Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

You know how it turned to be personal here?! If you don't, then let me remind you!!

I asked more than once to provide a reference to support your argument, but you didn't, and instead, you relied on your PERSONAL understanding of English "vocabularies"!

I like this!

That's where a lot of people miss the point!

You can't directly say "SHALL BE RENEWED" as an alternative means to discredit SHALL BE ELIGIBLE FOR RENEWAL because there's age barrier for the post of CAG which's 65 years.

That being said, the correct phrase is shall be eligible for renewal provided there's no any barrier either, as per our constitution, Public Audit Act 2008, or any of our written law.

And the only barrier that needs no additional processing is age, and all other possible barriers shall be handled as per Article 144(3) of our Constitution because that will be a CAG REMOVAL from the office.


Mie nafikiri msingi wa hoja inabidi ujikite kwenye ubovu wa katiba lakini sio kutafsiri shall. Haijalishi ni kisheria au la, ikiwa inavunja misingi ya lugha husika kiasi hicho itakua tunapoteza muda sana kujifunza lugha za watu.

Tufanye shall inamaanisha ulazima wa kuteuliwa kipindi cha pili. Inamaana CAG anaeteuliwa lazima ihakikishwe kwamba umri wake wa kustaafu utafikia baada ya mihula miwili ya miaka mitano mitano.

Akistaafu ndani ya muhula mmoja si ile shall inakosa nguvu?

Na anatakiwa asistaafu akiwa kwenye muhula wa kwanza wa miaka mitano. Kwa sababu ni lazima atumikie mhula wa kwanza wa miaka mitano.

Hii ni kusema umri ni kigezo muhimu sana inapokuja uteuzi wa CAG.
 
Mwenye mamlaka ya kuteua ndiye anayekaguliwa. Asipopenda ukaguzi wako lazima akuadhibu!
 
Hata wewe unakosea tafasiri ya sheria na katiba; Assad hakuondolewa madarakani bali alimaliza kipindi chake kwa mujibu wa sheria. Tunaposema kuondolewa madarakani ni pale anaposimamishwa kabla hajamaliza muda wake; yeye kamaliza muda wake wa miaka mitano bali hakuongezewa, na sheria iko wazi kabisa kuhusu hilo. Ile kutunga tume ni pale rais anapokuwa anataka kuterminate contract ya CAG kabla ya muhula wake.
Soma para yangu ya pili yote. Na hakuna nilipotafsiri sheria. Nimetoa hoja tu ambazo naona mjadala kuhusu CAG (kuondolewa/kumaliza muda wake) hazijaguswa.
 
Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi!

Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika kuanzisha uzi huu ili kuondoa mapungufu yote hayo.

Tuendelee.

Bila kujaza vifungu vingi, Katiba yetu Ibara ya 144 (1) inasema wazi kwamba:-
Kwamba, CAG ATALAZIMIKA kuachia ofisi akifikisha miaka 60 au umri mwingine wowote utakaotajwa na sheria zilizotengenezwa na Bunge!

SWALI 1: Je, Profesa Mussa Assad amefikisha miaka 60?! Jibu HAPANA kwa sababu kumbukumbu zinaonesha amezaliwa Oktoba 06, 1961... kwa maana nyingine, atafikisha miaka 60 Oktoba 5, 2021.

SWALI 2: Je, Bunge limetaja huo UMRI MWINGINE WOWOTE?!

Jibu linapatikana kwenye Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma, yaani Public Audit Act ya mwaka 2008, Ibara ya 6(2)(a) inayosema:-

Kumbe, Bunge likatunga sheria kwamba badala ya miaka 60, hatimae CAG ATALAZIMIKA kuachia ofisi akifikisha miaka 65. Tumeona Prof Assad ndo kwanza ana miaka 58.

SWALI 3: Nini hutokea CAG akimaliza miaka 5 ya kwanza?!

Hapa tena jibu linapatikana kutoka Public Audit Act 2008 Ibara ya 6 (1) inayosema:-Hapo kwenye neno SHALL ndipo panapozua mgogoro!!

Watetezi wa uamuzi wa Rais wanasema neno SHALL sio shuruti! Kwa bahati mbaya sana, tafsiri yao wanaitoa kichwani na sio kwa mujibu wa sheria zetu!

Kwa mujibu wa sheria zetu, na kwa kuangalia Interpretation of Laws Act Ibara ya 53 (1&2) inasema kwamba:-
Kumbe, kwa mujibu wa sheria zetu, pasipo na SHURUTI hutumika neno MAY lakini linapotumika neno SHALL, hiyo ni SHURUTI!

