Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Niko na mechiMapumziko ya....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko na mechiMapumziko ya....
Kazi ipo....Niko na mechi
...sio ndogo mkuu, hawa viumbe michosho sana lakini 6×6 watamu na kamvua hakaKazi ipo....
Mi nikajua unazungumzia mechi ya mpira [emoji23]Sio ndogo mkuu hawa viumbe michosho sana lakini 6×6 watamu na kamvua haka
Ni mechi ya kibailojiaMi nikajua unazungumzia mechi ya mpira [emoji23]
[emoji419]Sioni sababu ya mtu kubadilika ili aweze ku fiti kwenye malengo ya mwanadamu mwingne , utakuwa ni utumwa sasa tafuta wakufanana na wewe.
NAKAZIANdoa ni mradi qa kumfaidisha mwanamke mwishoni na si eneo ambapo mwanaume atapata upendo wa dhati na kupendwa kwa yeye kama yeye. Mwanamke anatazama wewe unampatia nini. Akitokea mwanaume wa kumpa anachotaka wewe ni wa kazi gani tena kwake.
Sasa huo si ni upuuzi. Me nikae napiga goti kuomba upuuzi. Hapa watapata dudu mali kila mtu atafute zake. Imesha hiyo.
Nani kakudanganya princess arianatatizo sisi akina dada wa nyumbani hamtutaki, ila ndo waifu matirio kasoro hatuna kazi na biashara..
mkipata wenye kazi zao wanawapelekesha mzobe mzobe ndo kama ivyo [emoji1]
Hahahahah ndoa ni fumbo la imani.Wanofaidi ndoa ni wale watu pori , kiukweli ndoa za mjini mwanaume usiwe mjuaji , oa tuu ili kujenga familia basi wanawake wa mjini ni pasua kichwa haswaa...hata hvyo ni hao hao tuu unakomaa nao , hawa viumbe ni dynamic sana , unaweza kuwa nyakat fulani mnafurahaia ndoa kabisa , nyakat fulan anakuzingua ile ile , ukimuona mwamba mjini ameoa npe saluti sana
kwamba?Nani kakudanganya princess ariana
Ongezea nyama chiefHahahahah ndoa ni fumbo la imani.
Ndoa ni kazi ya wito mkuu, kama hakuna sauti ndani yako inayosema oa achana na hio biashara.Ongezea nyama chief
Wamenielewa tatizo napigwa sana vizinga daah!
🤣Wamenielewa tatizo napigwa sana vizinga daah!
Sijazungumzia kupata mtu perfect kwasababu hayupo, ila kwa mfano wewe ni mwanaume, ukikutana na mdada mwenye tabia nlizoorodhesha kwenye huu uzi wangu, tena mwanzoni mwa mahusiano kwenye kufahamiana, utakomaa nae tu Mrs VanShida baadhi ya wanaume mnataka wanawake perfect wasiokosea. Swala la kujiuliza are you perfect?
Yeyote ambaye yupo kwenye ndoa anajua kuna siku vurumai inaweza tokea ndani na mkanuniana kutwa nzima na maisha yakaendelea. Hakuna mkamilifu kwenye maisha ya ndoa muhimu ni kuyajua mapungufu ya mwenzio na kuyaishi.
Lakini sio kutwa kunyooshea wanawake vidole kua sisi tu ndio wenye shida kwenye ndoa.
Sawa mkuu nimekuelewa, lakini je, ni kweli unachosema kwamba mtu asipooa/kuolewa anadharaulika....Si huwa mnasema, hawa wanawake ni kuwazalisha tu na kuwaacha, ili wabaki single mothers hakuna kuwaoa
Halafu ninyi mkitaka ngono mtanunua hata malaya, sasa uzeeni mwanamke atabaki na watoto wake, wewe utabaki na hao malaya wako simple tu
Na uzuri ni kwamba hiyo kauli ya fainali uzeeni wanaoongoza kuisema ni wanaume wenyewe, tena wengi ni wale ambao waligoma kuoa wakafanya starehe zote, na kujifanya eti wako busy kutafuta pesa
Sasa wamekuwa watu wazima ndio wamejua ukweli kwamba walikuwa wanapoteza muda tu, maana hata hizo pesa zenyewe walizojifanya wanatafuta hawafanyii mambo ya maana, asilimia kubwa wanaishia kuhonga hivyo haziwasaidii sana huko uzeeni
Msidhani msipooa mnawakomoa wanawake mnajikomoa wenyewe, nimekuja kugundua tofauti ya mwanamke asiyeolewa na mwanaume asiyeoa ni kwamba, mwanamke atatukanwa ujanani ila uzeeni atafarijiwa na wanaye
Lakini mwanaume atasifiwa ujanani ila uzeeni itakuwa zamu yake naye kutukanwa na kuitwa mtu mzima hovyo, hasa asipokuwa na pesa na hawa ndio wengi tulionao kwenye jamii zetu, maana kumbuka si kila mwanaume atafika uzeeni akiwa kama Mo au Bakhresa
Tuache kujidanganya ndoa ni muhimu kwa jinsia zote unaposema ndoa ni muhimu kwa mwanamke ila siyo kwa mwanaume hiyo haimake sense, sababu mwanamke anaolewa na huyo huyo mwanaume tendo linalohusisha jinsia mbili haliwezekani kuwa na maana tofauti kwa kila jinsia, hayo mengine ni imani tu ambazo jamii zetu imetengeneza kumsifia mwanaume na kumkandamiza mwanamke hata pale ambapo unaona kabisa hakuna uhalisia
Natamani sana ifike tu mahali kutokuoa/kuolewa isiwe chanzo cha masimango.... Ndoa hazina maana hiziNdio hasa mwanamke