Naona umeamka na mimi jirani😁😁Nakazia
Cc: Binti Sayuni03
Uko sahihi mkuu, kunywa soda hapo kwa MangiUmeandika mambo ya kinadharia zaidi ya uhalisia mabinti wengi wenye umri wa miaka 18 mpaka 25 huwa wanapenda kudate na watu walio wazidi umri kuliko vijana wanao lingana nao umri.
Alafu acheni kuwa mnalazimisha thamani ya mwanaume ilingane na ya mwanamke,thamani ya mwanaume iko juu na ndio maana mwanaume akiamuwa kuoa anaweza kuoa muda wowote anao taka, lakini mwanamke hana uwezo wa kuamua ataolewa lini bali anategemea maamuzi ya mwanaume anaye taka kumuoa.
Wanawake wanashinda kwa waganga kuroga wanaume wawapende, wawahonge, wawaoe lakini ni ngumu kukuta eti mwanaume ameenda kwa mganga kumroga mwanamke ampende.
Mwanaume na mwanamke mwenye 30 ukiwapanga hapo mionekano yao ni mbingu na ardhi.
haha we si uliachana na mapenzi 🙂Naona umeamka na mimi jirani
Kwanza ni nani aliyekuambia mimi huwa nafanya hasty generalizations za kipuuzi kama ambazo wanaume mnafanya kwa wanawake wote, mimi najua kabisa kwamba wapo wanaume wengi tu wanaojielewa ambao hawana mitazamo ya kipumbavu mimi ugomvi wangu uko kwa misogynists tu kama wewe na si wanaume wote, hayo ya kusema wanawake hawajui wanachotaka ni propaganda kama propaganda nyingine tu ninyi wenyewe wanaume kuna mambo mnafanya yanaashiria kabisa hamjui mnachotaka.. halafu ndio mmejigeuza kuwa wasemaji wa wanawake na kujifanya mnawajua sana kuliko wao wanavyojijua.. pathetic!!Kunatofauti ya kitu Mwanamke anachotaka na anachohitaji. Ukieelewa hii formula hautaumia kichwa kwenye mahusiano. Wanawake wanapelekeshwa na vitu wanavyovitaka na kutulizwa na vitu wanavyohitaji.
Mwanaume wa umri wa miaka 30 tayari unatakiwa uwe unajua mahitaji ya msingi ya mwanamke ambayo yatamtoa hofu ya nani ananisimamia maisha yangu.
Wanawake wengi unavyowaona wanahangaika kubadili wanaume,kujichubua,kudanga,kugundika mabichwa yao na mawigi ya nywele za binadamu wenzao,makucha feki,kupost kwenye social networks picha za utupu na mitego, yote hii ikupe picha ya kwamba wana insecurities mbali mbali ambazo ukizichunguza zinatokana na kushindwa kuelewa watapata vipi mwanaume atakae wapa mahitahi yao ya msingi ambayo hawayajui tokea wazaliwe wanafanya kudhania tu au kuhisi.
Wanawake wengi wanafuata mkumbo wa wenzao wanafanya nini ndio maana tabia zao wengi zinakuwa influenced na wanachoona kwa wenzao kama uvaaji,tabia za kuomba vitu vilivyo nje ya uwezo wao, na chaguzi za wanaume kwa muonekano.
Ukichunguza utandugua si kila mwanamke anayesema anataka mwanaume mrefu au mweusi au mwenye ndevu akiingia kimahusiano nae huwa anakuwa amesharidhika na atasettle nae bali ataingia na kuanza kulalamika kukosa vingine alivyotarajia hii ni matokeo ya kuamini kilicho nje ya akili yake zaidi.
Ukweli ni kwamba mwanamke hawezi kujua anachokitaka bali anakuwa influenced kimaamuzi na sehemu penye guarantee ya securities zake.
So mwanaume akiweza kutengeneza profile yake binafsi ya kimaisha yenye ufunuo wa mafanikio ya siku zijazo hata kama si ya pesa nyingi but yanayoweza mpa guarantee mwanamke ya uhakika wa maisha ya utulivu baadae then mwanamke hawezi chomoa kwa huyo mwanaume.
Shida ni mwanaume wa miaka 30 unakutana na binti wa miaka 19 hadi 23 halafu unamwambia tuanze chini ajinyime na kuvumiliana hautatoboa. Umri wa miaka 30 unatakiwa kujua kama upo determined kumteka kiakili binti then umfuate kwa mbinu za kijasusi ili kichwani kwake akufungulie file la mwanaume wa maisha yake. Yaani ukikaa wewe na mwanaume mwenye pesa nyingi ajiskie salama kujikabidhisha kimaisha kwako zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa na mali ambaye kuna uwezekano baadae akaja kumtema sababu anawanawake wengi wanamfuata.
Shida ni wengi hamsomi akili za hawa vilaza mkawaelewa. Mfano,Jadda anaweza kuja hapa anasema vitu negative kuhusu wanaume ila ndani ya moyo wake akitokea jasusi m'moja akamuendea kwa utaratibu akamuwin kuanza mahusiano utashangaa yeye ndio mtoaji kuliko huyo mwanaume na akipigwa ukuni analia kabisa kuwa "ukiniacha najiua". Usisikilize mwanamke anasema nini, sikilizia hisia zake halafu fanya kinyume chake.
Elimu unayohitaji kama mtoto wa kiume ni kujua ni vitu gani wanawake wanahitaji kimsingi ambavyo by average kila mwanamke anavitafita na ni vitu vipi wanataka. Hii nadhani sijawahi kuizungumzia kwenye nyuzi zangu na itabidi nitengee muda kulizungumzia.
