Wapi nimekunja uso kwa kuambiwa hatuna utawalanwa sheria?"Ashurutishwe".... Mkiambiwa hatuna utawala wa sheria ni udikteta tu mnakunja uso. Ona sasa watu walivyolewa madaraka. Very foolish indeed.
Duh! afadhali umeliona. maana kubishana na wewe inataka nguvu kama za katapila 😂 😂Kuna vipengele vipya vinajadiliwa vinasema kumuondoa baada ya miaka mitano kufuate process kama ya impeachment.
Inaonekana Magufuli hajaifuata process hiyo, na hapo ndipo anaweza kuwa kavunja katiba.
Profesa Shivji katweet kuhusu hii process.
Maandiko yangu ya awali hayakuwa informed kuhusu hiki kipengele.
Thanks @MissileofTheNation
Weka hoja tu, kama una hoja sina sababu ya kukataa hoja.Duh! afadhali umeliona. maana kubishana na wewe inataka nguvu kama za katapila [emoji23] [emoji23]
Nilitaka nikukaribishe lunch ya kijerumaniSiingii ndani. Sijuani na yoyote hapo. Mimi ni raia wa kawaida tu. Nitapita hapo nje ya jengo.
Sawa mkuu...Weka hoja tu, kama una hoja sina sababu ya kukataa hoja.
Page number ngapi ktk report ya CAG kahoji 1.5T ?Alisema lakini mkamtishia kumfanyizia unyama ikiwemo Ndungai kumtishia akaamua kunyamaza lakini tr 1.5 imepigwa na utawala huu unaojiita wa kizalendo
Sijui kwa nini watu wanashindwa kukuelewa mkuu. Lugha nyepesi, maelezo mazuri na ya kueleweka.Inawezekana kabisa Magufuli akawa kaweka CAG mpya ili wapate kupiga pesa kwenye miradi, au kutumia pesa bila kuingikiwa na CAG.
Hakuna popote nilipopinga hilo. Kwa kweli nimeeleza hapo juu kwamba CAG kukatazwa kukagua vitabu vya ATCL ni jambo la aibu na fedheha.
Halafu hapo hapo, hayo yote hayafanyi kuondolewa kwa CAG Assad kukawa kumefanywa kwa kuvunja katiba.
Sijasema kwamba Magufuli kamuondoa Assad kwa nia nzuri. In fact ukinisoma hapo juu ninesema Assad ameondoleea kwa sababu ya msimamo wake.
Lakini hilo halimaanishi kuondolewa kwa Assad ni kuvunja katiba.
Tujadili mambo kwa kina bila mihemuko.
Mtu akisema "Magufuli hajavunja katiba kumuondoa Assad" haimaanishi amesema "Magufuli kamuondoa Assad kwa nia nzuri na Magufuli hana mawaa yoyote kwenye miradi mikubwa".
Jua kusoma kwa ufahamu.
Jua kusoma kwa mantiki.
Jua kwamba rais mwenye nia mbaya anaweza kumuondoa CAG bila kuvunja katiba, na mtu akisema rais kamuondoa CAG bila kuvunja katiba, hilo halina maana kwamba rais amemuindoa CAG kwa nia nzuri.
You sound like you have an overly presumptive one track mind.
Anamjua/hata kumfahamu shivji huyo unayemuulizaUmeelewa alichoandika Shivji?!
and may god forgive me, he /she will never understand you. He/she seem to be too emotional.I can understand the way you feel but if you don't mind, please allow me to ignore you, once and for all!
Nimecheka kwa sauti pamoja nipo hospital nasubiria mjibu eti umri umekaa kishirikina.Nimeshakujibu Raisi Hana mandate ya kumteua mtu for less than 5 years kwenye U CAG .Professor Assad kabakiza miaka miwili ya kufikia 60 ya kikatiba .Asingeweza kupewa 5 years huyo .Rais angekuwa kavunja katiba.Lakini professor Assad angekuwa na miaka 55 Raisi angeweza kumpa akafikia 60.Na akifikia 60 angeweza akitaka kumpa mingine Mitano afikishe 65 ya kuidhinishwa na ubunge .
