Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

Siku hivi ukiingia Tik Tok unakuta wadada wameamua kutangaza sera zao unakuta kaweka list ya vitu ambavyo wewe mume mtarajiwa usihofu.

Sometimes muda unawakatili sana hawa dada zetu.
 
namkumbuka madam wangu alipokuwa anatufundisha alipenda kuchomekea vistory vya mahusiano, alisema "kaka zangu wala msihangaike kutongoza, cha muhimu changia huduma bila kuombwa pesa kama za saluni, misosi, kodi, mavazi na nyinginezo,, punguzeni kujieleza"
 
umeshusha nondo 🙌
 
🙌
 
😂 Sema nowdays wadogo zetu kuanzia 15 mpaka hiyo 23 wanatumika sana kiasi kwamba tukiwa nao washachoka hadi wanaonekana wakubwa kutuzidi dada zao
Yani mtoto wa miaka 17 ashaanza kuunga uchi kama anaunga chai🙌
 
Kapeace , nafasi yako kama mshangazi mkongwe, uzoefu wako unahitajika huku, plz.
 
Nimekuuliza hivi wewe ulijiona umekuwa zaidi ulivyokuwa na miaka mingapi 19 au 29? Usiwe unaniquote popote, hii ndio posti yangu ya mwisho kwako...bye.
Mtu kuwa na akili au kutokuwa nayo haina uhusiano wowote na umri wa mtu kuna vijana wa miaka 18 mpaka 25 wako simart kichwani alafu wakati huo kuna watu wazima wa miaka 50 wamejaa makamasi vichwani.
Na ndio maana kuna mabinti wengi wanaolewa baada ya kumaliza kidato cha 4 tu na wanatunza ndoa zao hali yakuwa kuna walio olewa wakiwa na miaka 30 na elimu kubwa lakini ndoa zikawashinda.
Alafu kingine unacho takiwa kujua ni kuwa akili ya mwanamke huwa sio muhimu sana ndani ya ndoa kitu muhimu anacho takiwa kutimiza ndani ya ndoa ni muaminifu na utii basi hizo akili zenu huwa hatuziitaji sisi.
 
Asilimia kubwa ya mabinti ndani ya nchi hii wanaolewa baada ya kuhitimu kidato cha 4 na hawajawahi kuwapelekea huo ukimwi waume zao na wala sio wazinzi.
Hakuna umri maalumu kwa ajili ya kufanya umalaya na uzinzi ,ukiona mtu kipindi cha balehe yake amekuwa malaya basi jua hatoacha umalaya wake eti kwa sababu amefikisha miaka 29 au 50.
Kiufupi hakuna uhusiano kati ya tabia ya mtu na umri alio nao.
 
Mbona kwenye andiko langu hakuna nilipo ongelea bikra mm?ebu soma coment yangu vizuri.
Kwani wasichana wenye miaka 18 mpaka 23 wote ni mabikira?
Sawa bado swali langu linasimama pale pale, kwanini hamuendi kuoa hao mabinti wenye huo umri ikiwa mnadai wapo wengi wanasubiri kuolewa tu, badala yake mnalialia kuhusu hao mafeminist hadi mnafikia hatua ya kukataa ndoa
 
Watoto wa miaka 19-23 bado wana akili za kitoto watakusumbua bure tu mkuu
 
Watoto wa miaka 19-23 bado wana akili za kitoto watakusumbua bure tu mkuu
Huo unao uita utoto sio utoto bali ni upumbavu hakuna mtoto mwenye umri wa miaka 23, na huo upumbavu huutaisha kuchwani eti kwa sababu amefikisha umri wa miaka 29 au 50.
 
Huo unao uita utoto sio utoto bali ni upumbavu hakuna mtoto mwenye umri wa miaka 23, na huo upumbavu huutaisha kuchwani eti kwa sababu amefikisha umri wa miaka 29 au 50.
Oa kwa raha zako, naona mshipa unatoka kutetea...wewe ulioa ulivyokuwa na 23 years?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…