Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

Nmeongea kutoka na changamoto ya cooling system kwakuwa nishaimilk pia, aksnt kwa maarfa zaid
 
Vitu vingine tunapigwa mkuu.
Sawa lakini ndugu kizuri gharama, wewe gharamikia mara moja, ni sawa na mimi kila nikibadili parts ya chombo changu naweka cha manufacturer, na kikiharibika tena unakuta nmesahau ni lini nmeweka
 
CX5 pia walisema zina shida ila zimejaa mtaani. Yaani gari yoyote ambayo sio Toyota inasemekana ina shida.
Nilifatilia hii gari, shida wanazo sema shida sio shida. Hizo gari hazitaki shortcut au janja kwenye services . Tatizo la watumiaji nao wanasaka njia fupi hapo ndio vinaumana
 
Hivi ufeki wa hizi oil huwa upo kwenye nini? Ubora hafifu or hizo namba 10W30 zinakuwa siyo zenyewe?

Mimi ninayefanya service kwa wakati baada ya miezi 6 au 2000Km natoboa kwa oil hizi?
 
Hivi ufeki wa hizi oil huwa upo kwenye nini? Ubora hafifu or hizo namba 10W30 zinakuwa siyo zenyewe?

Mimi ninayefanya service kwa wakati baada ya miezi 6 au 2000Km natoboa kwa oil hizi?
Namba ziko sawa ila oil yenyewe sio ya kiwango kama cha Castrol ni wajanja tu wana-refill huko Tabata.
 

Mwenye pesa hachagui wala hachaguliwi gari la kununua.

Asiye na pesa ndiye hushinda mtandaoni akisema gari fulani si zuri au halifai kununuliwa.

TAFUTENI PESA!
 
Naomba elimu juu ya hiyo xt ambao unayo na non turbo ej20. Na unashauli ipi itanifaa kutoka kwenye rumion 2010 2ZR-FAE, valve matic technology
 
Naomba elimu juu ya hiyo xt ambao unayo na non turbo ej20. Na unashauli ipi itanifaa kutoka kwenye rumion 2010 2ZR-FAE, valve matic technology
EJ20 non turbo na turbocharger zote ni engine ngumu Sana kama utafaulu kwenye matunzo ingawa non turbo haina masharti mengi kuliko turbochargers

Kwenye kufanya uchaguzi ipi uende nayo angalia Kwanza wewe mwenyewe ni MTU mwenye tabia gani kwenye magari hasa kwenye umakini wa utunzaji gari....non turbo ni engine ambayo haina stress za turbo, head gasket.
Ugonjwa wake mkubwa ni sterling reck Tu kwasababu hizi non turbo zinatumia umeme tofauti hizi za turbo ambazo zinatumia hydraulic oil.
Wewe kama MTU wa kwenda kazini na kurudi na haina safari nyingi za mikoani hii non turbo itakufaa Sana kutokana na fuel consumption yake, non turbo inakula vizuri Sana mafuta kwasababu hii gari IPO limited na option ya economic mode .

Huku kwenye turbocharger sio rafiki kwenye fuel consumption ila ni tamu Sana safari ndefu na nguvu iliyopo huku ni balaa kubwa Sana hii inazalisha HP 230 tofauti na non turbo ambayo ni HP 170

Nitakuja na uchambuzi kamili juu hizi gari mbili soon
 
Nausubiri kwa hamu sana huu uchambuzi mkuu, pia nilisikia unaweza fanya convention kutoka tearing ya umeme ukaweka hydrologic kwenye non turbo ni kweli? Pia nasikia ej20 non turbo zinaua sana head gasket. Ni nin sababu?!
 
Pia muda wa kubadiri tyming belt ni kuda gan and gharama zake kama una idea nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…