Maswali mazuri haya.Hayo manufaa yamefungamanishwa kwenye kifungu gan cha mkataba?
Yaani kuna pahala kwenye mkataba kumewekwa hizo targets? Na hatua za kuchukuliwa ikiwa hawajameet hizo targets?
HALAFU KWANINI BANDARI ZOTE???
PIA, KWANINI TUSIPATE HAYO PANDE ZOTE ZA MUUNGANO???
Aisee kila nikirudia kusoma hiki ulichoandika nazidi kukuhurumia na kulihurumia taifa langu, hivi brother una percent kwenye hili suala? hivi kweli ndo umeona kabisa kwa akili zako timamu ushabikie hili suala au umeruhusu kushikiwa akili?Usichanganye sasa na kuwa mpole. Kwanza jielemishe kwani ports zimewekwa kwa ujumla wake. Ni wazi kwamba sio kila Bandari ataenda kuweka huo uwekezaji, no. Ports integration ndio itabainisha Bandari ili na ipi inahitajika mfumo wa uendeshaji wa kisasa.
Zanzibar yenye watu milioni moja ndio ukalinganishe Tanzania Bara+7 countries ambayo inakuwa uhakika wawatu takribani milioni 400?
Una uhakika na kwamba unacho kinena?Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.
Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za:
1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari.
2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya kuhudumia bandari.
3. Usimamizi mbovu wa bandari.
4. Upigaji mkubwa bandarini.
5. Uwezo wa meli kubwa na nyingi kutia nanga.
6. Wizi mkubwa
Bandari zetu zinahudumia nchi nyingi zinazotuzunguuka ambazo hazina bandari tangu wakati wa ukoloni hadi Leo hii. Huduma ni mbovu sana tangu enzi hizo lakini hakuna mtu aliyewahi kuandamana kupinga huduma mbovu zinazotolewa hata pale wateja wa bandari zetu wanapolalamikia huduma mbovu na wizi hadi kutishia kutuhama. Ubovu huu ulikuwepo kwenye awamu zote za uongozi.
Nikizotizama sura na majina ya wanaotaka kuandamana kupinga bandari isikodishwe kwa DP World kampuni kutoka Dubai Wana harufu ya wale waliokuwa wakinufaika na ulegelege wa usimamizi wa bandari, wangetaka status quo bandarini pale na ni wale wale wanaopinga kila kitu Cha uarabuni. Yaani kule uarabuni hakuna zuri lolote zaidi ya dini zao.
Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?
Ujinga kama huu ndio unawafanya watawala kuwa madikteta hata kama hawataki kuwa hivyo kwa watu wake. Yaani mtu Yuko radhi hali iwe hivyo hivyo kwa maslahi yake na kundi lake TU.
Wako watu wanaopinga mkataba kwa sababu za kweli, wengine ujinga TU, wengine kwa wivu wa awamu ya 6 kufanikisha, wengine kwa maslahi yao TU na wengine kwasababu za kidini TU.
Hao tunaowapa bandari yetu lazima tuwape malengo na indicators ili kufanya kile tunachokusudia kutoka kwao ni nini Cha kufanya kama malengo yanakwenda kinyume na expectations, Lakini sio kupinga uwekezaji huu.
https://www.facebook.com/Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.

Wako loliondo zaidi ya kuiba wanyama na kupeleka kwako ni nn tunapata?Manufaa ni ufasini na mapato wa bandari kuliko ilivyo Sasa. Sasa hivi wateja wetu wanalalamika kila wakati kuwa mizigogo Yao inachelewa na inaibiwa bandarini lakini hatuna Cha kufanya. Sasa Mama Samia amekuja na kitu Cha kufanya watu tuache kulalama prematurely.
Sishabikii ila nawashangaa nyie hamuelewi wapi lakini? Mbona hivyo vifungu mnavyopiga navyo kelele havina shida hizo mnaopayuka nazo. Believe me, issue ya Bandari kuna watu wanawaingiza king kwa interest zao. Mimi siamini kuwa watu kama akina Tundu Lissu hawajui kuwa issue sio tense kama inavyojadiliwa ila wao wana agenda zao na wengine wanataka kum frustrate Samia.hivi kweli ndo umeona kabisa kwa akili zako timamu ushabikie hili suala au umeruhusu kushikiwa akili?
