Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Wakiomba na wao,wanapewa,ni kwamba hawajaomba,Tulisoma shule na wanafunzi wa kisinga singa,wa kiume,wakivyaa vilemba kichwani,ni baada ya kuombewa na viongozi wa dini yao,kuwa hiyo ni imani yao,na ilikuwa shule ya serekali,hawakukatazwa kuvyaa.Utakubali kuwepo na vipindi vya dini ya kihindu pia? Wahindi wanalipa kodi kubwa sana pia.
Sio kweli kwamba katika lugha ya kiswahili karibia 30%ni maneno ya kiarabu. Kamusi Kuu ya Kiswahili niliyo nayo hapa mezani imeonyesha kwenye mabano maneno yote yenye asili ya kiarabu. Hayazidi asilimia tano.Utajipa tabu sana,katika lugha ya kiswahili karibia 30%ni maneno ya kiarabu,hii lugha kuikwepa sio rahisi,hata namba 0123456789,tumefundishwa mashuleni ni namba za kiarabu.Itabidi hata kiswahili na namba tuache kutumia.
Mkuu Kama una hoja peleka ofisini kwao moja kwa moja ingawa nina uhakika itagonga mwamba.Hapana. Habari ya "kuzima TV" haina nafasi katika hoja hii kwa kuwa TBC ni civi space.
Yaani TBC ni eneo ambalo linapaswa kuwa huru dhidi ya kanuni na mienendo ya kiparokia (particular phenomena), ambayo ni kinyume cha kanuni na mienendo mtambuka (universal phenomena).
Kwahiyo kwa upande wako hauoni kuwa hilo linahusisha dini na serikali?Nashauri yawepo, kama watakuwepo na wengine wataoona hawajatendewa haki kwao kutokuwa na sikukuu yao nao wanatakiwa ku-propose siku wanayotaka kuwa yao ya mapumziko wapeleke mapendekezo yao serikalini.
Utakuja kukataza pia wanaokwenda miskitini na makanisani,mahekaluni,wasipite kwenye barabara zilizojengwa kwa kodi zao.Tuache kupoteza muda na mambo ya kubalance. Taasisi, mifumo, idara na shughuli zote za serikali zisitumike kama jukwaa la dini YOYOTE.
Sisi sio wachina na msingi wa uwepo wa taifa letu haufanani na ule wa China.China wanaapa kwa Katiba tu na hakuna mambo yoyote ya kidini yanahusishwa katika viapo au kuendesha serikali.
We na ukoo wako mtakua masikini wakutupwa huko Usukumani, yaani we leo ndio umeona TBC inatumika kidini baada ya kuona waislam? Vp jumapili zote huwa huoni ya mapambio? Kweli mmeshikwa make..nde na mmekosa la maana lakujadili, nyie makafiri mna shida sana, wakwenu akiongoza nchi hua mnakuaga vipofu, kwa Taarifa yako mjijue mna matatizo maana kila awamu yenu ndio Taifa huteseka maana neno Haki kwenu hamnaga kabisa
Hao wa dini mbili tatu pengine wanalipa kodi kubwa kuliko hao wasio na dini.TV inayolipiwa kodi na watu wa dini zote, waganga na wasio na dini haitakiwi kutumika kama jukwaa la baadhi ya imani mbili au tatu tu. Na ili kuondoa huo mkanganyiko vipindi vya dini visirushwe katika TV au redio za taifa pamoja na magazeti.
Hizo dini zina vyombo vyake binafsi, ingeleta mantikia kama vingekuwa vipiandi vya dini zisizo na vyombo vya habari kabisa
Ndio hivyo hivyo ujuwe hao wenye hizo dini ni watanzania,walipa kodi wana haki kutumia vyombo na miundominu na taasisi za kitanzania.Sio kweli kwamba katika lugha ya kiswahili karibia 30%ni maneno ya kiarabu. Kamusi Kuu ya Kiswahili niliyo nayo hapa mezani imeonyesha kwenye mabano maneno yote yenye asili ya kiarabu. Hayazidi asilimia tano.
Pia, hata kama ni kweli kwamba tarakimu za 0,1,2,3,4,5,6,7,8,9 ni namba za kiarabu tayari zimebantuishwa. Ni kama ambavyo tunajenga nyumba, kuvaa nguo, na kuendesha magari yasiyo ya kibantu. Mambo haya hayana athari kwa Utaifa wetu.
Ndio maana mie nauliza huyo mlipa kodi hasa ni nani?Utakuja kukataza pia wanaokwenda miskitini na makanisani,mahekaluni,wasipite kwenye barabara zilizojengwa kwa kodi zao.
Hitimisho: Wewe haujui haki zako, wala jinsi ya kuziteteaMimi mkatoliki ikifika ijumaa asubuhi sisumbuki kufungulia TBC na pia sijisumbui kuangalia channel yoyote ya dini isiyokuwa yangu ingawa ninao marafiki wa dini zote.
Nazijua haki zangu na najua faida za hali kuwa kama ilivyo.Hitimisho: Wewe haujui haki zako, wala jinsi ya kuzitetea
Kama ni hivyo, kwa nini unaunga mkono TBC kutumika kama chombo cha kuendeleza ukoloni wa kilugha na kidini?Nazijua haki zangu na najua faida za hali kuwa kama ilivyo.
Mimi sio wa jana wala wa juzi naelewa namna gani Tanzania inavyofaidika na huu utangamano tulionao.
Kwahiyo hata haya mapumziko ya kazi kwa sikukuu za dini kama Eid na Krismas nazo pia zisiwepo?
Mwandishi,Mungu anayekula kiti moto na Mungu asiyekula kiti moto vitu viwili tofauti
Serikali imehusika na masuala ya dini hapo kazi zimeacha kufanyika kwa sababu ya masuala ya dini walipa kodi wanakosa huduma siku hiyo kwa sababu kuna sikukuu ya dini.Mapumziko ya dini ya Eid na Krismas yanagharamiwa na serikali?
Halafu wafanyakazi wa serikali ukiwaambia wakae nyumbani bila kufika kazini hata mwaka mzima huku unawalipa watafurahi sana na wataona ni fursa ya kufanya mambo yao binafsi, hawatalalimika. Tatizo ni kwa watu wanaokosa huduma muhimu siku fulani kwa sababu ya mambo watu waliyojitungia.
Sio ukoloni bwana mdogo ndio uhuru wenyewe wa kuabudu na siku zote unazo gharama zake.Kama ni hivyo, kwa nini unaunga mkono TBC kutumika kama chombo cha kuendeleza ukoloni wa kilugha na kidini?
Sisi sio wachina na msingi wa uwepo wa taifa letu haufanani na ule wa China.
Soma historia za mataifa mbalimbali itakusaidia kukuza upeo wa kidunia.