Tatizo umri wa Assad umekaa vibaya hauingii vizuri kwenye katiba umekaa kishirikina
Kama hatakuwa eligible then kuna procedure zinazotakiwa kuchukuliwa, sio kumuondoa tuShall be eligible maana yake ni kwamba, kwanza kabisa neno "shall" ni neno linaloonesha ulazima, kwamba jambo hili halina mjadala, si ombi, ni amri.
Kwa hiyo kwanza kabisa sentensi inaanza na jambo la ulazima.
Eligible maana yake ni mtu mwenye sifa za kuweza kufanya kitu, kupata kazi fulani etc.
Kwa mfano. All MPs are eligible for cabinet positions. Being an MP is a prerequisite to being a cabinet minister. But not all MPs are cabinet ministers.
Eligibility carries potential.
All Tanzanians of majority age and good mental capacities, are eligible to vote, but that does not mean all these Tanzanians do vote.
Assad was eligible to be re-appointed.
But that does not mean it was a must for him to be re-appointed.
Magufuli is eligible to be president for a second term. But that does not mean he must bepresident for a second term.
Kuna tofauti kati ya "shall be eligible for renewal" na " shall be renewed".
This is a Technical Knock Out.
Zaidi, shall be eligible for renewal for one term only maana yake mwisho wa renewal ni term ya miaka mitano. Kwa maana ya jwamba baada ya miaka 10, anaondolewa hawezi kuwa renewed kwa mara ya pili.
Sasa, katiba ikimwambia rais kwamba huyu hatakiwi kuwa renewed zaidi ya mara moja, hilo halina maana ni lazima awe renewed.
Magufuli simpendi kwa mengi. Lakini hapa hakwenda kinyume na katiba.
Nimeshajadili yote hayo hapo juu.Kama hatakuwa eligible then kuna procedure zinazotakiwa kuchukuliwa, sio kumuondoa tu
lisemwalo lipo, la, laja. Kama kuna uvunjaji wa katiba, na ajae akaja na mwendelezo, kuna binadamu atauhisi uchungu wa mkuki.Upo sahihi kabisa!!!
Kasome Katiba ya Tanzania Ibara ya 144(6);Paskali huyu Mussa Assad hajastaafu bali amemaliza mkataba wake wa Miaka mitano!!! Akipenda anaweza kurudi UDSM akafundishe ndio astaafie huko!!
Siku hizi umeishiwa kabisa ufahamu mkuu, yaani kwenye tovuti ya Serikali kuna picha za CAG's wote tangu Uhuru, tangu wazungu hadi Utoh wa juzi, lakini Assad wa Jana hayumo na wewe unapelemba kuunga mkono upuuzi!!?Ni sawa, kuanzia leo tayari tuna CAG mpya.
P
Kwa mtizamo wako binafsi lakini kwa mtizamo wa wengi katiba imekiukwa sana endeleeni kuisigina katiba lakini siku magufuli akistaafu wate watakaolindwa na CAG watashitakiwa ingawa magufuli yeye binafsi atakuwa na kinga zakeMtazunguuka, mtalalamika, mtasononeka na kulaumu sana; lakini bado ukweli unabaki palepale kwamba katiba imeruhusu jambo lifanyike au lisifanyike. Mfano kwa nini katiba isiseme CAG akiteuliwa abaki madarakani kwa vipindi vya miaka kumi hata kama umri wake ni miaka 90?
Kwa nini kuwe na lugha za kuzunguka zunguka? Shall, elidible nk?
Kwa maoni yangu naona JPM yupo sahihi kuteua yeyote anayemtaka kwa sababu katiba haijamzuia.
Tena ingekuwa mimi ndio simple ningemteua Jessica kuwa siejii.
Nayeye boys, hajawa terminated, contract take one expire, Bora tupate cag ana basic knowledge ya law