Ili nigundue nini😁😁haha we si uliachana na mapenzi 🙂
Na kinyume chake ni kweliMimi naona kikubwa ni kuomba Mungu tu, haya mambo hayana formula, unaeza oa mdada mwenye 29+ ukapata wife material atakaekupa amani kwenye ndoa maisha yako yote, unaeza ukaoa 19-23 ukapata pasua kichwa.
Ukweli mchungu JaddaKwanza ni nani aliyekuambia mimi huwa nafanya hasty generalizations za kipuuzi kama ambazo wanaume mnafanya kwa wanawake wote, mimi najua kabisa kwamba wapo wanaume wengi tu wanaojielewa ambao hawana mitazamo ya kipumbavu mimi ugomvi wangu uko kwa misogynists tu kama wewe na si wanaume wote, hayo ya kusema wanawake hawajui wanachotaka ni propaganda kama propaganda nyingine tu ninyi wenyewe wanaume kuna mambo mnafanya yanaashiria kabisa hamjui mnachotaka.. halafu ndio mmejigeuza kuwa wasemaji wa wanawake na kujifanya mnawajua sana kuliko wao wanavyojijua.. pathetic!!
Tukija kwenye mada mtoa mada yuko sahihi kwa kiasi fulani ila kuna kitu amesahau kukiongelea nacho ni mabinti wengi wa sasa kwenye umri huo wa early 20s hawako tayari kuolewa mapema, na hilo hata ninyi wenyewe huwa mnakiri kwamba mabinti wakiwa katika umri huo hawataki kuolewa na hata wakiolewa wengi wao huwa ni wasumbufu kwenye ndoa, kwa sababu ya kuwa na utoto mwingi hivyo wanaume wengine hushindwa kuvumilia na kuamua kuwataliki ndio hawa wanaoachika mapema
Hata ninyi wenyewe tu mnaona namna mabinti walivyo wasumbufu kuolewa yani hata kama mwanaume ana pesa binti atataka achune tu hizo pesa na si eti aende kujicommit kwenye ndoa, mabinti wa sasa wengi nao wanataka kula ujana wanasubiri wakishatumika wakishafika umri wa early 30s ndio wanaanza kutafuta ndoa, na ndio wanaume mkija huku mitandaoni mnajifanya hamuwataki ilihali tunaona kila siku mnawaoa hao hao maana mnajua jinsi gani ilivyo ngumu kupata mabinti wabichi ambao wako tayari kuolewa mapema zama hizi
Aaah mdada uolewe ukiwa miaka 40, unataka uzae Pierre liquid princess arianaMtatuoa tu sisi wa 30++ kuweni na subira tena mnaweza kutuoa tushafika 40
ITR Zemanda na joseph1989 wamemaliza kila kitu.
Maamuzi ya kijinga tu haya sijui huwa wanafikiri nini..
Ukiolewa na 40 nyumba si itageuka ukanda wa Gaza.Mtatuoa tu sisi wa 30++ kuweni na subira tena mnaweza kutuoa tushafika 40
Same to you, karibu kura😁haha 🙂
Sawa sawa jirani mchana mwema
Sio swala la mimi kuambiwa,ni swala la namna wewe mwenyewe unavyojipresent kwenye hii platform, kwan hapa huwa unakinzana na mimi pekee yangu?Kwanza ni nani aliyekuambia mimi huwa nafanya hasty generalizations za kipuuzi kama ambazo wanaume mnafanya kwa wanawake wote, mimi najua kabisa kwamba wapo wanaume wengi tu wanaojielewa ambao hawana mitazamo ya kipumbavu mimi ugomvi wangu uko kwa misogynists tu kama wewe na si wanaume wote, hayo ya kusema wanawake hawajui wanachotaka ni propaganda kama propaganda nyingine tu ninyi wenyewe wanaume kuna mambo mnafanya yanaashiria kabisa hamjui mnachotaka.. halafu ndio mmejigeuza kuwa wasemaji wa wanawake na kujifanya mnawajua sana kuliko wao wanavyojijua.. pathetic!!
Haujakosea ila nilichokisema sijui kama umeelewa. Wanafanya hivyo sababu wanakuwa chini ya mwanaume ambaye hajanyooka na kuwapangia majukumu. Binti wa miaka kati ya 19 -23 ni mdogo sana kiakili na rahisi kurubunika.Tukija kwenye mada mtoa mada yuko sahihi kwa kiasi fulani ila kuna kitu amesahau kukiongelea nacho ni mabinti wengi wa sasa kwenye umri huo wa early 20s hawako tayari kuolewa mapema, na hilo hata ninyi wenyewe huwa mnakiri kwamba mabinti wakiwa katika umri huo hawataki kuolewa na hata wakiolewa wengi wao huwa ni wasumbufu kwenye ndoa, kwa sababu ya kuwa na utoto mwingi hivyo wanaume wengine hushindwa kuvumilia na kuamua kuwataliki ndio hawa wanaoachika mapema
Mbona wapo na watu wanaoa huku chini. Malalamiko yapo na lazima watu walalamike ila haimaanishi hakuna mabinti bikra wanaojitunza mbona wapo sana.Hata ninyi wenyewe tu mnaona namna mabinti walivyo wasumbufu kuolewa yani hata kama mwanaume ana pesa binti atataka achune tu hizo pesa na si eti aende kujicommit kwenye ndoa, mabinti wa sasa wengi nao wanataka kula ujana wanasubiri wakishatumika wakishafika umri wa early 30s ndio wanaanza kutafuta ndoa, na ndio wanaume mkija huku mitandaoni mnajifanya hamuwataki ilihali tunaona kila siku mnawaoa hao hao maana mnajua jinsi gani ilivyo ngumu kupata mabinti wabichi ambao wako tayari kuolewa mapema zama hizi