Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Kama tumemuamini tumuache Rais atekeleza majukumu yake. Maneno mengi hayana faida wala hayana msaada kwa taifa tuwaache wazee walio juu wazungumze naye kama kuna ukweli. Tunaongea sana mpaka tunaharibu.
 
Acheni kujitia wazimu kwani leo ni mara ya kwanza hiyo inayoitwa katiba kuvunjwa ?
 
Watanzania tuamke,

-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252749
Kasome vizuri sharia ya CAG
Atakaa madarakani kwa miaka mitano
Ni uamuzi wa ngazi ya uteuzi kumuongezea muhula au la
Assad atarudi kwenye ajira yake UDSM
 
Watanzania tuamke,

-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252749

Unakomaa na kuteseka kupata reference

Tatizo siku hizi kuna watu mnajua mno.....na mnaona wengine wajinga

CAG MPYA anajulikana

Pia unatumia wrong version
 
Watanzania tuamke,

-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252749
Huyu ametimiza miaka yake ya mkataba wa miaka 8 au 10 kama sikosei...
 
Watanzania tuamke,

-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252749
Maendeleo yana vyama
 
Assad hajastaafishwa. Amemaliza mkataba wake wa miaka mitano ambao haujaongezwa tena.

Rais ana prerogative ya kuongeza mkataba huo kwa miaka mitano mingine, au kutoongeza.

Magufuli kamtoa Assad kwa sababu Assad ni mtu wa msimamo.

Lakini, Magufuli hajamtoa Assad kinyume na katiba.
 
Acha Apumzike mzee kufanya kazi na watu wapumbavu ni kama kuzidi kumshushia heshima. Kwa mtu makini hawezi kufanya kazi na Magufuli.
Ni kweli jiwe hawezi kufanya kazi na watu makini na wenye msimamo. Anawapenda wale aliowaokota jalalani.
 
Watanzania tuamke,

-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252749
Nenda mahakamani
 
Back
Top Bottom