Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.

Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani.

Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates.

A machinga is a small trader of no fixed abode.

Machinga angeweza angeweka na kutandika nyanya katikati ya barabara, kwenye wateja wengi!

Lakini machinga wametuhurumia, wanafunga side walks na mitaro ya maji ya mvua.

Na disposal ya waste zao ni humo humo , including human waste.

Hii ni social problem, ya miaka mingi. Kumuondoa huyu machinga hapo alipo ni shughuli pevu.

SHERIA ZA MIJI SI ZIPO?

Machinga ni kero kubwa kwa Law abiding citizens na sidhani kama serikali imewahi kutoa muongozo kisheria namna ya kudeal na machinga.

Hivyo kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana kama kitendo cha kuwatetea "wanyonge" lakini upande mwingine ni kuendeleza kero kwa wananchi wengine.
DED n DC mliofukuzwa popote mlipo jipigeni kifuani na kusema "sisi ni mashujaa".

Hii nchi iliendeshwa na mshamba asiye na ustarabu wala usfi, hujui mji wala jiji, choo wala hoteli kwa savbabu za kisiasa hawa machinga[Waha]wameamua kupanga biashara kila kona ya barabara, na wananchi walivyo wajinga tunanunua huko mitaroni mwao.
 
Du..... mkuu umeua!
Ila tujue machinga si kabila moja, ni phenomenon katika kila Jiji nchini.
 
Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.

Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani.

Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates.

A machinga is a small trader of no fixed abode.

Machinga angeweza angeweka na kutandika nyanya katikati ya barabara, kwenye wateja wengi!

Lakini machinga wametuhurumia, wanafunga side walks na mitaro ya maji ya mvua.

Na disposal ya waste zao ni humo humo , including human waste.

Hii ni social problem, ya miaka mingi. Kumuondoa huyu machinga hapo alipo ni shughuli pevu.

SHERIA ZA MIJI SI ZIPO?

Machinga ni kero kubwa kwa Law abiding citizens na sidhani kama serikali imewahi kutoa muongozo kisheria namna ya kudeal na machinga.

Hivyo kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana kama kitendo cha kuwatetea "wanyonge" lakini upande mwingine ni kuendeleza kero kwa wananchi wengine.

I agree with this 100%. Hili la machinga linataka majawabu. Tutahairisha mpaka lini?
 
Swala ni dogo tu siku zote sheria haiwezi kumuondoa mtu siku zote mtu anaondolewa na mfumo tu wamachinga wote wakate TIN number wakate leseni ya Biashara waanze kulipa kodi bhasi wataondoka wenyewe
 
What would you do with this highly populated and unemployed community of Tanzanians
Simple ,Yale maabilioni ya kujenga daraja la matanuzi la salanderbridge ningeanzisha kilimo Cha Umwagiliaji na kuajiri maelfu yaVijana walime mbogamboga ambazo ni hotcake Ulaya na uaarabuni!
Yale Mamilioni yaliyotumika kuhamia Dodoma ningeanzisha Ufugaji wa Nyuki kisasa nchi nzima na ingeajiri maelfu yaVijana kwa gharama ndogo...kumbuka asali haijawahi kushuka Bei ktk soko la Dunia!
Badala ya kujenga Reli ya Umeme ningejenga SGR ya kawaida bakaa ninge'invest ktk kuzalisha mafundi mchundo ktk kilimo na Amali anuai ambao wangepatiwa vifaa na kuinua uzaalishaji kupitia Veta!
Ningepunguza mishahara ya wabunge Hadi 4M na kupeleka fedha hizo kwenye Ufugaji wa samaki...tuuze Ulaya!
Fursa ni nyingi mno tatizo Akili zinaamua hatmaya NCHI YETU ni ndogo!
Unajenga Uwanja wa Ndege Chato badala ya fedha hizo uanzishe ufugaji wa Samaki kando ya ziwa Victoria na kuajiri mamia ya Vijana wa Chato!
Mungu turehemu...nafikiri umenielewa ...Samahani nimekujibu kwa Kiswahili kwa Sababu shuleni sikwenda kusomea Ujinga!
 
