Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hawa jamaa wanajiita wasomi lakini nashangaa anatafsiri shall kisheria huku akinyamaza kuhusu eligibility.
Kitu wanachosahau hata kwenye urais maneno hayo hayo yametumika lakini iko siku rais atatawala miaka mitano watu watasema katiba imevunjwa.
Nina imani kabla ya kuandaa uzi huu, ulipitia uzi huu kwanza.Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika kuanzisha uzi huu ili kuondoa mapungufu yote hayo.
Rais anapewa mamlaka hayo kwa CAG na watendaji wengine Serikali aliowateua kwa sheria yoyote kwa mamlaka aliuonayo katika Ibara ya 36. Tena 36(3) ndio inampa mamlaka ya jumla zaidi ya kudeal na tatizo lolote kwa nia ya kuweka utulivu katika utumishi kwa kuweza kumtengua mtu yeyote aliyemteua.
Ukifasiri neno "shall" katika Sheria ya Ukaguzi ili kumtetea CAG Assad kwamba ilikuwa lazima aendelee miaka mitano ya pili ni kuleta dhahama kubwa nchini inayoweza kushawishi hata Uchaguzi Mkuu wa Mwakani usifanyike. Najua utashangaa!!!
Ndio, tafsiri ya Zitto na wenzake ni ya hatari zaidi kwa nchi kwani ukisoma Ibara ya 40 ya Katiba inapozungumzia Rais aliyeko madarakani kwa kipindi cha miaka mitano ya mwanzo kuwa anaweza kuchaguliwa tena kwa miaka mingine mitano ya pili na ya mwisho neno lililotumika ni "shall."
Kama tafsiri SISISI na "shallow" ya ACT ni ya kufuatwa basi kwa muktadha wa neno "Shall" pia katika Ibara ya 40 ya Katiba, Rais Magufuli naye mwakani hakuna haja ya kupimwa utendaji wake kwa kurudi katika sanduku la kura, aendelee tu, kusiwe na uchaguzi, aapishwe moja kwa moja kuendelea na Urais maana "shall" ina maana ya LAZIMA.
Lakini hapana, muradi wa "shall" katika masuala ya utawala sio kama inavyotumika katika sheria za kawaida, hapa bado dhana ya mhusika kuwa "subjected to good performance" kwa kutazamwa utendaji wake kama unaridhisha mamlaka ya uteuzi (kwa kesi ya CAG) na kwa kurudi kuomba kura tena kwa wananchi (kwa kesi ya Rais) ndio utaratibu kabla ya kulamba awamu ya pili.
Maoni yangu ya kitaalamu ni kuwa CAG anayemaliza muda wake kesho hakuonewa na kama ni kuonewa au aliyemteua ana nia mbaya angeweza kuondolewa hata kabla hajamaliza miaka hii mitano.
Ibara ya 144(2) inampa madaraka Rais kumuondoa CAG kwa sababu ya utendaji mbovu, maradhi au sababu nyingine yoyote.
Nimeona wengi wanasema Rais hawezi kufanya hivyo mpaka aunde Tume, si kweli. Watanzania tuachane na kasumba ya kutosoma kwa umakini.
Tuzisome sheria vyema na tunaposhindwa kuelewa tuwatafute wataalamu sio wanasiasa.
Jiwe hakumtaka toka mwanzo katuma watu kupika zengwe, job mpambe tuTatizo Raisi amefanya haya kwa Mihemko, Kudanganywa na Kujidanganga, Kushauriwa vibaya na Kujishauri vibaya na On top of that Kwa CHUKI binafsi.
Raisi amevunja Katiba ALIYOAPA kuilinda huku akimtaja MUNGU anayedai kumtanguliza mbele'
Shall ina maana hiyo hiyo popote pale.
Haibadiliki maana itumiwapo kwenye fani tofauti.
Hata ikitumiwa kwenye neurology, maana yake ni ile ile tu. Ni modal verb inayoelezea ulazima.
