Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

That's very correct...

Naona na yeye anafuata njia ileile ya Mwendazake.

Kutumia kigezo cha "kutetea wanyonge" ili kupata populism ya kisiasa. This is wrong na sasa anaanza ku - loose focus (umakini Wa kiuongozi) taaratibu.

Tatizo siyo DC wala DED. Tatizo ni udhaifu mkubwa wa kisera ambalo inazaa tatizo la kiuongozi.

Tatizo liko katika SERA na SHERIA za kibiashara. Hakuna kama ulivyosema mwongozo unaoweza kusimamiwa na kila DC au DED. Kwa kuwa iko hivi, kinachofanyika kila RC, DC na CCD/MCD/TCD/DED katika mamlaka ya serikali za mitaa anabuni na kuja na njia zake za kuwa treat wafanyabiashara ndogo ndogo hao kwa namna anavyoona inafaa.

Sasa kosa lao ni nini maana Rais hajawapa mwongozo wa namna ya kuwatendea hao?

Ina maana anatuwazia “watajiju wenyewe na wamachinga wao, mimi ali mradi watanipa kura 2025’’?!?!

Aisee kama ni msikivu, atumbue hili jipu la hawa watu sasa hivi mapema mapema. Ni aibu sana, miji yote imechafuka mno kwa vibanda vibanda kila kona.
 
A
Machinga wasilaumiwe kwa hili, serikali imeanza kuwaona machinga na aina ya ufanyaji wao wa biashara miaka mingi, kwanini haikuwa inatengeneza miundombinu yake kwa ku accommodate shughuli zao kama inavyofanya kwenye kuweka hifadhi ya barabara na side walks hivi sasa? in other words serikali inapojenga barabara zake ione umuhimu wa kukumbuka uwepo wa side walks na maeneo ya machinga wakati huohuo
Aisee,yaani Barbara zijengwe kuzingatia mahitaji ya uwepo was wafanya biashara!
 
Kabi
Wimbi la machinga mijini chanzo ni wanasiasa uchwara baada ya kuuwa uchumi kuingilia bei za mazao,chuki visasi dhidi ya waliofanikiwa, viwanda na shughuli nyingi zilifungwa watu wakakosa kazi.Hivyo ikapelekea wengi kuingia kwenye umachinga,kuja kuwa mtaji wa wanasiasa wakati wa kuomba kura.
Saaa ...hili tatizo kalilea Mwendazake Dhalimu Magufuli
 
A

Aisee,yaani Barbara zijengwe kuzingatia mahitaji ya uwepo was wafanya biashara!
What would you do with this highly populated and unemployed community of Tanzanians
 
Hii ime send message kwa kila anayetaka kuwagusa.
Cc Rc Dar
 
Wale watu ni wabishi sn bila nguvu kidogo hawatoki
Ila kwani wakiachwa tu wakafanya biashara zao kuna shida gani?
Hao wanafanya biashara halali na kujipatia kipato halali.

Unakuta mtu,hana supermarket,hana duka kubwa la vipodozi,hana chochote anachomiliki ambacho kinamuingiliano na shughuli za machinga lakini bado anapiga domo kuwachukia machinga.

Waachwe wafanye biashara. Wateja wao ni askari,wanajeshi,waalimu na madaktari ambao kwao supermarkets na maeneo mengine yenye biashara kubwa ni anasa.

Ndo maana kuna wenye vituo vya kuuza mafuta,na wanaouza mafuta hayohayo kwa chupa.
Kuna wenye mabaa makubwa,kuna wenye grocery.
Kina wenye mabasi,kuna wenye bodaboda.
Kuna lodge,kuna gest mpaka za buku 3.
Hiyo ni mifano tu.
Hao wenye biashara kubwa,wateja wao ama wanaowasaidia wateja wao,ni hao wenye biashara ndogondogo,ama wenye kipato kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali isikwepe jukumu lake la kuondoa wamachinga
Ki ukweli tunakereka kuona hii bembeleza Toto kwa suala la Machinga.
Kuna failure ya utekelezaji wa sera za miji zinazoendekezwa na serikali yenyeww
 
Ila kwani wakiachwa tu wakafanya biashara zao kuna shida gani?
Hao wanafanya biashara halali na kujipatia kipato halali.

Unakuta mtu,hana supermarket,hana duka kubwa la vipodozi,hana chochote anachomiliki ambacho kinamuingiliano na shughuli za machinga lakini bado anapiga domo kuwachukia machinga.

Waachwe wafanye biashara. Wateja wao ni askari,wanajeshi,waalimu na madaktari ambao kwao supermarkets na maeneo mengine yenye biashara kubwa ni anasa.

Ndo maana kuna wenye vituo vya kuuza mafuta,na wanaouza mafuta hayohayo kwa chupa.
Kuna wenye mabaa makubwa,kuna wenye grocery.
Kina wenye mabasi,kuna wenye bodaboda.
Kuna lodge,kuna gest mpaka za buku 3.
Hiyo ni mifano tu.
Hao wenye biashara kubwa,wateja wao ama wanaowasaidia wateja wao,ni hao wenye biashara ndogondogo,ama wenye kipato kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Machinga mentality.
Tembea duniani mjifunze.
 
Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.

Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani.

Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates.

A machinga is a small trader of no fixed abode.

Machinga angeweza angeweka na kutandika nyanya katikati ya barabara, kwenye wateja wengi!

