Shall be eligible maana yake ni kwamba, kwanza kabisa neno "shall" ni neno linaloonesha ulazima, kwamba jambo hili halina mjadala, si ombi, ni amri.
Kwa hiyo kwanza kabisa sentensi inaanza na jambo la ulazima.
Eligible maana yake ni mtu mwenye sifa za kuweza kufanya kitu, kupata kazi fulani etc.
Kwa mfano. All MPs are eligible for cabinet positions. Being an MP is a prerequisite to being a cabinet minister. But not all MPs are cabinet ministers.
Eligibility carries potential.
All Tanzanians of majority age and good mental capacities, are eligible to vote, but that does not mean all these Tanzanians do vote.
Assad was eligible to be re-appointed.
But that does not mean it was a must for him to be re-appointed.
Magufuli is eligible to be president for a second term. But that does not mean he must bepresident for a second term.
Kuna tofauti kati ya "shall be eligible for renewal" na " shall be renewed".
This is a Technical Knock Out.
Zaidi, shall be eligible for renewal for one term only maana yake mwisho wa renewal ni term ya miaka mitano. Kwa maana ya jwamba baada ya miaka 10, anaondolewa hawezi kuwa renewed kwa mara ya pili.
Sasa, katiba ikimwambia rais kwamba huyu hatakiwi kuwa renewed zaidi ya mara moja, hilo halina maana ni lazima awe renewed.
Magufuli simpendi kwa mengi. Lakini hapa hakwenda kinyume na katiba.