Warekebishe au wasirekebishe mkataba hauna shida za kiiivyo badala yake Serikali iweke nguvu kwenye mikataba ya utekelezaji tu basi ambayo kwangu mimi naona ndio muhimu zaidi. Tunawaambia Zanzibar wana mfumo wao wa kuendesha Bandari yao. Bandari ni suala la Muungano kwasababu, Bandari ni mpaka hivyo kiulinzi na usalama lazima liwe suala la Muungano.Acheni kampeni hizi hazitawasaidia karekebishane mkataba uwe wa maslahi kwa taifa basi
Hivi nyie mnadhani jambo la kuandika na kusaini mkataba ni la usiku mmoja? Umewahi kuwa negotiator wa mambo ya Tarde and Investment? Kuna baadhi ya articles mle huwezi kuzielewa kama wewe si negotiator and implementer.Kwani Zanzibar hapana wakazi ambao watapokea mizigo kupitia bandari? Yaani bandari ya ziwa Manyara iwe na faidia afu ya Zanzibar isiwe na faida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba nimeusoma wote mkuu, siwezi kusign mkataba ule, aliyeusugn namshangaa sanaWarekebishe au wasirekebishe mkataba hauna shida za kiiivyo badala yake Serikali iweke nguvu kwenye mikataba ya utekelezaji tu basi ambayo kwangu mimi naona ndio muhimu zaidi. Tunawaambia Zanzibar wana mfumo wao wa kuendesha Bandari yao. Bandari ni suala la Muungano kwasababu, Bandari ni mpaka hivyo kiulinzi na usalama lazima liwe suala la Muungano.
Tafuta mkataba uusome hauna shida za hivyo kama wanavyopiga kelele zaidi ya kutafuta political milage.
Niambie shida zake kwa kunielewesha na mie nielewe. Mimi nimeona zipo shida lkn so minor tofauti na jinsi zinavyokuzwa mitaani. Naomba niambie shida za mkataba huo wa IGA iko wapi? KaribuMkataba nimeusoma wote mkuu, siwezi kusign mkataba ule, aliyeusugn namshangaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Simuoni mtu wa kuuvunja muungano huu. Binafsi sioni hata ni kwanini Zanzibar iwe na serikali Yao maana Zanzibar Ina rasilimali Chache sana ambazo asilimia kubwa ya rasilimali zake zinatumika kwenye kulipana mishahara TU baasi. Watu 1,000,000 lakini Wana msululu wa Marais wastaafu wanaolipwa, mawaziri, wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa vilaya, wakuu wa tarafa na kata, wakuruhenzi, na watumishi wa umma.Kuna tatizo gan kuuweka wazi mkataba? kwann unaweka blanket la all opportunities ? kwani utajuaje kama kutatokea fursa upande Zanzibar siku za baadaye? Acheni kutufanya wajinga. CCM itaondolewa na hiki kitu, Muungano utavunjwa na hili suala. Acheni kampeni hizi hazitawasaidia karekebishane mkataba uwe wa maslahi kwa taifa basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu zako ziko 6.Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.
Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali zikiwemo zile za:
1. Ukosefu wa utaalam wa kuendesha bandari.
2. Ukosefu wa vifaa vya vya kisiasa vya kuhudumia bandari.
3. Usimamizi mbovu wa bandari.
4. Upigaji mkubwa bandarini.
5. Uwezo wa meli kubwa na nyingi kutia nanga.
6. Wizi mkubwa
Bandari zetu zinahudumia nchi nyingi zinazotuzunguuka ambazo hazina bandari tangu wakati wa ukoloni hadi Leo hii. Huduma ni mbovu sana tangu enzi hizo lakini hakuna mtu aliyewahi kuandamana kupinga huduma mbovu zinazotolewa hata pale wateja wa bandari zetu wanapolalamikia huduma mbovu na wizi hadi kutishia kutuhama. Ubovu huu ulikuwepo kwenye awamu zote za uongozi.