Lakini machinga wametuhurumia, wanafunga side walks na mitaro ya maji ya mvua.

Na disposal ya waste zao ni humo humo , including human waste.

Hii ni social problem, ya miaka mingi. Kumuondoa huyu machinga hapo alipo ni shughuli pevu.

SHERIA ZA MIJI SI ZIPO?

Machinga ni kero kubwa kwa Law abiding citizens na sidhani kama serikali imewahi kutoa muongozo kisheria namna ya kudeal na machinga.

Hivyo kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana kama kitendo cha kuwatetea "wanyonge" lakini upande mwingine ni kuendeleza kero kwa wananchi wengine.
Kuwatimua haikuwa proper mkuu. Kwani wao waliwatuma mgambo kwenda kuwapiga hao wanaotusumbua hadi tunakanyagwa na magari? Maana wameziba njia zetu wapita kwa miguu. Ukienda kariakoo mitaani, gari likipita linaonekana limepotea njia kumbe ni barabara ya kupita gari!!!! Wamejaa wao!!!
 
Mama hajasema wamachinga wafanye biashara ovyo..alichochukia ni wagambo kuwapiga wale watu...mbona alisema wangeweza kuwahamisha lakini bila kutumia nguvu
Tatizo ni jinsi wananchi wa kawaida tutakavyotafsiri kauli za MH rais

Machinga sasa hawagusiki
 
Ila kwani wakiachwa tu wakafanya biashara zao kuna shida gani?
Hao wanafanya biashara halali na kujipatia kipato halali.

Unakuta mtu,hana supermarket,hana duka kubwa la vipodozi,hana chochote anachomiliki ambacho kinamuingiliano na shughuli za machinga lakini bado anapiga domo kuwachukia machinga.

Waachwe wafanye biashara. Wateja wao ni askari,wanajeshi,waalimu na madaktari ambao kwao supermarkets na maeneo mengine yenye biashara kubwa ni anasa.

Ndo maana kuna wenye vituo vya kuuza mafuta,na wanaouza mafuta hayohayo kwa chupa.
Kuna wenye mabaa makubwa,kuna wenye grocery.
Kina wenye mabasi,kuna wenye bodaboda.
Kuna lodge,kuna gest mpaka za buku 3.
Hiyo ni mifano tu.
Hao wenye biashara kubwa,wateja wao ama wanaowasaidia wateja wao,ni hao wenye biashara ndogondogo,ama wenye kipato kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rubbish, kwa hiyo miji iwe michafu sababu ya kuridhisha askari?
 
Rubbish, kwa hiyo miji iwe michafu sababu ya kuridhisha askari?
Wewe mwenyewe hapo ni mchafu,ndo maana Mungu alikuwekea hiyo exost hapo nyuma ya kutolea uchafu.

Pili inaonekana una chuki na ma askari. Nimetaja makundi zaidi ya matatu hapo,wewe umeona askari tu?

Pia,miji ina miundombinu,taratibu,kanuni na sheria ndogondogo zinazoipa mamlaka husika haki na nguvu ya kusimamia usafi. Ni jukumu lao kuwapanga,na kuwasimamia machinga kuwa wasafi. Na ruzuku wanazopokea,wazitumie kuweka utaratibu mzuri wa kuyaweka maeneo yao safi.
 
Ngoja na hao wa Duniani waje wajifunze kwetu. Yaani mmeathirika kabisa na mambo ya nje. This is Tanzania brother. Nchi yetu,ki vyetuvyetu.
Ukiwa 2nd generation ya kizazi chako , ambao walikuwa wanaishi kwenye tembe, what do you expect?

Mtu wajifunze nini kwako, DSM ndio role model ya mji uliojaa machinga wanaokojoa ovyo kwenye mitaro.
Kama hiyo ndio vision yako basi machinga mentality itakuwa vigumu kuondoa.
 
Kabi

Saaa ...hili tatizo kalilea Mwendazake Dhalimu Magufuli
Alilitengeneza tatizo la machinga kisha akajifanya kuwasaidia machinga kwa kuvunja Sheria za mipango miji kuwaruhusu watu hadi kwenye zebra wapikie vitumbua
 
Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.

Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani.

Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates.

A machinga is a small trader of no fixed abode.

Machinga angeweza angeweka na kutandika nyanya katikati ya barabara, kwenye wateja wengi!

Lakini machinga wametuhurumia, wanafunga side walks na mitaro ya maji ya mvua.

Na disposal ya waste zao ni humo humo , including human waste.

Hii ni social problem, ya miaka mingi. Kumuondoa huyu machinga hapo alipo ni shughuli pevu.

SHERIA ZA MIJI SI ZIPO?

Machinga ni kero kubwa kwa Law abiding citizens na sidhani kama serikali imewahi kutoa muongozo kisheria namna ya kudeal na machinga.

Hivyo kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana kama kitendo cha kuwatetea "wanyonge" lakini upande mwingine ni kuendeleza kero kwa wananchi wengine.
two coin of the same side.
 
Sisi bado sana wakuu. Tunapaswa kufanya biashara maeneo sahihi. Watu wanafanya kazi kinyume na sheria anaibuka mtu ili apate umaarufu anawatetea. Eti wataenda wapi. Kwanza tupate data ni wangapi tufanye mambo ya kisayansi na kujifunza kutoka kwa wenzetu na mataifa mengine wanafanyaje kuhusu hilo swala
 
Back
Top Bottom