Kwa maana nyingine, Public Audit Act inaposema "...and shall be eligible for renewal for one term only. Hapo suala la renewal ni SHURUTI kama ilivyosema Interpretation of Laws Act 53 (2).

Itakuwa sio SHURUTI either kama ameshafikisha miaka 65, au kama ambavyo 2008 Public Audit Act Ibara ya 6(2)(a) inavyosema kwamba:-Kwa maana nyingine, kwavile Prof Assad hajafikisha miaka 65, hapo tafsiri yake ni kwamba AMETUMBULIWA na sio kwamba muda wake umeisha!!

Na CAG atatumbuliwa "...Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution."

Hiyo Ibara ya 144(3) ya Katiba yetu inasemaje? Jibu ni hili:-If the President considers that the question of the removal of the Controller and Auditor-General from office under the provisions of this Article needs to be investigated, then the procedure shall be as follows:Kama tulivyoona hapo juu, CAG atalazimika kuachia ofisi endapo atakuwa amefikisha miaka 65, kinyume chake anaweza KUTUMBULIWA kabla ya huo umri ikiwa ametenda jambo linalohitaji investigation.

Hivyo basi, ni ama Rais atengue uamuzi wake wa awali wa kuteua CAG mwingine, au tuone akiunda Tume ya Kijaji ya Kumchunguza CAG kwa kosa analojua yeye na timu yake!!

CAG akiongezewa miaka mingine 5, ataimaliza akiwa na umri wa miaka 63... umri halali kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma ya mwaka 2008!!

Zaidi soma:

[/QUOTE]

Nyie mnaoshadadia hebu tuambieni siri ya kesebusebu na kihelehele hicho! Tz tupo wengi sana, na sio lazima CAG awe Assad, ng'we yake moja kamaliza na ashukuru Mungu hakutumbuliwa hasa baada ya kwenda kwa mabepari na kuisema vibaya nchi yetu! Na pia ashukuru Mungu hakutumbuliwa alipoingia kwenye mkanganyiko na bunge letu kwa kuliita majina ya udhalilishaji! Sasa akae pembeni aache wengine nao wafanye kazi! Hakuzaliwa kuwa CAG! Kama alikuwa na agenda nyingine, basi ajue kuwa kasha shitukiwa na hao aliowaahidi upuuzi wajue wameangukia pua! By the way, eligibility is one thing and to get what you are eligible for is another thing….kustahili ni jambo moja na kupata unachostahili ni jambo jingine!
Kila mtanzania yupo eligible/anastahili kulitumikia taifa lake ktk nafasi yoyote ambayo anao uwezo nayo. Kwa kusema hivyo, hata kichele nae vilevile anastahili kuwa CAG kama jinsi ambavyo Assad mliona anastahili. Kwa vigezo vilivyopo Kichele amestahili zaidi ya Assad na ndio maana amepewa Kichele badala ya Assad. Ukweli pamoja na uchungu wake ndio huo…mwenye wivu we saga chupa tu…hakuna jinsi!
Tumpe muda Kichele nae afanye yake, na akileta za kuleta atatumbuka tu hamna jinsi! Tz kwa sasa tunaye rais! Gob bless Tanzania!
 
Hapa mimi pia nimewaza na kuwazua lakini mwishoni kabisa nimeng'amua kuwa huyu Jason Paramaribo Marinda ni Mbwamwitu aliyejivika tu vazi la kondoo[emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
Kuna vitu vilivyo nyuma ya pazia vinavyomhusu Assad! Vitajulikana muda mfupi ujao hamtaamini!
 
Mbona Katiba na sheria zote husika zimeshwekwa hapa yote; yaani hujazisoma? Ngoja nikutafutie za kiswahili.

Katiba inasema hivi
View attachment 1254378

Hapa kuna mambo mawili ambayo wote wanopiga kele hapa hawayaoni.
(1) Udumu wake kwenye madaraka, unategemea na sheria iliyotungwa na Bunge.
2) katiba inazuiwa asiondolewe kwenye madaraka yake kiholelea, lakini katiba hasisema atakaa madarakani miaka mingapi, bali jukumu hilo limeachwa mikononi mwa Bunge kutunga sheria itakayotawala urefu wa kipndi cha madaraka ya CAG.

