Best Vibez Store
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 131
- 123
Wakati mmasema Wajapan wastaarbu kuna miamba wanaitwa Yakuza ni makatili hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Common Sense ni Akili ya Kawaida..Define common sense.
Dhana ya contradiction katika hoja ya uwepo wa Mungu sijaitoa katika dini, ni dhana ya kifalsafa.
Kwa nini unafikiri nimeitoa katika dini?
Na hata kama ningeitoa katika dini, ninapoitoa dhana si kitu muhimu kama usahihi wa dhana.
Kwa sababu hata kichaa anaweza kusema neno la maana siku moja.
Kipofu atajuaje sasa ni mchana au ni usiku afanye jaribio..!!?Kupitia jaribio la solar na motor tayari mtu kipofu atajua mwanga upo au haupo kwa kuhisi uwepo wake kupitia utendaji wa kazi.
Lakini si kila penye joto kuna mwanga, au kwenye kila mwanga kuna joto, kupitia hilo somo tayari atajua kuna nguvu ya mwanga japo haoni, kwani hata sie wazima hatuoni electromagnetic waves, lakini tunaona utendaji wake.
Thanks.
Unauliza kwasababu gani kwa mantiki ipi?Kwa sababu gani?
Tunajadili vyoteKwahiyo unasemaje?
Mtu mwenye akili na anayeona vizuri, atayaangalia mazingira yanayomzuka, kwa wazi kabisa atahisi kuwepo kwa nguvu kuu ambayo inamzunguka yeye na dunia yote, ataona ujuzi, nguvu na utashi wa kuishi. Hivyo vyote humlazimisha mwanadamu kukubali kuwepo kwa uwezo wa akili ya fani zote ikiwa ipo nje ya dunia ya kimaumbile.
Mtu yoyote anaye tathmini nafasi yake hapa duniani anaweza kutambua kwamba kuna nguvu inayomuumba yeye, ikamleta yeye hapa, inayomtia usongefu ndani mwake, na halafu tena humwondoa, bila ya ruhusa au msaada wake kutakiwa kwa ajili ya lolote katika hayo.
Ukitaka mpaka kusubiri uthibitisho wa kuweko kwa Mungu kutoka kwa mtu/kitu ambacho nachenyewe kinategemea Mungu kwa kuwepo kwake basi utasubiri sana Kwani hakuna siku Mungu alifichika kuhitaji uthibitisho.
Wewe unasema falsafa na logic ni dhana tu.Common Sense ni Akili ya Kawaida..
Umesema ni dhana ya Kifalsafa.. Kwahiyo contradictions zake ni kwenye Falsafa..
Ambazo Falsafa ni theories tupu.. Assumptions za kutosha.. Logics..
Leo ukiwa kipofu.. Ukaweza kuleta hoja hakuna mwanga sababu wewe huoni.. Hoja ukaweza kuitetea ni falsafa hiyo..!
Ukitumia common sense hata kama ni kipofu utajua kuna mwanga..!
Kifalsafa kipofu hawezi kusema kuna mwanga..
Logic ninazoongelea sio za computer na simu.. Computer na Simu hizi technology..!Wewe unasema falsafa na logic ni dhana tu.
Unaelewa kwamba hiyo computer/ simu inayokufanya uwasiliane nami hapa inatumia logic?
Unaelewa haya maandishi tunayotumia kuwasiliana yanatumia logic?
Unaelewa kwamba hata kuhoji falsafa na logic kutaka kuziponda, ushatumia logic?
Unaelewa kwamba hata huo mfano wako wa kipofu anayesema hakuna mwanga, unaiponda falsafa na logic, hapo hata wewe umetumia logic bado?
Unaelewa kwamba processor ya computer na simu inatumia logic gates?Logic ninazoongelea sio za computer na simu.. Computer na Simu hizi technology..!
Sijahoji Falsafa.. Nimeelezea..
Yes.. Na hiyo ndio point.. Ukitumia logic unaweza kuprove vitu vingi..hata kama sio vya kweli..
Mimi Kipofu huwezi kuniambia kuna mwanga na sijawahi kuuona.. Mchana na usiku hakuna kitu hicho.. Kwangu kote giza.. Sasa ikija uwepo wa MUNGU logic haina kazi..!
Inatakiwa Common Sense..!
Hakuna watu wengi wanaosema,jua halipo,wangekuwepo wengi,wanaosema jua halipo,ndio ungetolea mfano.Usitolee mfano ambao,haupo.Hapana, watu wengi wanaweza kukosea.
Kwani watu wengi wakisema jua halipo, wakati lipo, jua linaacha kuwepo?
Hujaelewa hoja.Hakuna watu wengi wanaosema,jua halipo,wangekuwepo wengi,wanaosema jua halipo,ndio ungetolea mfano.Usitolee mfano ambao,haupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes.. Nafahamu..!Unaelewa kwamba processor ya computer na simu inatumia logic gates?
Common sense ndiyo inaruhusu contradiction?
Toa mfano,kinachosemwa na watu wengi,hakipo,na kipo.Hujaelewa hoja.
Watu wengi wakisema kitu hakipo, wakati kipo, hilo linafanya kitu hicho kisiwepo?
Wakibadilisha mawazo na kusema hakipo kinatoweka hapohapo?
Ndio nauliza kwanini Mungu wa sifa hizo hayupo?Unauliza kwasababu gani kwa mantiki ipi?
Au Mungu unayemuamini hana sifa hizo?