Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
DED n DC mliofukuzwa popote mlipo jipigeni kifuani na kusema "sisi ni mashujaa".Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.
Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani.
Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates.
A machinga is a small trader of no fixed abode.
Machinga angeweza angeweka na kutandika nyanya katikati ya barabara, kwenye wateja wengi!
Lakini machinga wametuhurumia, wanafunga side walks na mitaro ya maji ya mvua.
Na disposal ya waste zao ni humo humo , including human waste.
Hii ni social problem, ya miaka mingi. Kumuondoa huyu machinga hapo alipo ni shughuli pevu.
SHERIA ZA MIJI SI ZIPO?
Machinga ni kero kubwa kwa Law abiding citizens na sidhani kama serikali imewahi kutoa muongozo kisheria namna ya kudeal na machinga.
Hivyo kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana kama kitendo cha kuwatetea "wanyonge" lakini upande mwingine ni kuendeleza kero kwa wananchi wengine.
Hii nchi iliendeshwa na mshamba asiye na ustarabu wala usfi, hujui mji wala jiji, choo wala hoteli kwa savbabu za kisiasa hawa machinga[Waha]wameamua kupanga biashara kila kona ya barabara, na wananchi walivyo wajinga tunanunua huko mitaroni mwao.