Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

Umeshaharibu huko pambana na hali yako
 
Case study:
Shule za bweni za wasichana pekee huko hakuna ugomvi, uonevu na wizi?
Kenya juzi juzi tu, wasichana wachache wamewasha moto mabweni ya kulala huku wenzao wakiwa ndani.
Walikufa wanafunzi kadhaa.

Hii tunaita proof by counter example.
Mpaka hapo nadharia yako imethibitishwa siyo sahihi kwa mfano hai.
Nilifikiri daktari wanasoma hesabu za logic.
Jalada lifike kwenu wakuu kwa uhariri
Mshana Jr , ephen_ , Khantwe , Joanah
 
Haujamuelewa mleta mada!
 
Mimi nimeshamjibu huko juu
Chochote atakochosema ama kumaanisha mimi nitabaki kuhitaji mwanaume kwenye haya maisha
 
Mleta mada ni lesbo anaona kusuguliwa na jike mwenzie ndo kamaliza maisha...

Hafikirii kabisa hilo pango analokaa wanaume walisimamisha.... Hajui kabisa yeye kuwepo duniani ni bao la mzee wake Lili husika...

Aisee udaktari sio fani yake. Itakuwa aliingizwa kwenye system kimchongo tu...
 
Mngetengenezewa mifumo ya kuishi na mother nature na bado mngeanzisha dawati la malalamiko kwamba kila panya wakiwaona wanatembea kwa kudemka kuwazidi.Nanyi hampendi hiyo tabia.
 

Mjadala unaomfuta mwanaume au mwanamke ili kuonyesha kuwa dunia ingekuwa sahihi zaidi jinsia moja isingekuwepo huwa inapigania uwepo wa mapenzi ya jinsia moja kwa kujitengenezea kakichaka.

Tukirudi kwenye mada, Kudhani mwanamke anahitaji ulinzi dhidi ya wanaume makatili pekee ni kutokujua historia.

Dunia haikuaanza tu na mazingira yanayomfanya binadamu anayezaliwa leo awe salama dhidi ya hatari. Majiji yenye umeme, barabara, makazi yanayotoa ulinzi yana historia kubwa sana na mwanaume.

Kabla ya mazingira ya sasa palikuwepo wanaume waliomlinda mwanamke na wanyama wakali, na baridi kali na pengine pasingekuwepo na kiumbe binadamu kama mwanaume asingesimama kwenye nafasi yake, na hata sasa, kijiji kikivamiwa na fisi, Simba, dubu ni wanaume watachukua silaha kwenda kuwakabili.

Mwanamke yeyote anayefikiri akimfuta mwanaume amefuta changamoto ya kuhitaji ulinzi asome historia, ataelewa kwanini mwanaume ni sehemu muhimu ya uwepo wake. Ukijua ulipotoka, ukajua ulipo, utapata picha ya unapokwenda.

Hakupaswi kuwa na vita Kati ya mwanaume na mwanamke. Na Wanawake hawana uspecial wowote kumzidi mwanaume and vice versa, sisi wote ni sehemu ya sababu zinazomfanya binadamu awepo. Kila mmoja asimame kwenye nafasi yake dhidi ya ukatili kwa mwanaume na mwanamke.

Nadharia ya jinsia moja ni nadharia ovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…