Sasa sheria ya Bunge ya Public Audit Act ya mwaka 2008 kuhusu CAG inasema hivi:

View attachment 1254380

Sheria hiyo inasema kuwa an fixed term ya miaka mitano tu, ila anaweza kupewa renewa kwa kipindi kingine kimoja. Zaidi zaid, Sheria hiyo imeongeza muda kuwa miaka sitini na tano ambayo ni zaidi ya iliyo kwenye Katiba.

Kilio kingi hapa ni kwa sababu jamaa alikuwa ni political na akawa ana propagate mawazo ya vyama fulani hata pale data ziliku siyo upande wake. Ukipitia ripoti zote alizotoa miaka mitatu iliyopita zote ziko clean, lakini akisha kuwa mbele ya maikrofoni tu anaanza kutunga ngonjera.



Soma sheria hiyo ya Public Audits Act ya 2008 kifungu cha 6 sehemu ya 1; nimeweka hapo juu. Sijapata tafsiri yake ya kiswhaili, ila kama utataka ya kiswahili sema nitakutafutia.
Hiyo Ibara ya 6(1) ya Public Audit Act inasema
The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.
Kwanini hiyo conjunction AND huwa mnai-drop?!

Kwamba:-
Sheria hiyo inasema kuwa an fixed term ya miaka mitano tu...
hiyo TU umeiongezea wewe kwa sababu sheria inasema "a fixed term of years and..."

Aidha, "SHALL BE ELIGIBLE" sio ANAWEZA bali ATASTAHILI, na tukiistafisri ibara husika itakuwa "Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Umma atadumu ofisini kwa muda wa miaka 5 na atastahili nyongeza ya muhula mmoja tu."
Kilio kingi hapa ni kwa sababu jamaa alikuwa ni political na akawa ana propagate mawazo ya vyama fulani hata pale data ziliku siyo upande wake.
Jana nilikupa changamoto unitajie mfano mmoja wa hizo siasa alizoleta kwenye kazi lakini hukufanya hivyo! Leo hii umeongeza phrase nyingine kwamba alikuwa anasambaza mawazo ya vyama fulani vya siasa!!!

Je, leo hii unaweza kutoa mifano hai ya hizo siasa alizokuwa analeta na usambazaji wake wa mawazo ya hivyo vyama fulani?!

Mbona Katiba na sheria zote husika zimeshwekwa hapa yote; yaani hujazisoma? Ngoja nikutafutie za kiswahili
Man, nisome mara ngapi?! Kwani ni kifungu gani hapo ulichonipatia ambacho hakipo kwenye thread niliyoiandika?!

Last but not least, hebu tuangalie katiba za wenzetu jinsi lilivyotumika neno shall be eligible, hapa kuna Katiba ya US, Article II, Section 1, Clause 5 inayosema:-
No person except a natural born citizen, or a citizen of the United States, at the time of the adoption of this Constitution, shall be eligible to the office of President; neither shall any person be eligible to that office who shall not have attained to the age of thirty five years, and been fourteen Years a resident within the United States
Now tell me: Can you doubt the boldness ya hiyo phrase in RED? Hiyo section, na phrase iliyotumika kwako ina-sound kuwa na mbadala? [/QUOTE]
 
Nyie mnaoshadadia hebu tuambieni siri ya kesebusebu na kihelehele hicho! Tz tupo wengi sana, na sio lazima CAG awe Assad, ng'we yake moja kamaliza na ashukuru Mungu hakutumbuliwa hasa baada ya kwenda kwa mabepari na kuisema vibaya nchi yetu! Na pia ashukuru Mungu hakutumbuliwa alipoingia kwenye mkanganyiko na bunge letu kwa kuliita majina ya udhalilishaji! Sasa akae pembeni aache wengine nao wafanye kazi! Hakuzaliwa kuwa CAG! Kama alikuwa na agenda nyingine, basi ajue kuwa kasha shitukiwa na hao aliowaahidi upuuzi wajue wameangukia pua! By the way, eligibility is one thing and to get what you are eligible for is another thing….kustahili ni jambo moja na kupata unachostahili ni jambo jingine!
Kila mtanzania yupo eligible/anastahili kulitumikia taifa lake ktk nafasi yoyote ambayo anao uwezo nayo. Kwa kusema hivyo, hata kichele nae vilevile anastahili kuwa CAG kama jinsi ambavyo Assad mliona anastahili. Kwa vigezo vilivyopo Kichele amestahili zaidi ya Assad na ndio maana amepewa Kichele badala ya Assad. Ukweli pamoja na uchungu wake ndio huo…mwenye wivu we saga chupa tu…hakuna jinsi!
Tumpe muda Kichele nae afanye yake, na akileta za kuleta atatumbuka tu hamna jinsi! Tz kwa sasa tunaye rais! Gob bless Tanzania!
Would you mind if I opt to ignore you?!
 
