Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's very correct...
Naona na yeye anafuata njia ileile ya Mwendazake.
Kutumia kigezo cha "kutetea wanyonge" ili kupata populism ya kisiasa. This is wrong na sasa anaanza ku - loose focus (umakini Wa kiuongozi) taaratibu.
Tatizo siyo DC wala DED. Tatizo ni udhaifu mkubwa wa kisera ambalo inazaa tatizo la kiuongozi.
Tatizo liko katika SERA na SHERIA za kibiashara. Hakuna kama ulivyosema mwongozo unaoweza kusimamiwa na kila DC au DED. Kwa kuwa iko hivi, kinachofanyika kila RC, DC na CCD/MCD/TCD/DED katika mamlaka ya serikali za mitaa anabuni na kuja na njia zake za kuwa treat wafanyabiashara ndogo ndogo hao kwa namna anavyoona inafaa.
Sasa kosa lao ni nini maana Rais hajawapa mwongozo wa namna ya kuwatendea hao?
Aisee,yaani Barbara zijengwe kuzingatia mahitaji ya uwepo was wafanya biashara!Machinga wasilaumiwe kwa hili, serikali imeanza kuwaona machinga na aina ya ufanyaji wao wa biashara miaka mingi, kwanini haikuwa inatengeneza miundombinu yake kwa ku accommodate shughuli zao kama inavyofanya kwenye kuweka hifadhi ya barabara na side walks hivi sasa? in other words serikali inapojenga barabara zake ione umuhimu wa kukumbuka uwepo wa side walks na maeneo ya machinga wakati huohuo
Saaa ...hili tatizo kalilea Mwendazake Dhalimu MagufuliWimbi la machinga mijini chanzo ni wanasiasa uchwara baada ya kuuwa uchumi kuingilia bei za mazao,chuki visasi dhidi ya waliofanikiwa, viwanda na shughuli nyingi zilifungwa watu wakakosa kazi.Hivyo ikapelekea wengi kuingia kwenye umachinga,kuja kuwa mtaji wa wanasiasa wakati wa kuomba kura.
What would you do with this highly populated and unemployed community of TanzaniansA
Aisee,yaani Barbara zijengwe kuzingatia mahitaji ya uwepo was wafanya biashara!
Ila kwani wakiachwa tu wakafanya biashara zao kuna shida gani?Wale watu ni wabishi sn bila nguvu kidogo hawatoki
Ki ukweli tunakereka kuona hii bembeleza Toto kwa suala la Machinga.Serikali isikwepe jukumu lake la kuondoa wamachinga
Machinga mentality.Ila kwani wakiachwa tu wakafanya biashara zao kuna shida gani?
Hao wanafanya biashara halali na kujipatia kipato halali.
Unakuta mtu,hana supermarket,hana duka kubwa la vipodozi,hana chochote anachomiliki ambacho kinamuingiliano na shughuli za machinga lakini bado anapiga domo kuwachukia machinga.
Waachwe wafanye biashara. Wateja wao ni askari,wanajeshi,waalimu na madaktari ambao kwao supermarkets na maeneo mengine yenye biashara kubwa ni anasa.
Ndo maana kuna wenye vituo vya kuuza mafuta,na wanaouza mafuta hayohayo kwa chupa.
Kuna wenye mabaa makubwa,kuna wenye grocery.
Kina wenye mabasi,kuna wenye bodaboda.
Kuna lodge,kuna gest mpaka za buku 3.
Hiyo ni mifano tu.
Hao wenye biashara kubwa,wateja wao ama wanaowasaidia wateja wao,ni hao wenye biashara ndogondogo,ama wenye kipato kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwatimua haikuwa proper mkuu. Kwani wao waliwatuma mgambo kwenda kuwapiga hao wanaotusumbua hadi tunakanyagwa na magari? Maana wameziba njia zetu wapita kwa miguu. Ukienda kariakoo mitaani, gari likipita linaonekana limepotea njia kumbe ni barabara ya kupita gari!!!! Wamejaa wao!!!Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.
Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani.
Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates.
A machinga is a small trader of no fixed abode.
Machinga angeweza angeweka na kutandika nyanya katikati ya barabara, kwenye wateja wengi!
Lakini machinga wametuhurumia, wanafunga side walks na mitaro ya maji ya mvua.
Na disposal ya waste zao ni humo humo , including human waste.
Hii ni social problem, ya miaka mingi. Kumuondoa huyu machinga hapo alipo ni shughuli pevu.
SHERIA ZA MIJI SI ZIPO?
Machinga ni kero kubwa kwa Law abiding citizens na sidhani kama serikali imewahi kutoa muongozo kisheria namna ya kudeal na machinga.
Hivyo kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana kama kitendo cha kuwatetea "wanyonge" lakini upande mwingine ni kuendeleza kero kwa wananchi wengine.
Hao kwani wapiga kura???Maza si anataka 2025
Majinga hawapigi kura?Hao kwani wapiga kura???
Tatizo ni jinsi wananchi wa kawaida tutakavyotafsiri kauli za MH raisMama hajasema wamachinga wafanye biashara ovyo..alichochukia ni wagambo kuwapiga wale watu...mbona alisema wangeweza kuwahamisha lakini bila kutumia nguvu
Rubbish, kwa hiyo miji iwe michafu sababu ya kuridhisha askari?Ila kwani wakiachwa tu wakafanya biashara zao kuna shida gani?
Hao wanafanya biashara halali na kujipatia kipato halali.
Unakuta mtu,hana supermarket,hana duka kubwa la vipodozi,hana chochote anachomiliki ambacho kinamuingiliano na shughuli za machinga lakini bado anapiga domo kuwachukia machinga.
Waachwe wafanye biashara. Wateja wao ni askari,wanajeshi,waalimu na madaktari ambao kwao supermarkets na maeneo mengine yenye biashara kubwa ni anasa.
Ndo maana kuna wenye vituo vya kuuza mafuta,na wanaouza mafuta hayohayo kwa chupa.
Kuna wenye mabaa makubwa,kuna wenye grocery.
Kina wenye mabasi,kuna wenye bodaboda.
Kuna lodge,kuna gest mpaka za buku 3.
Hiyo ni mifano tu.
Hao wenye biashara kubwa,wateja wao ama wanaowasaidia wateja wao,ni hao wenye biashara ndogondogo,ama wenye kipato kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe hapo ni mchafu,ndo maana Mungu alikuwekea hiyo exost hapo nyuma ya kutolea uchafu.Rubbish, kwa hiyo miji iwe michafu sababu ya kuridhisha askari?
Ngoja na hao wa Duniani waje wajifunze kwetu. Yaani mmeathirika kabisa na mambo ya nje. This is Tanzania brother. Nchi yetu,ki vyetuvyetu.Machinga mentality.
Tembea duniani mjifunze.
Ukiwa 2nd generation ya kizazi chako , ambao walikuwa wanaishi kwenye tembe, what do you expect?Ngoja na hao wa Duniani waje wajifunze kwetu. Yaani mmeathirika kabisa na mambo ya nje. This is Tanzania brother. Nchi yetu,ki vyetuvyetu.
Alilitengeneza tatizo la machinga kisha akajifanya kuwasaidia machinga kwa kuvunja Sheria za mipango miji kuwaruhusu watu hadi kwenye zebra wapikie vitumbuaKabi
Saaa ...hili tatizo kalilea Mwendazake Dhalimu Magufuli
two coin of the same side.Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.