King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Sikiliza majibu haya hapaYaani baada ya kujua kusoma na kuandika ukagundua kwamba Zanzibar haihitaji Bandari zake ziwe na Ufanisi. Pia hizo Nchi Sita zinahudumiwa hata na Bandari za Mbambabay, Kigoma na Mwanza.
Jiendeleze kiongozi kuepuka aibu ndogondogo.
Bandari za Zanzibar nizakupokelea tende TU mwezi mtukufu, na hata hizo tende zenyewe zinashukia pale na kuletwa Tanganyika. Ndio maana bidhaa za Zanzibar zilikuwa zinatozwa ushuru tena zinapoinguzwa bara. Nani anakwenda Zanzibar kufungasha nini.Kwanini wakwepe kuingiza bandari za Zanzibar wakati bandari ni swala la Muungano.
Kwani Zanzibar nao hawataki kunufaika na hao wawekezaji?
Kwa hiyo wewe una akili kuliko waliowekwa bandari kuwa swala la Muungano, kama bandari zao za kupokelea tender kwanini wanahangaika na bandari za Tanganyika?Bandari za Zanzibar nizakupokelea tende TU mwezi mtukufu, na hata hizo tende zenyewe zinashukia pale na kuletwa Tanganyika. Ndio maana bidhaa za Zanzibar zilikuwa zinatozwa ushuru tena zinapoinguzwa bara. Nani anakwenda Zanzibar kufungasha nini.
Umeandika vizuri huko juu kote lakini kuanzia paragraph hiyo hapo ndio nimeanza kuona hoja zako hazina msingi madhubuti.Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?
Upinzani mkubwa wa huu mradi ni majirani zetu Kenya wanaoumia kuona Tanzania inakwenda kuwa na bandari ya kisasa, cha kushangaza na kuchekesha ni kuona watanzania wenzetu wakiongea ujinga mwingi kwa nia tu ya kufanya kazi ya kupinga mradi pengine bila ya kujua kuwa wanawarahisishia kazi wapinzani wetu wa kiuchumi wa kaskazini.Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.
Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za:
1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari.
2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya kuhudumia bandari.
3. Usimamizi mbovu wa bandari.
4. Upigaji mkubwa bandarini.
5. Uwezo wa meli kubwa na nyingi kutia nanga.
6. Wizi mkubwa
Bandari zetu zinahudumia nchi nyingi zinazotuzunguuka ambazo hazina bandari tangu wakati wa ukoloni hadi Leo hii. Huduma ni mbovu sana tangu enzi hizo lakini hakuna mtu aliyewahi kuandamana kupinga huduma mbovu zinazotolewa hata pale wateja wa bandari zetu wanapolalamikia huduma mbovu na wizi hadi kutishia kutuhama. Ubovu huu ulikuwepo kwenye awamu zote za uongozi.
Nikizotizama sura na majina ya wanaotaka kuandamana kupinga bandari isikodishwe kwa DP World kampuni kutoka Dubai Wana harufu ya wale waliokuwa wakinufaika na ulegelege wa usimamizi wa bandari, wangetaka status quo bandarini pale na ni wale wale wanaopinga kila kitu Cha uarabuni. Yaani kule uarabuni hakuna zuri lolote zaidi ya dini zao.
Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?
Ujinga kama huu ndio unawafanya watawala kuwa madikteta hata kama hawataki kuwa hivyo kwa watu wake. Yaani mtu Yuko radhi hali iwe hivyo hivyo kwa maslahi yake na kundi lake TU.
Wako watu wanaopinga mkataba kwa sababu za kweli, wengine ujinga TU, wengine kwa wivu wa awamu ya 6 kufanikisha, wengine kwa maslahi yao TU na wengine kwasababu za kidini TU.
Hao tunaowapa bandari yetu lazima tuwape malengo na indicators ili kufanya kile tunachokusudia kutoka kwao ni nini Cha kufanya kama malengo yanakwenda kinyume na expectations, Lakini sio kupinga uwekezaji huu.
Kwa sababu hizo 6 ulizozitoa naona hata ikulu tuikodisheInafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.
Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za:
1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari.
2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya kuhudumia bandari.
3. Usimamizi mbovu wa bandari.
4. Upigaji mkubwa bandarini.
5. Uwezo wa meli kubwa na nyingi kutia nanga.
6. Wizi mkubwa
Bandari zetu zinahudumia nchi nyingi zinazotuzunguuka ambazo hazina bandari tangu wakati wa ukoloni hadi Leo hii. Huduma ni mbovu sana tangu enzi hizo lakini hakuna mtu aliyewahi kuandamana kupinga huduma mbovu zinazotolewa hata pale wateja wa bandari zetu wanapolalamikia huduma mbovu na wizi hadi kutishia kutuhama. Ubovu huu ulikuwepo kwenye awamu zote za uongozi.