Ila kwani wakiachwa tu wakafanya biashara zao kuna shida gani?
Hao wanafanya biashara halali na kujipatia kipato halali.

Unakuta mtu,hana supermarket,hana duka kubwa la vipodozi,hana chochote anachomiliki ambacho kinamuingiliano na shughuli za machinga lakini bado anapiga domo kuwachukia machinga.

Waachwe wafanye biashara. Wateja wao ni askari,wanajeshi,waalimu na madaktari ambao kwao supermarkets na maeneo mengine yenye biashara kubwa ni anasa.

Ndo maana kuna wenye vituo vya kuuza mafuta,na wanaouza mafuta hayohayo kwa chupa.
Kuna wenye mabaa makubwa,kuna wenye grocery.
Kina wenye mabasi,kuna wenye bodaboda.
Kuna lodge,kuna gest mpaka za buku 3.
Hiyo ni mifano tu.
Hao wenye biashara kubwa,wateja wao ama wanaowasaidia wateja wao,ni hao wenye biashara ndogondogo,ama wenye kipato kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ,sijui nikupe pole kwa uelewa wako huu ...kwa hiyo wewe unaona no sawa bidhaa kuuzwa barabarani!
 
Sisi bado sana wakuu. Tunapaswa kufanya biashara maeneo sahihi. Watu wanafanya kazi kinyume na sheria anaibuka mtu ili apate umaarufu anawatetea. Eti wataenda wapi. Kwanza tupate data ni wangapi tufanye mambo ya kisayansi na kujifunza kutoka kwa wenzetu na mataifa mengine wanafanyaje kuhusu hilo swala
Kweli aiseee, watu wajifunze kuishi , kuheshimu na kufuata sheria ama sivyo itakuwa kutengeza nchi ya vurugu mechi kwenye kila kitu. Kaazi kwelikweli.
 
Ila kwani wakiachwa tu wakafanya biashara zao kuna shida gani?
Hao wanafanya biashara halali na kujipatia kipato halali.

Unakuta mtu,hana supermarket,hana duka kubwa la vipodozi,hana chochote anachomiliki ambacho kinamuingiliano na shughuli za machinga lakini bado anapiga domo kuwachukia machinga.

Waachwe wafanye biashara. Wateja wao ni askari,wanajeshi,waalimu na madaktari ambao kwao supermarkets na maeneo mengine yenye biashara kubwa ni anasa.

Ndo maana kuna wenye vituo vya kuuza mafuta,na wanaouza mafuta hayohayo kwa chupa.
Kuna wenye mabaa makubwa,kuna wenye grocery.
Kina wenye mabasi,kuna wenye bodaboda.
Kuna lodge,kuna gest mpaka za buku 3.
Hiyo ni mifano tu.
Hao wenye biashara kubwa,wateja wao ama wanaowasaidia wateja wao,ni hao wenye biashara ndogondogo,ama wenye kipato kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sujui una maana gani usemavyo, "...kwani wakiachwa tu wafanye biashara zao kuna shida gani..."

Kama una maana waachwe tu na wafanyie kazi/biashara zao "popote pale", basi hii ndiyo shida. Ni HAPANA, mambo hayatakiwi kuwa hivyo. Hivyo, mimi sikubaliani na wewe kwenye hili...

Maisha siku zote ni kufuata UTARATIBU. Kufanya jambo lolote bila kufuata utaratibu, ni uchafu na ni fujo...

TARATIBU tumeziweka ili kumlinda na kulinda haki na uhuru wa kila mtu. Si tu kuwa Machinga ndiyo wenye haki kufanya lolote, popote na wakati wowote. Ukiruhusu hili, ujue umeruhusu vurugu na fujo...