Chige njoo utusaidie kutafsiri tena shall ilivyotumika hapa mkuu.

Ibara ya 40 (1) ya katiba inasema;

40.-(1) Subject to the other provisions of this Article, any person who holds office as President shall be eligible for re-election to that office.

(2) No person shall be elected more than twice to hold the office of President.
Hili nimeshajibu mara kadhaa!! Mosi, kwanini tutumie Ibara inayohusiana na masuala ya urais ku-discredit au kuhalalisha Ibara inayomuhusu CAG wakati sifa za uchaguzi na uteuzi wao havifanani?!

Pili, nimeshasema mara kadhaa kwamba SHALL imetafsiriwa na our own INTERPRETATION OF LAWS ACT inayosema:-
SHALL2.png

That being said, hiyo siyo tafsiri yangu! Na nikatoa hadi mifano mingine nje ya sheria zetu kwamba:-
SHALL1.png


Na nikatoa hadi mifano ya nchi kama US ambao wamekuwa waki-replace hilo neno SHALL na MUST kwa sababu na wenyewe ilikuwa inakanganya hivyo hivyo! Ukienda Law School unafundishwa SHALL in mandatory, ukija kwenye general English use, inaonekana sio mandatory kihivyo!

Lakini nikitaka kuizungumzia hiyo Ibara uliyoweka ambayo kimsingi haistahili kuwepo kwenye mjadala huu, mosi, kwangu naona hiyo Ibara ina mapugufu wanaposema "Subject to the other provisions of this Article, any person who holds office as President shall be eligible for re-election to that office."

Ina mapungu kwa sababu hiyo re-election inatakiwa isi-violate vifungu vingine vya katiba (constitution) na sio vya ibara(article). Ukisoma Article mzima, na sub-articles zake, hakuna popote walipotaja eligibility requirements kwa mtu kugombea urais... sana sana kwenye moja ya sub-article wamemtaja Makamu wa Rais.

Kwa maana nyingine, kwa maoni yangu naamini Ibara ilitakiwa isomeke "Subject to the other provisions of this Constitution, any person who holds office as President shall be eligible for re-election to that office." Kwa sababu hiyo re-election itategemea na muhusika kupitishwa na chama, na suala hilo limetajwa kwenye ibara zingine za katiba na sio kwenye any sub-article of Article 40!
 
Hiyo Ibara ya 6(1) ya Public Audit Act inasema Kwanini hiyo conjunction AND huwa mnai-drop?!

Kwamba:- hiyo TU umeiongezea wewe kwa sababu sheria inasema "a fixed term of years and..."

Aidha, "SHALL BE ELIGIBLE" sio ANAWEZA bali ATASTAHILI, na tukiistafisri ibara husika itakuwa "Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Umma atadumu ofisini kwa muda wa miaka 5 na atastahili nyongeza ya muhula mmoja tu."
Jana nilikupa changamoto unitajie mfano mmoja wa hizo siasa alizoleta kwenye kazi lakini hukufanya hivyo! Leo hii umeongeza phrase nyingine kwamba alikuwa anasambaza mawazo ya vyama fulani vya siasa!!!

Je, leo hii unaweza kutoa mifano hai ya hizo siasa alizokuwa analeta na usambazaji wake wa mawazo ya hivyo vyama fulani?!

Man, nisome mara ngapi?! Kwani ni kifungu gani hapo ulichonipatia ambacho hakipo kwenye thread niliyoiandika?!

Last but not least, hebu tuangalie katiba za wenzetu jinsi lilivyotumika neno shall be eligible, hapa kuna Katiba ya US, Article II, Section 1, Clause 5 inayosema:-Now tell me: Can you doubt the boldness ya hiyo phrase in RED? Hiyo section, na phrase iliyotumika kwako ina-sound kuwa na mbadala?