Nikizotizama sura na majina ya wanaotaka kuandamana kupinga bandari isikodishwe kwa DP World kampuni kutoka Dubai Wana harufu ya wale waliokuwa wakinufaika na ulegelege wa usimamizi wa bandari, wangetaka status quo bandarini pale na ni wale wale wanaopinga kila kitu Cha uarabuni. Yaani kule uarabuni hakuna zuri lolote zaidi ya dini zao.
Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?
Ujinga kama huu ndio unawafanya watawala kuwa madikteta hata kama hawataki kuwa hivyo kwa watu wake. Yaani mtu Yuko radhi hali iwe hivyo hivyo kwa maslahi yake na kundi lake TU.
Wako watu wanaopinga mkataba kwa sababu za kweli, wengine ujinga TU, wengine kwa wivu wa awamu ya 6 kufanikisha, wengine kwa maslahi yao TU na wengine kwasababu za kidini TU.
Hao tunaowapa bandari yetu lazima tuwape malengo na indicators ili kufanya kile tunachokusudia kutoka kwao ni nini Cha kufanya kama malengo yanakwenda kinyume na expectations, Lakini sio kupinga uwekezaji huu.
Wanaohangaika na bandari za Tanganyika ni serikali ya Tanzania chini ya Rais mtanzania Mama Samia na bunge la Tanzania chini ya spika ambae ni mtanzania pia. Nchi yetu ni ya muungano hivyo tulieni mnyolewe.Kwa hiyo wewe una akili kuliko waliowekwa bandari kuwa swala la Muungano, kama bandari zao za kupokelea tender kwanini wanahangaika na bandari za Tanganyika?
Labda useme tuiondoe CCM madarakani kwanza ili tuone wengine wataendeshaje bandari, Lakini Miaka 62 ya Uhuru chini ya awamu tofauti hali ya bandari sio nzuri pamoja na kuwa tegemeo kwa nchi nyingi kupitisha bidhaa zao. Kama wengine wamebinafsisha mashirika ya umma, viwanja, migodi na hata nyumba za serikali, kwanini Samia ashindwe kubinafsisha bandari? au unaongelea ubaguzi wa utanzania bara na uvisiwani?Pointi YAKO ni dhaifu unapo Potezea Suala la Muda katika Mkataba. Na pia ni dhaifu zaidi Sana unapolinganisha ndoa za mikataba ya kiserkali za Dunia , na ndoa za kiimani za kidini.
Cha Msingi Cha kujiuliza ,> Kwanini Tusiziendeshe sisi wenyewe kwakuwa wataalamu wapo.
Wanachokwepa serikali ni kuimarisha usimamizi bandarini >>> Inawezekana Kabisa mfupa huu UMEWASHINDA.
Kama mfupa ni mgumu kwa awamu hii ya SITA, Basi ni busara wakauacha kusudi wenye meno imara awamu zijazo wautafune kwa ufanisi zaidi.
Kila kitu kina mwanzo na mwisho ni swala la muda nchi ya Tanganyika kurudi CCM wamewadanganya watanganyika muda mrefu kwa Muungano usio na kichwa Wala miguu ila Sasa hivi wamesahafunguka na zile propaganda za udini wameshazing'amuaWanaohangaika na bandari za Tanganyika ni serikali ya Tanzania chini ya Rais mtanzania Mama Samia na bunge la Tanzania chini ya spika ambae ni mtanzania pia. Nchi yetu ni ya muungano hivyo tulieni mnyolewe.
Mpaka Leo hii bado hujaona faida za muungano? Wakati wengine wanahangaika kutengeza BRICS wawe wengi wewe unahangaika kutengeneza Tanganyika. Akili kweli ni mali, asikudanganye mtu.Kila kitu kina mwanzo na mwisho ni swala la muda nchi ya Tanganyika kurudi CCM wamewadanganya watanganyika muda mrefu kwa Muungano usio na kichwa Wala miguu ila Sasa hivi wamesahafunguka na zile propaganda za udini wameshazing'amua
Mimi sisemi ubaki kama ulivyo lakini sisemi ni vibaya bandari yetu kuendeshwa kisasa kabisa katika sprit ya win-win. Mkataba lazima uwe na component ya win-win kwa pande zote, mwekezaji yeyote anataka kuhakikishiwa usalama wa mtaji wake kwa 100%. Wewe unaonaje kupewa mkataba wa miaka 20 TU huku ukikusudia kuwekeza ma trillions ya Dolla kwenye mradi. Hata pale mlimani city Kuna watu walikuwa na mawazo finyu sana wakati mwekezaji anapewa mkataba wa kujenga na kufanya biashara pale. Lilikuwa pori Sasa ni eneo maarifu na chuo kikuu Cha DSM kinavuna pesa.kavulata na King Nkondo kampeni mnazopiga ni kwamba mkataba huu ukubalike kama ulivyo???
