets will never solve problem nor civil disobedience will.
Hata JKN hakutumia vitu kama hivyo kuwatoa wakoloni.

Best practice ni kukaa mezani na watawala na kuzungumza issues ambapo watawala wataona nini proposal yetu ina cha ku-offer.
I have great faith in some good people in government offices japo zina watu wengine wako very selfish kama mzee wetu mmoja ambae aliwahi kuvutua lots of cash kama commission and yet akazificha visiwa vya Jersey UK.

Ukiwa na such a person/persons with such attitude mambo mengi yanakwama.

JPM can and will make it to be one of the best leaders pale ambapo ataweza ku-collaborate na private sector hasa yenye wazawa sio wale wenye asili ya bara fulani.

Ni ngumu kupima uzalendo kwa vyeti, ila kwa head hunt ni rahisi kuwapata individuals wenye vision and mission of creating investments which can creat jobs locally.

Hata Mungu wa Mbunguni anataka twende kwake for the purpose of reasoning together. We should always seek for avenues to reason together with authorities to ensure best outcome are aimed to surface in the cause.
 
Tatizo watawala hawana maarifa pia wanatawala kwa kuwachukia watu wao ndio maana hata kama wanapewa ushauri wanakuwa wajeuri wakiamini mitutu ya bunduki inatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, suala la upendeleo kwa watawala ni la muda mrefu na liko duniani kote. Bush Sr akiwa Rais wa Nchi Marekani aliwajenga vijana wake na hawakuwa such brilliant ila in future wote wakawa governors. George Bush Jr akiwa Texas and nduguye akiwa Florida. Later in life Bush Jr akatwa Urais.

Tunakumbuka miaka ya 90 kuna wanasiasa waliwapa watoto wao nafasi za kuajiriwa BOT wakiwa just form 4 leavers. Yanatokeaga na ndiyo ubinadamu wenyewe. Kwa kuwa sio kila mmoja ni mtoto wa "mkubwa au anafahamiana na wakubwa", basi sio mbaya kama dirisha jingine lingefunguliwa walau hata kusema, kama una investment proposal ambayo inaweza kutengeneza ajira 200+ na annual revenue generation inaweza kufikia say 10 bil.

Hapo kuna young innovators wangeweza kuibuliwa kama ilivyo Silicon Valley. Kuna baadhi ya uwekezaji Tz unaweza kufanyika bila kutegemea hard cash toka hazina. Kuna PPP zinaweza kufanyika kwa endorsement tu ya serikali kutoa maeneo ya uwekezaji na legal endorsement kwa ku-hold shares kwenye such investment na jicho lake likiwepo ili mradi/uwekezaji usitoka of the track

Mwishoni everyone will win out of such initiative.

Well, we're thinking loudly. We all want the best for our motherland Tanzania and with the attitude of collaboration we can make a difference.
 
Freddie Matuja,
I agree to disagree with you...
Ujue hadi hao ulioweka imani yako juu yao wajue kuwa kuna tatizo ni lazima kwanza umma utume taarifa ya pamoja, kwa nguvu na msisitizo ule ule!

Kuhusu JKN na kuondoka kwa Wakoloni... Nadhani approach iliyotumika ndo bado inatuathiri hadi leo..
Uhuru tuliupata kitoto sana...yaani tuliupata wengi wakiwa hawajui ni kwa nini tunataka kuwa huru...!

(Ni kama ulivyo muungano wa Tanganyika na Zanzibar - changamoto zile zile)! Yes; nasema kitoto kwa sababu tulipewa kama zawadi na chochote ambacho ni kinapoteza umuhimu wake na thamani yake baada ya muda mfupi sana!

Yaani ni kama wewe leo nikutumie malaki kadhaa ya hela. Obviously hutojali ukomo wa matumizi yake simply because jasho lako au damu yako haina connection ya moja kwa moja!
 
Champ,
swala la ajira halijawahi kupata suluhisho na halitakaa lipate suluhisho: in advance ajira zinazidi kufa zaidi ya zinavotengenezwa mpya, and there is nothing you can do about it
 
Jp Omuga,
We may agree to disagree but whatever we think, ndiyo tushafikishwa hapa na historia ya Nyerere kutuletea uhuru. Nataka kuamini haikua kazi rahisi. Nyerere kajiunga na TAA then 7/7/1954 wakaunda TANU miaka 7 na miezi 5 baadae uhuru ukapatikana haikuwa kitu rahisi.

Kwa upende mwingine, sio nguvu na kumwaga damu huwa ni suluhisho la kila kitu. Wokoloni walikuja Afrika kama Wafanyabiashara, wapelelezi na wainjilishaji. Hawakutumia nguvu kaka physique kututawala. Walitumia strategy ya ulaghai. Fikiria Williamson kawakuta wasukuma Mwadui hawajui thamani ya almasi. Hakutumia nguvu, alitumia strategy ya ulaghai.

Ukisoma msingi wa strategy utajua ni kwanini yet hata baada ya wakoloni kuondoka Tanganyika na Africa, yet they still control fate of many African nations through strategy.

Unless we wakeup and design strategies, we'll think demonstration and mass movement can change things never. Angalia North Sudan, angali Algeria watu wameandamana, yet, ameondoka mtawala mmoja kaingia mtawala mwingine maisha bado magumu. Angalia maandamano Libya, ameondoka Ghadaffi situation turned to be more worse.

Hata Biblia yenyewe inatutaka kukaa kwa heshima na watawala for the sake of reasoning together. Systems were designed by men and it seem God endorsed them to establish governance.

So tuna nafasi ya kukaa na JPM na wasaidizi wake ili tuje na mkakati wa ajira. Sio sera. Sera ni open document ambayo mabeberu wanaweza kuijua na kuja na counter. Strategy ni hidden move ambayo wachache wanakuwa nayo in the course of implementation ndipo general public wanajuzwa
 
Ajira Ajira Ajira kwa vijana wasomi zimefifia Kipi kifanyike ili kuokoa ndoto za vijana wetu.
 
Ajira Ajira Ajira kwa vijana wasomi zimefifia Kipi kifanyike ili kuokoa ndoto za vijana wetu.
.Hawa jamaa sijui wanatania?nilivyokutana na huu uzi nikakumbuka hili bango jamaa walibandika juzi au hizi kazi zinakuwaga ngumu sana.
IMG_20200306_090227.jpg


Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
..................Hawa jamaa sijui wanatania?nilivyokutana na huu uzi nikakumbuka hili bango jamaa walibandika juzi au hizi kazi zinakuwaga ngumu sana.View attachment 1378432

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Mob no hizo hapo nenda katesti zari , then njoo hapa jamvinj utupe mrejesho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na nafikiria kitu kimoja hii hali ingeweza kumtisha jpm hivi tunavyoelekea uchaguzi angalau apunguze tatizo kwa sehemu ila wapi!

Sasa akipita hiyo 2020 si ndio hataajiri mtu hata mmoja!

Lakini Vijana tubadilike kimawazo na mtizamo unakuta graduate wako kwenye groups za wasap kujadili ujinga tu siku nzma!
Zaidi zaidi ukiwaambia Jamani tujifunze ata ufugaji wa kuku tu wanakuona mshamba na una mambo ya kizee!!
ipo siku akili itawakaa sawa tu
 
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.

Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.

Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
umewahi kulima wewe au unasema tu? hapo ulipo umepata kazi kwa kimemo
 
Back
Top Bottom