Umetumia muda mwingi sana kukopi na kukatakata bila substance yoyote. Eligibility siyo kustahili ni kuwa na sifa. Assad ni eligible kuwa CAG kwa miaka mitano mingine na so Charles naye ni eligible kuwa CAG kwa miaka mitano ijayo. Sheria ingetaka astahili kuendelea miaka mingine mitano ingesema and shall deserve ..., ambayo pia bado haitoi guarantee kuwa ataendelea. Kama sheria ingetaka aendelee kwa vipindi viwili, ingesema explicitly kuwa
The Controller and Auditor-General shall hold office for two fixed terms of five years each.

Mengine yote uliyoandika ni projo tu; hakuna substance yoyote; sheria iko wazi kabisa.
 
You know how it turned to be personal here?! If you don't, then let me remind you!!

I asked more than once to provide a reference to support your argument, but you didn't, and instead, you relied on your PERSONAL understanding of English "vocabularies"!

Lame. There was absolutely no justification for you getting personal with me.

I wasn’t relying on my personal understanding of English vocabularies. That is just your own preconception.

You just had to throw that personal dig. You couldn’t help it!!!

Oh well, whatever floats your boat and gives you hope. I’ll let it slide.
I like this!

Really?

That's where a lot of people miss the point!

Okay, let’s see.

You can't directly say "SHALL BE RENEWED" as an alternative means to discredit SHALL BE ELIGIBLE FOR RENEWAL because there's age barrier for the post of CAG which's 65 years.

Oh yes you can. Unless you don’t know how to say it.

That language can easily be tightened.

Once all other eligibility factors have been met, age included, I don’t see why I can’t say the tenure shall be renewed.

That being said, the correct phrase is shall be eligible for renewal provided there's no any barrier either, as per our constitution, Public Audit Act 2008, or any of our written law.

You are wrong. If all other eligibility factors/ conditions have been met, age included, why can’t you say the CAG’s tenure ‘shall be renewed’.

Sorry, you are wrong on this one. Your reasoning just doesn’t cut it.

And the only barrier that needs no additional processing is age, and all other possible barriers shall be handled as per Article 144(3) of our Constitution because that will be a CAG REMOVAL from the office.

What??

You’re just not making any sense.

Figuring out someone’s age is not rocket science. It’s simple arithmetic.

I repeat, if all eligibility conditions have been met, including age, which can be figured out by subtraction, the language can be tightened instead of leaving a wrinke that adds another meaning to it.
 
Umetumia muda mwingi sana kukopi na kukatakata bila substance yoyote. Eligibility siyo kustahili ni kuwa na sifa. Assad ni eligible kuwa CAG kwa miaka mitano mingine na so Charles naye ni eligible kuwa CAG kwa miaka mitano ijayo. Sheria ingetaka astahili kuendelea miaka mingine mitano ingesema and shall deserve ...

Mengine yote uliyoandika ni projo tu; hakuna substance yoyote; sheria iko wazi kabisa.

Hahahaa.

Naona kinachomsumbua ni uelewa tu wa lugha ya Kiingereza.
 
Kwasisi tuliosoma Government Accounts, inabidi tukatupe MADESA na VITABU Vyetu. CAG huwa haondolewi kwa kumaliza Mda!
Ila ameamua kufanya hivyo akijua Watanzania wengi Wataishia kubishana Wenyewe Badala ya kumpinga Mtuhumiwa, endeleeni Kubishana.
Wabongo kila mtu ni bush Lawyer
 
Kaka utashupaza mishipa yote ya shingo weeee...
Lakini unatetea ubeberu na ukandamizaji wa haki za watumishi!
Labda huko serikalini ndo mambo hayo ya kuviziana yanafanyika..!
Private sector uteuzi wa kibabe kiasi hiki ukitokea dhidi yako then wahi CMA kachukue siti za mbele make Kuna dalili nyingi sana za "Un-Fair Termination"
Watakuwa wamekurahisishia kustaafu kwa Neema!
Sidhani kuna haja ya kuzidi kumaliza kifurushi changu kwa kubishana mambo ya kufikirika,Assad kesha ondoka kwa hiyo sioni haja ya kuzungumzia mambo ya kwanini,kwanini.
 
Kumekua na mjadala mkubwa wa CAG kuachia ngazi!! Lakn tunapaswa kuhitimisha kwa kusema CAG kafukuzwa na si lugha nyingine. Sababu ya kusema hivyo ni hii hapa.