Embu lihurumieni taifa lenu bana. Jaribuni kufikiria wajukuu zenu na vizazi vyenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo shida inapoanzia na wengi wanaopinga wanapinga kwa ukasuku tu. Sasa IGA ikaweke targets tena? Kwani mnapoambiwa kutakuwa na mikataba ya utekelezaji kwani mnaelewa vipi nyie watu? Yes, opportunities ni kwa bandari zote kutokana na business operations ya DP World ambayo inaweza kuhitaji ports integration or networking models.Hayo manufaa yamefungamanishwa kwenye kifungu gan cha mkataba?
Yaani kuna pahala kwenye mkataba kumewekwa hizo targets? Na hatua za kuchukuliwa ikiwa hawajameet hizo targets?
HALAFU KWANINI BANDARI ZOTE???
PIA, KWANINI TUSIPATE MANUFAA HAYO PANDE ZOTE ZA MUUNGANO???
Kwani Zanzibar hapana wakazi ambao watapokea mizigo kupitia bandari? Yaani bandari ya ziwa Manyara iwe na faidia afu ya Zanzibar isiwe na faida?Hapa ndipo shida inapoanzia na wengi wanaopinga wanapinga kwa ukasuku tu. Sasa IGA ikaweke targets tena? Kwani mnapoambiwa kutakuwa na mikataba ya utekelezaji kwani mnaelewa vipi nyie watu? Yes, opportunities ni kwa bandari zote kutokana na business operations ya DP World ambayo inaweza kuhitaji ports integration or networking models.
Bandari ni suala la Muungano kwenye context ya ulinzi na usalama kwani Bandari ni border kitafsiri ila katika uendeshaji na management Zanzibar wana structure yao. Lakini pia katika hali ya kawaida hata kama wewe ndo ungekuwa ndio investor, Bandari ya Zanzibar utaifanyia nini? Ili usifanyie nini? Definitely haina manufaa yoyote ya kiuwekezaji.
Sikikizeni nafsi zenu vzrMimi sisemi ubaki kama ulivyo lakini sisemi ni vibaya bandari yetu kuendeshwa kisasa kabisa katika sprit ya win-win. Mkataba lazima uwe na component ya win-win kwa pande zote, mwekezaji yeyote anataka kuhakikishiwa usalama wa mtaji wake kwa 100%. Wewe unaonaje kupewa mkataba wa miaka 20 TU huku ukikusudia kuwekeza ma trillions ya Dolla kwenye mradi. Hata pale mlimani city Kuna watu walikuwa na mawazo finyu sana wakati mwekezaji anapewa mkataba wa kujenga na kufanya biashara pale. Lilikuwa pori Sasa ni eneo maarifu na chuo kikuu Cha DSM kinavuna pesa.
Usichanganye sasa na kuwa mpole. Kwanza jielemishe kwani ports zimewekwa kwa ujumla wake. Ni wazi kwamba sio kila Bandari ataenda kuweka huo uwekezaji, no. Ports integration ndio itabainisha Bandari ili na ipi inahitajika mfumo wa uendeshaji wa kisasa.Kwani Zanzibar hapana wakazi ambao watapokea mizigo kupitia bandari? Yaani bandari ya ziwa Manyara iwe na faidia afu ya Zanzibar isiwe na faida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tatizo gan kuuweka wazi mkataba? kwann unaweka blanket la all opportunities ? kwani utajuaje kama kutatokea fursa upande Zanzibar siku za baadaye? Acheni kutufanya wajinga. CCM itaondolewa na hiki kitu, Muungano utavunjwa na hili suala. Acheni kampeni hizi hazitawasaidia karekebishane mkataba uwe wa maslahi kwa taifa basi.Usichanganye sasa na kuwa mpole. Kwanza jielemishe kwani ports zimewekwa kwa ujumla wake. Ni wazi kwamba sio kila Bandari ataenda kuweka huo uwekezaji, no. Ports integration ndio itabainisha Bandari ili na ipi inahitajika mfumo wa uendeshaji wa kisasa.
Zanzibar yenye watu milioni moja ndio ukalinganishe Tanzania Bara+7 countries ambayo inakuwa uhakika wawatu takribani milioni 400?
Hakuna Muungano wa changuchangu Cha kwako Cha wote.Mpaka Leo hii bado hujaona faida za muungano? Wakati wengine wanahangaika kutengeza BRICS wawe wengi wewe unahangaika kutengeneza Tanganyika. Akili kweli ni mali, asikudanganye mtu.