Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

Watu wajinga sana.kazi ya mungu siku zote haina MAKOSA. Kwann hamtaki kukubali ufundi wa mungu kwenye hili?
Kuna viongozi wangapi wamekufa hamjaleta nongwa namna hii????
Sokoine, nyerere nk.
Tena nyerere alienda wingerrza akiwa anatembea mwenyewe?
Kwann mnaamini kwamba yule MAGUFULI haikuwa kifo cha kawaida kama walivyokufa Bibi na babu zenu????
 
Hii ndo JF sasa
Asante
 
Ukishalipata utamrejesha hai?

Kwa nini hujaanza na la Mkapa?

Ni wapi uliyaona haya unayowazia.

Maisha yanaendelea na wapigaji wanaenjoy pindukia!!
Watu walianza kupiga baba..wakamalizia na mtoto. Game over. Wamemaliza kazi wanakula bata tu. Muda wote wana smile...

NB: JOGOO LA SHAMBA HALIWIKI MJINI!
 
Utamuua huyu.. hajui hata unaongelea nini
 
''lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion

Research question: Could this death be prevented?

Remember: Prevention is better than treatment!!''
Mkuu tambua kifo kwa mwanadamu ni lazima, no matter ni rais,mjumbe wa nyumba 10 au mwananchi wa kawaida.
Utadraw conclusion ya nini? Na kama kudraw your conclusion chukua sampuli nyingine kibao tu ambazo zinafanana na watu kama Mwendazake.

Nakushauri ufanye research yenye tija kwa walio hai mzee baba.
 
Moja, unadhani utakuta nini humo cha ajabu zaidi ya habari hizo hizo ziliwekwa mainstream ?

Pili unadhani hata ukiomba tu file la mtu baki pale jirani yako aliyefariki utapewa ?..., Yaani upewe wewe kama nani ?
 
Sio Rais ni marehemu sasa hiyo public property haipo tena.

Mtu kama yule alikuwa na ma jammers,madege Angani,majeshi ya ndani na Nchi jirani na maombi na pambio.

Nani wa kumsogelea kiongozi wa malaika ? [emoji16][emoji16][emoji16]
public property haipo! hebu nenda kwenye kaburi lake ukachukue tu hata shada moja la ua uone utakapoishia.
hata kama amekufa atabaki kuwa na cheo hichotu milele ndiyo maana pale panalindwa mpaka kesho.
 
Kuna mwanamke .mke wa Rais Yasser Arafat alipambana na vikwazo vyote mlivyotaja hapo juu lakini haku give up na alifanikiwa kuweka public mazingira ya kifo cha mmewe Yassir Arafat .hakuna lisilowezekana ila si culture ya mswahili kutokugive up
Hilo limewezekana kwenye nchi ambayo haina mwenyewe
Nchi hii ina wenyewe ukianzisha tu watu tayari wameshakuzunguka
 
Ukiingia google utakuta picha za post mortem ya kennedy,mwili ukiwa umelazwa kwenye slub ya mortuary na pathologist wakiuchunguza.
Kwetu Tanzania jambo hilo la kuweka details za kifo cha Rais si utamaduni wetu.
Jambo la pili ni shauku wanayokuwa nayo watu wengi ambao sio madaktari "amekufa na ugonjwa gani?';Kwani ilikuwaje?
Ukiwa kila siku unashughulika na mambo ya kutibu na ku certify death haya sio mambo ya kutamani.After he is dead!
 
public property haipo! hebu nenda kwenye kaburi lake ukachukue tu hata shada moja la ua uone utakapoishia.
hata kama amekufa atabaki kuwa na cheo hichotu milele ndiyo maana pale panalindwa mpaka kesho.
Nichukue shada kwenye kaburi la mwehu nipeleke wapi? Si itakuwa uchuro Kwa familia yangu?
 
Ipitie hiyo sheria kwanza.

Vile vile tume maalum inaweza kuundwa kuchunguza kifo chake.


Mr stroke nashukuru kwa attachment yako

nimejifunza kitu mhimu sana

1.kwanza file siwezi pewa mpaka Rais au DPP aridhie.hii ni shida sasa

2.Lakini pia kuna cha kujifunza kwenye hiyo ripoti juu ya kifo cha rais wa Malawi
a/communication with his personal physician was no good.eidha,physician yule hakuambiwa kuwa Rais au mteja wake amepata tatizo la kiafya ?
yani physician mzima anaenda ku attend emergency bila emergency kit ? very interesting ""


kuna mambo mengine mengi natamani kukuambia kuhusu ripoti hiyo hapo juu ,lakini nayaacha kwa usalama wangu na Taifa langu .maybe ukinipa email address yako nikutumiage .


ambacho naweza kurecommend kwa ikulu za nchi za AFRICA kutokana na nilichojifunza kupitia ripoti ni kuwa :

1.IKULU ziwe na vifaa vya emergency including Vifaa vya intubation,mitungi ya oxgen,defibrillator machine etc.
2.Physician wa ikulu aishi ikulu lakii pia ikitokea tatizo awe tiari kuulizwa na public na siyo mpaka rais atoe kibali cha kuulizwa.daktari WA RAIS ni binadamu hivyo anaweza kokosea kama wengine.


Kwa hayo machache ,naomba tufunge mjadara
 
Mjadala umefungwa na moderators wawe informed kuufunga.
 
Kama kila nafsi itaonja mauti sasa unajaribu kuprevent nini tena....
 
Why mkuu,Kuna sheria inazuia hii,ugonjwa wa mgonjwa ni siri yake na Doctor wake!
 
Mwalimu seif iko wazi kabisa kuwa alipigwa na kitu kizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…