Kabisa...... Ajiandae kuhama nchi ifikapo November or else arudishe meno ya tembo yetu...
Unawezaje pakia bangi kwenye Gari Polisi?meli ni yangu lakini meno ya tembo siyo yangu .
Haya yanayo semwa na sumaye yalitakiwa yasemwe na slaa sio sumaye ambaye alikuwepo
Kazi kweli kweli, wamemwaga ugali sasa kazi ni kumwaga mboga. Lazima na wao wajibu kuhusu Tembo wetu.
Unawezaje pakia bangi kwenye Gari Polisi?
kinana hagombei urais. angeligombea bila shaka angekatwa kama ni fisadi. labda sumae anafahamu kwa nini ccm imemkata yafaa atuambie.Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini"
Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji cha Aljazeera kilitoa data kuhusu tembo wa Tanzania kuuwawa na kuonyesha kwamba mwaka 2007 kulikuwa na jumla ya tembo 146,879 na mpaka mwaka jana 2014 tembo hao wameuwawa kwa asilimia 64% na kubaki tembo 56,000 tu...
Mytake: Hili suala la Kinana tulifikiri ni uzushi ila ukiona waziri mkuu aliyekaa madarakani kwa miaka 10 kaliweka wazi mbele ya wananchi ni wazi hakuna ubishi tena katika hilo....
gari ni la polisi lakini bangi si ya polisi .
Sasa ameokoka shida iko wapi?Sumaye we sumaye why sasa umekosa ya kusema,ulipokuwa waziri mkuu si ndo ungemkabili?kwa sasa ni sawa na majungu tu pole
Sumaye alikatwa kwa sababu Raisi Kikwete alitaka kuwaweka anayesemwa ni Mdogo wake wa damu Membe na wanayesema ni girl friend wake tangu wakiwa chuo Asha Rose Migirokinana hagombei urais. angeligombea bila shaka angekatwa kama ni fisadi. labda sumae anafahamu kwa nini ccm imemkata yafaa atuambie.
Ukawa wanatumia mbinu za kisayansi kuendesha kampeni.
sumaye analipua mabomu na kwa akili za kawaida mtu kama sumaye wananchi wa kawaida watamuamini anayosema maana alikuwa waziri mkuu anajua kila kitu tofauti na slaa kama angezungumza wengi wasingeamini maana hakuwahi kuongoza serikalini.
lowassa anashambulia kwa sera ya kuleta mabadiliko ya maendeleo.
sehemu yoyote kwenye mkusanyiko wa watu ukikusanya maoni utakuta lowasa anakubalika kwa wastani mkubwa kupita jpm.