Yaani unakuwa umeruhusu kundi moja la kijamii kupora na kuingilia UHURU na HAKI za makundi mengine ya kijamii....

Machinga ni kweli kabisa wanafanya kazi halali kabisa. Hakuna anayebisha wala kupinga hili....

Binafsi, najua kuwa kwenye sekta hii hata sisi tuliomo humu JF tupo huko, pia wapo watoto wetu, kaka zetu, dada zetu, mama zetu, baba zetu na jamaa na rafiki zetu wengi wamejiajiri ktk mfumo huu wa biashara na hivyo kuwawezesha kujipatia mahitaji yao ya msingi ya kila siku kwa ajili yao na familia zao yaani; chakula, mavazi, malazi (nyumba), ada za shule, pesa za matibabu, nk..

Kinachotakiwa ni hawa kuwa na maeneo yao maalumu ya kufanyia biashara zao...

Kama ishu ni maeneo yenye watu wengi, inawezekana kabisa kila mamlaka ya serikali za mitaa kuteua au kutenga naeneo haya...

Lakini KAMWE wasiruhusiwe kupanga biashara zao kando kando ya njia za waenda kwa miguu au kuziba barabara za magari kitu ambacho ni hatari kwao na kwa madereva wa magari...

Fika Mwanza CITY CENTRE utaona shida hii. Yaani ni mpaka inakera. Imefikia hatua ya hawa watu kujiona wao ndiyo wenye haki zaidi ya kufanya lolote, wakati wowote na mahali popote kwa jina la "Mimi ni Machinga" huku waki violate haki za watu wengine...

HAPANA. Hii siyo sawa...
 
Wewe mwenyewe hapo ni mchafu,ndo maana Mungu alikuwekea hiyo exost hapo nyuma ya kutolea uchafu.

Pili inaonekana una chuki na ma askari. Nimetaja makundi zaidi ya matatu hapo,wewe umeona askari tu?

Pia,miji ina miundombinu,taratibu,kanuni na sheria ndogondogo zinazoipa mamlaka husika haki na nguvu ya kusimamia usafi. Ni jukumu lao kuwapanga,na kuwasimamia machinga kuwa wasafi. Na ruzuku wanazopokea,wazitumie kuweka utaratibu mzuri wa kuyaweka maeneo yao safi.
Kwahiyo uliambiwa wao hawatumii sheria ndogo? shame on you
 
Sheria za mipango miji zinaelekeza nini kuhusu gulio/soko liwe mahali gani?
 
Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.

Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani.

Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates.

A machinga is a small trader of no fixed abode.

Machinga angeweza angeweka na kutandika nyanya katikati ya barabara, kwenye wateja wengi!

Lakini machinga wametuhurumia, wanafunga side walks na mitaro ya maji ya mvua.

Na disposal ya waste zao ni humo humo , including human waste.

Hii ni social problem, ya miaka mingi. Kumuondoa huyu machinga hapo alipo ni shughuli pevu.

SHERIA ZA MIJI SI ZIPO?

Machinga ni kero kubwa kwa Law abiding citizens na sidhani kama serikali imewahi kutoa muongozo kisheria namna ya kudeal na machinga.

Hivyo kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana kama kitendo cha kuwatetea "wanyonge" lakini upande mwingine ni kuendeleza kero kwa wananchi wengine.
Indicator mojawapo ya kuwa nchi ni umasikini ni kuwa na machinga wengi
 
Sujui una maana gani usemavyo, "...kwani wakiachwa tu wafanye biashara zao kuna shida gani..."

Kama una maana waachwe tu na wafanyie kazi/biashara zao "popote pale", basi hii ndiyo shida. Ni HAPANA, mambo hayatakiwi kuwa hivyo. Hivyo, mimi sikubaliani na wewe kwenye hili...