Nikizotizama sura na majina ya wanaotaka kuandamana kupinga bandari isikodishwe kwa DP World kampuni kutoka Dubai Wana harufu ya wale waliokuwa wakinufaika na ulegelege wa usimamizi wa bandari, wangetaka status quo bandarini pale na ni wale wale wanaopinga kila kitu Cha uarabuni. Yaani kule uarabuni hakuna zuri lolote zaidi ya dini zao.
Hivi ni kweli tatizo la mkataba ni kukosekana ukomo wa muda TU? Mbona hata kwenye mkataba wa ndoa hakuna muda lakini wanandoa wanaachana na kutengana pia? Je, kama ukomo utawekwa mkataba utakuwa halali?
Ujinga kama huu ndio unawafanya watawala kuwa madikteta hata kama hawataki kuwa hivyo kwa watu wake. Yaani mtu Yuko radhi hali iwe hivyo hivyo kwa maslahi yake na kundi lake TU.
Wako watu wanaopinga mkataba kwa sababu za kweli, wengine ujinga TU, wengine kwa wivu wa awamu ya 6 kufanikisha, wengine kwa maslahi yao TU na wengine kwasababu za kidini TU.
Hao tunaowapa bandari yetu lazima tuwape malengo na indicators ili kufanya kile tunachokusudia kutoka kwao ni nini Cha kufanya kama malengo yanakwenda kinyume na expectations, Lakini sio kupinga uwekezaji huu.
Hapa umeongea ukweli na lazima nikupongeze. Wanaoutunza huu muungano uwepo hadi leo ni watanganyika wakati wazanzibar pia wananufaika sana na muungano huu kwa njia mbalimbali. Binafsi ninafahamu kuwa Nyerere hakukusudia kuwa Tanzania itakuwa na Marais 2 kwa wakati mmoja. Yeye alidhani kwa kuiondoa serikali ya Tanganyika basi na wenzake wangeiondoa serikali ya Mapinduzi na kubaki serikali ya Tan(ganyika)zan(zibar)nia, haikuwa hivyo, haiko hivyo na haitakuwa hivyo kwa namna ninavyoona, na wala hakuna Mzanzibar mwenye ndoto kama hiyo.Hakuna Muungano wa changuchangu Cha kwako Cha wote.
Walioanzisha Muungano walikuwa na ndoto ya Muungano wa nchi Moja ndio maana Karume alimwambia Nyerere wewe kuwa rais na Mimi makamu tuwe nchi Moja,l lakini Nyerere hakuwa na haraka alitaka vizazi vikacho vikiona faida ya Muungano vije kudai serikali Moja lakini upande mmoja unajiona wao ni waarabu na kuamua kuiuza Tanganyika kwa waarabu.
Hata Nyerere angekuwepo angevunja huu Muungano kwani tuliungana na WA Zanzibar na sio hao waarabu.
Kaka bandari sio kama madini na miti ya mbao kuwa vinaisha baada ya miaka fulani ya uvunaji. Bandari ni rasilimali ambayo kama huoni tofauti/tija unaichukua hata kwa kumchinja anaekataa kuiachia. Magufuli alivunja mikataba mingapi ya ndani na nje isiyokuwa na tija kwa taifa? mbona nchi ipo na sisi tupo pamoja na mikataba kuvunjwa? Hii sio nchi ya kisulutani viongozi wote wanapita na Rais ajae anakuwa na mamlaka kamili ya kubadili chochote. Tanzania ina sulutani mmoja tu ambae ni CCM.Aisee kila nikirudia kusoma hiki ulichoandika nazidi kukuhurumia na kulihurumia taifa langu, hivi brother una percent kwenye hili suala? hivi kweli ndo umeona kabisa kwa akili zako timamu ushabikie hili suala au umeruhusu kushikiwa akili?
Yaani mfano bandari ni yako utaitoa kwa namna hii? Au unaamua tu liwalo na liwe kwa sababu ni ya wengi. Yatakurudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujakataa uwekezajiManufaa ni ufasini na mapato wa bandari kuliko ilivyo Sasa. Sasa hivi wateja wetu wanalalamika kila wakati kuwa mizigogo Yao inachelewa na inaibiwa bandarini lakini hatuna Cha kufanya. Sasa Mama Samia amekuja na kitu Cha kufanya watu tuache kulalama prematurely.