Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

🀣🀣Nakuelewa Mkuu cowboy 🀠 mwenyewe Niko hapa nakuzoom
 
Duuh kwahiyo PureView zeiss ashtuke mapema
 
Kuna fundi wangu yeye anaenda mwenyewe. Au anakwambia nenda kachukue hata box moja utatumia hadi liidhe.
Tatizo hao wanaowauzia huwa wana mix na mzigo wa kichina kuongeza faida.
🀣🀣Dah wanachakachua alooo haya Mambo inabidi kuwa makini sana
 
Umejieleza vizuri sana,,
 
Mimi hii mijadala ya gari flani mbovu gari flani nzima mara nyingi huwa naipotezea kwasababu naamini gari yoyote ni services tu. Sina mpango wa kuhama Subaru na najiandaa kuvuta Forester SKE ya 2020 hadi 2023.
Duh Mkuu Hiyo chuma uliyoitaja ya 2020 ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ ,,amakweli sikuhizi hizi kampuni za magari zinajitahidi sana kuboresha,,an gari Kali balaa πŸ™Œ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…