Katokana na unyeti wa kazi ya CAG Sheria zetu zinasema mtu atakayekalia kiti cha UCAG hatarusiwa kufanya kazi nyingine ya umma baada ya kuacha kazi hiyo.
Sasa ni kusema kwamba kama mtu alikua CAG ukamtoa akiwa na miaka 50 jua ndio mwisho wa utumishi wake. Msitegemee zile kauli za atapangiwa kazi nyingine mtu aliyewahi kuwa CAG.

Kwa maana hiyo huyu kafukuzwa kazi akiwa na miaka 58. Hii miwili unakua umemsitaafisha kwa lazma na kumpola haki yake. Lakini mtu anayestaafishwa kwa masrahi ya umma lazma ni yule mwenye tatizo.
Je Pr Assad alikua na tatizo?

Ukienda kumuuliza ASSAD anakwambia amefukuzwa. Na ndio maana mara zote alisema ile ni termination# na sio kumaliza muda wake kama serikali inavyodai.

Kama mnasema hajastaafu kwa lazima kabla ya muda wake je ataendelea kupewa mshahara mpaka afike miaka ya kustaafu?? Kama anapewa kiinua mgongo kitakua cha miaka mingapi??

Nihitimishe kwa kusema serikali isisite kuweka ukweli hadharani wa nini kilichotokea kwa Pr ASSAD maana maneno ya mheshimiwa rais yalikua wazi CAG aliyepita alikua na matatizo kwa serikali kwa kujifanya mhimili na kutoelewana na mihimili mingine ikiwemo bunge. Na ndio maana huyu mpya akapewa onyo nawe ukujifanya mhimili nitakutoa hata ndani ya mwaka mmoja. Hapa Duniani aliyepewa mamlaka ya kuteua kapewa na kutengua!

Yangu mimi ni hayo. Lakn ni swali la nyongeza ni halali kumsitaafisha mtu kwa lazma bila hiali yake??
 
Hilo swali lako la mwisho ulishalipa majibu huko juu kwenye maelezo yako, nafikiri alipewa barua kwa mujibu wa sheria, ndomana kwa miezi miwili nyuma akiandaa mashamba yake alijua kesho yake. Otherwise pongezi kwake kwa kumaliza kazi kwa namna ile, Prof is bold
 
Nmeshangazwa na haya mapambio dhidi ya CAG Prof Assad. Wengi wa wasiomfahamu wanamuona kwa yeye kuendesha IST ni mtu aliyejishusha sana na ni mwenzao.

Prof Assad anachofanya ni kucheza na akili za Watanzania. Mimi namfahamu akiwa anamiliki Benz pale UDSM na sijajua kama kwa sasa hana gari nyingine au ni maamuzi tu kutumia IST.

Kuna picha moja ashawahi kupiga Mo Dewji akiwa amepanda boda boda. Hii iliwapa sana faraja Watanzania. Lakini wanasahau Mo alipanda bodaboda wakati kuna Range Rove inamsubiri sehemu. Wewe unapanda bodaboda sababu ndiyo usafiri unaomudu.

Siku Mo Dewji akitembea kwa miguu toka anapoishi mpaka ofisini si sawa na wewe kutembea kwa miguu toka unapoishi mpaka ofisini. Yeye atakuwa anafanya mazoezi. Wewe utatembea sababu huna nauli.

Push-ups ukiamua upige mwenyewe hata 100 ni mazoezi. Push-ups hizo hizo ukiambiwa na mtu kwa kulazimishwa upige 50 ni adhabu.

Prof Assad kutumia IST si kwa sababu yeye ni maskini. Ni maamuzi tu but anaweza kuwa na gari za thamani zaidi. Anafahamu akili za Watanzania. Angeweza kwenda hata na bodaboda na wakashangilia sana kuwa huyu ni mwenzetu kabisa amejishusha.

Katika kujishusha pia kuna maana yake. Ni rahisi kwa mtu ambaye yupo juu kushuka chini na asifikiri ni shida, but kwa mtu aliye chini, siku zote hutamani kuwa juu. Je, aliye juu anaweza kujishusha chini na kuendelea kukaa chini?

Katika maisha kuna maigizo mengi. Tujiulize: Je, tunasoma na watoto wa Pro-Assad Nyanyembe Secondary Schools? Au Kitangoma Primary School? Je walisoma nasi Nyegehizi High School?

Je, huyu aliyejishusha anaishi nasi Buguruni kwa Mnyamani, au anaishi nasi Kigogo Mburahati? Tutofautishe maisha halisi na maigizo ndugu Watanzania.
 
Back
Top Bottom