Jp Omuga,
We may agree to disagree but whatever we think, ndiyo tushafikishwa hapa na historia ya Nyerere kutuletea uhuru. Nataka kuamini haikua kazi rahisi. Nyerere kajiunga na TAA then 7/7/1954 wakaunda TANU miaka 7 na miezi 5 baadae uhuru ukapatikana haikuwa kitu rahisi.
Kwa upende mwingine, sio nguvu na kumwaga damu huwa ni suluhisho la kila kitu. Wokoloni walikuja Afrika kama Wafanyabiashara, wapelelezi na wainjilishaji. Hawakutumia nguvu kaka physique kututawala. Walitumia strategy ya ulaghai. Fikiria Williamson kawakuta wasukuma Mwadui hawajui thamani ya almasi. Hakutumia nguvu, alitumia strategy ya ulaghai.
Ukisoma msingi wa strategy utajua ni kwanini yet hata baada ya wakoloni kuondoka Tanganyika na Africa, yet they still control fate of many African nations through strategy.
Unless we wakeup and design strategies, we'll think demonstration and mass movement can change things never. Angalia North Sudan, angali Algeria watu wameandamana, yet, ameondoka mtawala mmoja kaingia mtawala mwingine maisha bado magumu. Angalia maandamano Libya, ameondoka Ghadaffi situation turned to be more worse.
Hata Biblia yenyewe inatutaka kukaa kwa heshima na watawala for the sake of reasoning together. Systems were designed by men and it seem God endorsed them to establish governance.
So tuna nafasi ya kukaa na JPM na wasaidizi wake ili tuje na mkakati wa ajira. Sio sera. Sera ni open document ambayo mabeberu wanaweza kuijua na kuja na counter. Strategy ni hidden move ambayo wachache wanakuwa nayo in the course of implementation ndipo general public wanajuzwa