Sijawahi ona popote pale ambapo shall ina maana tofauti.
Kwahiyo mkuu Mwl. Wako Prof.Shivji kachemka katika comments yake aliyosema procedure hazikufuatwa.Tumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu kwasababu ameacha Legacy.
Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
Hizo habari za shall be eligible kwanza zinazungumzia term limits, kwamba asiwe renewed zaidi ya mara moja, mwisho wa CAG kutumikia ni terms mbili.Let me ask you this...
Shall be eligible for renewal and shall be reappointed for another 5 year term.
Which one of those expresses a necessity and which one expresses a possibility?
I feel like I’m back to being an English teacher again [emoji1787]
Sana na watakuja kujutia baadae pindi wakiwa jela baada ya utawala huu wa kukumbatia CAG wa ndiyo mzee kutoka madarakaniAssad Akili kubwa
Kuna vifungu ambavyi Magufuli kavunja, lakini si hiki.Kimsingi sheria ilipotamka
The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.
Lengo la kifungu hiki cha kililenga kumzuia Rais kumteua CAG kwa zaidi ya vipindi viwili.
Kifungu hiki hakikutaka kumpa Rais uwezo wa kuamua kumpa CAG kipindi kimoja cha miaka 5 au vipindi viwili, kama CAG hajafikisha umri wa ukomo.
Alianza kumkataa baada ya kumuumbua juu ya upotevu wa Tr 1.5Jiwe hakumtaka toka mwanzo katuma watu kupika zengwe, job mpambe tu
Hiyo ni maamuzi ya mteuaji,huwezi kumuingilia kwenye maamuzi yake.Hij ndio point! Kwa nn hajaongezewa? Na sio kuvunjwa katiba
Hizo habari za shall be eligible kwanza zinazungumzia term limits, kwamba asiwe renewed zaidi ya mara moja, mwisho wa CAG kutumikia ni terms mbili.
Kwa hiyo hicho kifungu hakihusiani na Rais ku renew au kuto renew mkataba sasa. Hicho kifungu kingehusika 2024 kama Assad angekuwa CAG bado, rais asingeweza kum renew kuwa CAG.
Magufuli inaonekana kavunja katiba, lakini si kwenye kifungu hicho.
Kuna kofungu kingine kinasema CAG kuondolewa, hata kama ni baada ya miaka mitano, ni lazima aundiwe imoeachment tribunal.
Inaonekana kazi ya CAG kama hujawa imoeached na tribunal unafanya terms mbili, na iki kuishia term moja inabidi upatikane na makosa na imoeachment tribunal.
Profesa Shivji pia ali tweet akiomba radhi na kusahihisa maneno yake ya awali, akasema katiba imeweka process ya kumuindoa CAG.
Inaonekana Magufuli kajiamulia tu bila kufuata impeachment tribunal.
Kamaliza wapi mda wake? Mmeogopa akifika ATCL mtaumbuka kama mlivyoumbuka kwa zile tilion 1.5 mmeamua kumkimbiza haraka kabla hajawaumbua mkatapa Aibu , mdako upi akacheze? Kwa uadilifu wake hatakosa kazi ya kufanya na maisha kuendelea kama kawaidaasa mtu kamaliza muda wake na kale alikuwa anakafanya kama ka mhimili mpaka anakuwa mbishi muacheni akacheze mdako huko na wenzie
Anaweza kuteuliwa kwa term moja nyingine. Usiangalie neno shall pekee, angalia pia neno eligible. Eligible imepunguza nguvu ya neno shall kuwa lazimaMkuu pale inaposema and shall be eligible for renewal of on term only ina maana gani hasa hilo neno shall
Uteuzi batili lazima ukemewe hata akikaidi msg kaipata vizuriHiyo ni maamuzi ya mteuaji,huwezi kumuingilia kwenye maamuzi yake.