Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
πππ Ukweli mchungu.Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,
Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,
Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,
Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,
#Panicatyourownriskπ«
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊHili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,
Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,
Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,
Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,
#Panicatyourownriskπ«
Naam hope unaye tayari.Dr. Mariposa mimi nahitaji mwanaume regardless ya hayo yote uliyoandika
Nilikuwa nawaza hivi pia, wanaume wasingekuwepo wangekuwepo wanawake ambao wenye kudisplay toxicity kama wanaumeNaam hope unaye tayari.
Lkn pia ukiweka pembeni jinsia zetu. Binadamu tunafanana, kuna wanawake wanao display masculinity kuliko hata wanaume na vivyo hivyo kwa wanaume.
Mimi namwona binadamu mwenye uke/ uume.
πππNgumi za leo hazina muamuzi, ngoja washuke kwenye bodaboda, na daladala kusaini daftari la kazini..