Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

Hao mabinti wa miaka 20 wanao kataa kuolewa labda kama wako huko dar lakini kiuhalisia asilimia kubwa ya mabinti ndani ya nchi hii huwa wanaolewa baada ya kumaliza kidato cha 4 na ndoa zao huwa zinadumu.
Wale wanao chelewa kuolewa wengi wao ni wale walio bahatika kuendelea na masomo huko vyuoni na kumezeshwa itikadi za kifemenist za kuaminishwa kuwa wanaweza kuishi bila kutegemea mwanaume maishani mwao,lakini na wao umri ukisha enda huwa wanagundua kuwa kumbe walikuwa wana jilisha upepo na ndio maana huwa wanaenda kwa waganga kuroga ili wapate wanaume wa kuwaoa ambao hapo nyuma walikuwa wana wakataa.
Hakuna uhusiano wowote kati ya ndoa kudumu na umri wa muoaji au muolewaji na ndio maana kuna mabinti kibao wameolewa wakiwa na miaka 16 tu na ndoa zao zimedumu wakati kuna watu wameolewa wakiwa na miaka 30 mpaka 40 na ndoa zikawashinda.

Ukiona binti amefikisha miaka kuanzia 19 na kuendelea na bado ana ujinga unao uita utoto basi tambua kuwa hata akifikisha miaka 50 atakuwa na huo ujinga kwa sababu na wajinga huzeeka.
 
kiufupi mi 30s lakini napendwa na mabinti wadogo kuliko watu wazima sa sijui ni kwa ajili ya umbo langu dogo sijui.
 


Kila mtu anaoa yule anaona anafaa kufanya nae maisha. Ila binafsi binti below 30 hapana!
Sasa nawauliza ninyi kina Zemanda na ITR kama mnajua na mnaona kuna mabinti wengi wenye bikira, kwanini sasa wanaume kila kukicha mnalalamika kwamba hakuna wanawake wa kuoa, sababu wanawake hawajitunzi hadi wengine mnafikia hatua ya kujiita kataa ndoa

Japo wenye akili tunajua hiyo kataa ndoa ni "sizitaki mbichi hizi" tu, ila kwanini sasa msiende kuwaoa hao wanawake wenye bikira zao mnaodai wako wengi sana, badala yake mnahangaika kuwatukana hawa wasio na bikira ambao ni wachache sana hebu nielewesheni

Halafu mnaona mwanaume mwenzenu huyo alichosema kwamba yeye hataki kuhangaika na mabinti walio below 30, halafu ninyi ndio mko humu mnajifanya wasemaji wakuu wa wanaume wote, kana kwamba mliambiwa wanaume wote duniani wana mitazamo na mahitaji sawa
 
Huu uzi unanigusa, mimi niko above 30, sijaoa...bahati mbaya nakutana na mabinti wa rika la chini ya miaka 20, hawa ndio wananivutia, huku nilipo mabinti wanaolewa mapema, wanazaa mapema, juu ya miaka 20 wana watoto wawili. Na mimi sio mtu wa huku, sijakulia huku, moyo wangu unakuwa mzito kudate na mtoto wa miaka 18, ila ndio wanaonivutia baada ya kuwa rika la juu yao wanazaa mapema. Nina mfanyakazi mwenzangu kastaafu mwaka juzi, kaoa mtoto wa 2005. mimi nina miaka sita kazini, naona haya kuoa rika hilo hilo.
 
Mbona kwenye andiko langu hakuna nilipo ongelea bikra mm?ebu soma coment yangu vizuri.
Kwani wasichana wenye miaka 18 mpaka 23 wote ni mabikira?
 
Umri wa 18 mpk 23 ni prime age, umri wa kukitombesha sababu ana options, labda kama statistics zimebadilika ila hilo group age walioolewa walikuwa wanaongoza kwa ukimwi, sasa oa akitombeshe nje wote mfe na ukimwi, huyo wa 29 ana emotional maturity pia ana EXPERIENCE so anajua what she wants she is ready to settle down...
 
Ana emotional maturity baada ya kutumikia usista huko parokiani halafu akastaafu?🤔

Hiyo 29 si anakuwa ameanza kupunguza speed ya umalaya wake.
 
Ana emotional maturity baada ya kutumikia usista huko parokiani halafu akastaafu?🤔

Hiyo 29 si anakuwa ameanza kupunguza speed ya umalaya wake.
Wewe kwani ulivyokuwa na miaka 20 ulijions umekua au ulivyokua na 29????

Kwako wanawake wote ni malaya, sitaki ligi nipishe ligi za mchangani zisizo na kombe sihitaji
 
Wewe kwani ulivyokuwa na miaka 20 ulijions umekua au ulivyokua na 29????

Kwako wanawake wote ni malaya, sitaki ligi nipishe ligi za mchangani zisizo na kombe sihitaji
Sasa ligi ipo wapi na nimekuuliza swali mtambuka kabisa?

Kwamba unasema mwanamke wa miaka 29 ana afadhali kuliko wale wa rika la 19 hadi 23, ndio nikakuhoji kwamba wa miaka 29 si ameshaanza kuliona jua la jioni ndio maana ameanza kujihadhari na kupunguza speed ya umalaya.

Sasa mwanamke aliyelala na wanaume zaidi ya 5 bila sababu za msingi unamwitaje?
 
Kila mtu anateseka Kwa namna yake huko kwenye ndoa zao uoe wa miaka 15 sijui 20 mateso yapo uoe wa 28 sijui 30 mambo ni yaleyale
Mwanaume kama unahasira z haraka haraka hizo ages zote ni pasua kichwa ni wewe namna ya ku shape tabia ya mwanamke haijalishi umri wake
 
Hio ni observation yako yangu ukiwa na miaka 29 unakuwa more matured kuliko ukiwa 19, kwa heri.
 
Hio ni observation yako yangu ukiwa na miaka 29 unakuwa more matured kuliko ukiwa 19, kwa heri.
Kwahiyo tukubaliane kwamba wanawake mnachukulia mwanamke matured ni yule aliyetembea na wanaume wengi,hana bikra,katoa mimba kadhaa,akili yake ina maumivi ya changamoto za kimahusiano na kadhalika hiyo ndio kwenu mnaita maturity? Eti mama, kwamba umalaya ndio experience ya kukua kwa mwanamke siku hizi?

Unaona sasa wanawake akili zenu namna zinafanya kazi halafu mnasema mnaweza kuongoza,hivi nyie ndio mtaweza kutuongozea mabinti zetu ili waje kuwa wake bora siku zijazo kwa hizi akili mpunyuko kiasi hiki?🤔
 
Nimekuuliza hivi wewe ulijiona umekuwa zaidi ulivyokuwa na miaka mingapi 19 au 29? Usiwe unaniquote popote, hii ndio posti yangu ya mwisho kwako...bye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…