Maisha siku zote ni kufuata UTARATIBU. Kufanya jambo lolote bila kufuata utaratibu, ni uchafu na ni fujo...

TARATIBU tumeziweka ili kumlinda na kulinda haki na uhuru wa kila mtu. Si tu kuwa Machinga ndiyo wenye haki kufanya lolote, popote na wakati wowote. Ukiruhusu hili, ujue umeruhusu vurugu na fujo...

Yaani unakuwa umeruhusu kundi moja la kijamii kupora na kuingilia UHURU na HAKI za makundi mengine ya kijamii....

Machinga ni kweli kabisa wanafanya kazi halali kabisa. Hakuna anayebisha wala kupinga hili....

Binafsi, najua kuwa kwenye sekta hii hata sisi tuliomo humu JF tupo huko, pia wapo watoto wetu, kaka zetu, dada zetu, mama zetu, baba zetu na jamaa na rafiki zetu wengi wamejiajiri ktk mfumo huu wa biashara na hivyo kuwawezesha kujipatia mahitaji yao ya msingi ya kila siku kwa ajili yao na familia zao yaani; chakula, mavazi, malazi (nyumba), ada za shule, pesa za matibabu, nk..

Kinachotakiwa ni hawa kuwa na maeneo yao maalumu ya kufanyia biashara zao...

Kama ishu ni maeneo yenye watu wengi, inawezekana kabisa kila mamlaka ya serikali za mitaa kuteua au kutenga naeneo haya...

Lakini KAMWE wasiruhusiwe kupanga biashara zao kando kando ya njia za waenda kwa miguu au kuziba barabara za magari kitu ambacho ni hatari kwao na kwa madereva wa magari...

Fika Mwanza CITY CENTRE utaona shida hii. Yaani ni mpaka inakera. Imefikia hatua ya hawa watu kujiona wao ndiyo wenye haki zaidi ya kufanya lolote, wakati wowote na mahali popote kwa jina la "Mimi ni Machinga" huku waki violate haki za watu wengine...

HAPANA. Hii siyo sawa...
kwa hapa denmark tuna kitu inaitwa Flea Market
watu wote hata sisi wa Arhus huku mbali ila tunafika copen na kukuta kila wiki hii kitu. eneo maalum weekend mnaenda
 
Hizo flea markets tunazifahamu, ziko controlled na Councils za Jiji.
Wanapanga muda wa kuwepo na kuondoka.
Huku machinga wako under no control.
 
I agree with this 100%. Hili la machinga linataka majawabu. Tutahairisha mpaka lini?
Mama Samia ajitahidi kuleta sera za kuwa absorb hawa watu wanaitwa mchinga.
Ni lazima waajiriwe kibinafsi au vinginevyo.
Si suala la kuwaona kama mtaji wa kisiasa, hapo tuna polong tatizo.
 
It is just a question of time before backfiring. Hili suala linataka majawabu. Lisiachwe kama halina mwenyewe
 
Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro.

Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani.

Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates.

A machinga is a small trader of no fixed abode.

Machinga angeweza angeweka na kutandika nyanya katikati ya barabara, kwenye wateja wengi!

Lakini machinga wametuhurumia, wanafunga side walks na mitaro ya maji ya mvua.

Na disposal ya waste zao ni humo humo , including human waste.

Hii ni social problem, ya miaka mingi. Kumuondoa huyu machinga hapo alipo ni shughuli pevu.

SHERIA ZA MIJI SI ZIPO?

Machinga ni kero kubwa kwa Law abiding citizens na sidhani kama serikali imewahi kutoa muongozo kisheria namna ya kudeal na machinga.

Hivyo kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana kama kitendo cha kuwatetea "wanyonge" lakini upande mwingine ni kuendeleza kero kwa wananchi wengine.
The long-term solution is to develop the rural economy so as to attract social movement from the urban areas to the same. Short of that, the "Machinga" are an environmental pollutant and social time bomb.
 
Back
Top Bottom