Hiyo lazima ifanyike kwani ndio itakuwa suluhu ya kuepusha mifarakano mwakani.Hivi ile issue ya kugawanya Jimbo iliishia vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo lazima ifanyike kwani ndio itakuwa suluhu ya kuepusha mifarakano mwakani.Hivi ile issue ya kugawanya Jimbo iliishia vipi?
Msaada wa pekee kwa Tulia ni huu tu....vinginevyo nikujidanganya,msako ni mkali mno toka atangazwe mbunge,Hawezi kumshinda Sugu kama atagombea naye tena,hata kama Samia na Kinana watahamishia ofisi kule.Hivi ile issue ya kugawanya Jimbo iliishia vipi?
MOJA YA WATU WAJINGA NA WAPUMBAVU KUWAHI KUTOKEA NCHI HII BASI NI WEWE JAMAA, TAKATAKA KABISA WEWEBinafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Aisee wewe ni taira tena mbumbumbu pro max. Kwa kweli nimejitahidi sana kutumia lugha ya ustaarabu kwenye kuandika hii caption. Tena bila ya aibu umeandika huu uzi kwa ustadi na kuzingatia kanuni zote za uandishi kuthibitisha kuwa to some extent you're educated. Wapuuzi kama wewe ndio mlioshinikiza Job Ndugai kupokwa wadhifa kwa kuikosoa serikali ilhali hili ni jukumu la spika wa bunge kikatiba kabisaaa. Tanzania ni nchi yenye demokrasia, it is a democratic Republic of tz na sio familia kuongozwa kama unavyofikiria. Kwanza mtu kama wewe unatakiwa kufungwa kwa kuushawishi uma kuivunja sheria ya nchi kibepari. Bila shaka ushauri wa watu kama nyinyi mwishowe utaliingiza taifa kwenye majanga kama majirani zetu wa +254.Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Ubunge wa nusu mkate sio ubunge wa kujitosheleza, kwa mfano,huko Kenya wabunge viti maalumu wanawake waliunga mkono pad za kike ziongezwe kodi,japo wabunge wanaume walipinga.Kwa ufupi ni wabunge wanaojipendekeza kwa chama au taasisi iliowateuwa.hawako kwenye ballot box.Hii pointi niliisahau chief
Hilo halitawezekana kamwe, na ili kulinda heshima ya spika ni lazima majimbo yawe mawili. Vinginevyo spika atatangazwa katika mazingira ambayo yatamchafulia taswira yake, na hilo CCM wanalitambua na hawatoliruhusu. Mambo yanabadilika kwa kasi sana na lazima CCM wabadili mbinu kwenye majimbo yenye ushindani kama hiliKwa tume hii? Spika kose jimbo? Itakuwa ni maajabu
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani
Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda
Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?
Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Unaishi Mbeya mjini au Umewahi kuishi Mbeya mjini??kwamba sugu atamshinda Dr.Tulia?[emoji1787]
thubut!
labda sugu atamshinda tulia kwa mihemko ya mitandaoni lakin sio kule field [emoji205]
unauliza kuishi, vip kuzaliwa gentleman itafaa ?🐒Unaishi Mbeya mjini au Umewahi kuishi Mbeya mjini??
Tunatakiwa tujenge Tanzania ambayo watu wote ni waadilifu na tutaheshimiana.Sasa kwa nini kutumike njia za panya, hapa ni kucheza kidikiteta tu mkuu
Angefaa sana kuwa ngariba.Kwanini Tulia na yeye asitafute kazi nyingine?
Basi mkuu Sugu anaweza kupewa huo 🚶🚶Kwani Ubunge wa Viti Maalum si upo?
Usiishi kwa kukariri na mazoea. Shit happensSpika ashindwe ubunge Tz hii, hilo sahau.