Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nakuelewa Kaka, kichwa kina chemka- ubongo una kuwa Kama una stack😀😁🤒Nina Addiction ya Kuwaza Ma'ideas makubwa makubwa natamani kupunguza Lkn sijui how. Yanaumiza ndio maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuelewa Kaka, kichwa kina chemka- ubongo una kuwa Kama una stack😀😁🤒Nina Addiction ya Kuwaza Ma'ideas makubwa makubwa natamani kupunguza Lkn sijui how. Yanaumiza ndio maana
A.ka ma water buffalo😀😁🤣Wanangu wa madafu tujuane
Vyovyote ila unatia ndimu kidogoA.ka ma water buffalo😀😁🤣
Sema ni nzuri mno, pia ni tiba nzuriVyovyote ila unatia ndimu kidogo
Vitu vya asiliSema ni nzuri mno, pia ni tiba nzuri
Peleka Facebook.Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao.
Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda cha pweza kama wana dawa vile hawa watu unasema ninywe supu ya mia tatu ,mara unapiga kachori, paap kata mkia wa elfu mbili, weka na prawn puuh elfu tano imeenda.
Nikaamua nipige hesabu kila nikila pweza niandike kwenye google notes aiseee nimekuja kupiga hesabu mwezi december 2023 nimetumia elfu 65600 ukichezesha mwaka mzima kama laki 7 hv jamani si Tv mpya hiii.
Nifanyeje niache huu ulevi wa supu ya mdudu pweza.
Tushee experience walevi wenzangu
😂😂😂Hayo pia kudadekiWanangu wa madafu tujuane
Zindua mtandao wako ndo uwe na haki ya kuongea kenge wa bluePeleka Facebook.
😂😂😂Kuamka kwenda ferry ndo shidaAmka asubuhi mapema nenda pale Ferry shuka chini ufukweni ukamate mvuvi anakuuzia pweza mkubwa kwa elfu 10. Unarudi nyumbani unamchemsha utakula wiki nzima mdogo mdogo
Hiyo supu mnachanganyiwa na ViagraZa jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao.
Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda cha pweza kama wana dawa vile hawa watu unasema ninywe supu ya mia tatu ,mara unapiga kachori, paap kata mkia wa elfu mbili, weka na prawn puuh elfu tano imeenda.
Nikaamua nipige hesabu kila nikila pweza niandike kwenye google notes aiseee nimekuja kupiga hesabu mwezi december 2023 nimetumia elfu 65600 ukichezesha mwaka mzima kama laki 7 hv jamani si Tv mpya hiii.
Nifanyeje niache huu ulevi wa supu ya mdudu pweza.
Tushee experience walevi wenzangu
Pweza na kachori hata kama umeshiba ukpita maeneo hayo utanunua tu, utasema ngoja nionje jero mara unashangaa inafika 5kUsipite hayo maeneo wanayouza ukiwa na njaa,. hakikisha umeshiba ndo upite hapo itakusaidia kutotamani hiyo pweza na kachori
Ukiishi hivo utapata shida tu , zaman nilikua naishi kimahesabu sana mfano nauli kwenda kazini nakurudi nilikua natumia 2500 kujibana ila sasa napata shida tupu wakati pesa ni yangu!![emoji23][emoji23]Hujapoga mahesabu ya mwezi wewe
Hapa hapakufai.Zindua mtandao wako ndo uwe na haki ya kuongea kenge wa blue
bora supu ya pweza kuliko DOUBLE KICK!!!,,,,nakupa ruhusa,endelea kunywa mkuu!!Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao.