Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

Peleka Facebook.
 
Hiyo supu mnachanganyiwa na Viagra
 
Me supu ya pweza sinywi ladha yake sielewi ila pweza na zile kachori nikianza kuchoma huwa siridhiki aisee 5000 shwaa
 
Usipite hayo maeneo wanayouza ukiwa na njaa,. hakikisha umeshiba ndo upite hapo itakusaidia kutotamani hiyo pweza na kachori
Pweza na kachori hata kama umeshiba ukpita maeneo hayo utanunua tu, utasema ngoja nionje jero mara unashangaa inafika 5k
 
[emoji23][emoji23]Hujapoga mahesabu ya mwezi wewe
Ukiishi hivo utapata shida tu , zaman nilikua naishi kimahesabu sana mfano nauli kwenda kazini nakurudi nilikua natumia 2500 kujibana ila sasa napata shida tupu wakati pesa ni yangu!!

Siku hizi sipigi hesabu za matumizi nauli natumia hata 6k kulingana na hali ya usafiri ilivyo siku hiyo. Kikubwa ni kupambana kuwa na kipato kikubwa.

Mtu unatafuta pesa lkn unajibana kula unachokipenda!! Ni upumbavu
 
bora supu ya pweza kuliko DOUBLE KICK!!!,,,,nakupa ruhusa,endelea kunywa mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