Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

Sawa bado swali langu linasimama pale pale, kwanini hamuendi kuoa hao mabinti wenye huo umri ikiwa mnadai wapo wengi wanasubiri kuolewa tu, badala yake mnalialia kuhusu hao mafeminist hadi mnafikia hatua ya kukataa ndoa
Ww dada unapenda ligi sana , nimesha kwambia kuwa wanawake kwa asilimia kubwa ndani ya nchi hii wanaolewa wakiwa bado wadogo chini ya hiyo miaka 23 sasa watakuwa wanaolewa na nani kama sio wanaume kama sisi?
 
Nyie mnaosema kizazi sijui upumbavu gani...oestrogen female hormone responsible for ovulation is at peak during mid 20's to late 20's na sio early...
 
Ww dada unapenda ligi sana , nimesha kwambia kuwa wanawake kwa asilimia kubwa ndani ya nchi hii wanaolewa wakiwa bado wadogo chini ya hiyo miaka 23 sasa watakuwa wanaolewa na nani kama sio wanaume kama sisi?
Na divorce rate iko juu pia
 
Aisee
 
Oa kwa raha zako, naona mshipa unatoka kutetea...
Kwani hao mabinti wa miaka 30 na 29 unao ona wanafaa kuolewa wao hawakupita kwenye hiyo miaka 19 na 23 bali walizaliwa wakajikuta wana miaka 30?au wao sio wazinzi kwenye ndoa zao ni watakatifu?
Nimesha kwambia kuwa hakuna uhusiano wowote kati ya ndoa kuwa na amani na umri wa muoaji au muolewaji.
Mwanamke akingia kwenye ndoa akawa muaminifu na mtiifu kuna asilimia 90 ya ndoa hiyo kudumu,na mwanaume akiingia kwenye ndoa akaweza kutimiza majukumu kama baba wa familia kuna asilimia 90 ya ndoa kudumu.

Wapo mabinti wameolewa wakiwa na miaka kumi na mitano tu na mpaka sasa wapo ndani ya ndoa zao na wanazitunza hali ya kuwa kuna watu wameoana wakiwa watu wazima na ndoa zimewashinda.
Kama kuoa mwanamke mwenye umri mkubwa ndo ingekuwa kipimo cha ndoa kudumu na kuwa na amani basi jiji kama dar lilitakiwa kuwa mfano bora wa ndoa kudumu maana ndo sehemu watu wanaoana wakiwa watu wazima lakini badala yake ndo mkoa unao ongoza kwa talaka.
Kijana wa miaka 23 anakuwa na utoto gani zaidi ya kuendekeza upumbavu, yaani leo hii binti yangu wa miaka 19 awe malaya na mm nikae ninamchekea huku nikisema ni utoto unamsumbua?
Kwa mawazo kama ya kwako huwezi kushangaa ni kwanini waafrika ni masikini na tutaendelea kuwa masikini,kwenye nchi za wenzetu kijana wa miaka 23 ni captain wa jeshi anaye ongoza wenzake kwenye uwanja wa vita leo hii sisi tunasema eti ni Mtoto.
 
Ww dada unapenda ligi sana , nimesha kwambia kuwa wanawake kwa asilimia kubwa ndani ya nchi hii wanaolewa wakiwa bado wadogo chini ya hiyo miaka 23 sasa watakuwa wanaolewa na nani kama sio wanaume kama sisi?
Hizo takwimu zako ni kwa mujibu wa chanzo gani
 
Nilipokuwa na miaka 20 ya mwanzoni nilikuwa nakataliwa kinoma nikaamua kusaka tu business sahvi🤣am 35 babu naambiwa sijiheshimu
 
Miaka 23 nilikuwa bado nanunuliwa nguo na 😂mzazi dah🙌
 
Kuna mmoja nilmtongozaga miaka hiyo akasema kuolewa hadi afikishe 25
 
To cut the long story short mwanamke hutafuta kwingine kile anachokimiss kwa mtu wake
 
In Manara voice wajinga nao huzeeka
 
Kuoa mwanamke mwenye miaka 18-23 kuna faida kubwa kuliko hasara

-uzazi unakuwa upo vizuri no birth complications
-Maturity - ukomavu wa akili na hisia mwanamke akiwa na umri mdogo anakuwa very teachable kuliko akiwa ameshakuwa aged 29+

-Submissive - utii ukioa mwanamke mdogo anakuwa na utii Sana she can handle ur situation.

- Afya akili na mwili .
 
...huko nchi za wenzetu wana changamoto kama sisi???, nchi za wenzetu miaka 18 kamaliza A level, 21 amemaliza University 23 Ana kazi,23 na mfumo wao wa elimu uko better shuleni wanafundishwa kuanzia general knowledge mpk stadi za maisha , mtoto wa miaka 18 ana mambo mengi kichwani kushinda hata professor wa UDSM pia support pia ipo hata kwa government miaka 19 ukioa una watoto yakikushinda kuwalea kuna benefits, sasa wewe uoe leo miaka 23 una support???? Au huoni kama mtu wabmiaka 23 kwa wenzetu ni very different na.mtu wa huku????challenges/ experiences anazoface mtu wa huko sio km huku so huwezi kusema wame mature the same.

Hahahaaaaa halafu una ubishi wa kijinga sana sijui umeoa dogodogo hapa unatafuta justifications?! Eti mkoa wa dar watu wameoa watu wazima, mkoa upi wameoa watu wadogo??????????

Vingine ni vitu vya kijinga...too low! TUFANYE NA WEWE UMESHINDA vibinti violewe na miaka 15...mimi uniache sioni la kubishana...unabiiisha ujinga ni sawa na kusema ulivyokuwa na miaka 9 ulikuwa na akili sawa na miaka 15 na 30..hata science haisemi hivyo.
 
Hizo takwimu zako ni kwa mujibu wa chanzo gani
Wala hili haliitaji chanzo bali ndo uhalisia ulivyo kwenye jamii yetu mabinti wengi huwa wanaolewa baada ya kumaliza kidato cha 4 lakini kwa sababu ww ni mpenda ligi utabisha ili uonekane unajua.
 
Hoja yako ya ukimwi haina mashiko,ina maana hao wenye ukimwi wakiwa na miaka 23s wakifika 29 wanakuwa wamepona au?
 
Uzazi unakuwa vizuri mid twenties to late twenties...

Ukomavu wa akili ni late 20's tena hao early 20 's wako vulnerable kuwa distracted easily...

Submissiveness is personality trait, has nothing to do with age!
 
Hoja yako ya ukimwi haina mashiko,ina maana hao wenye ukimwi wakiwa na miaka 23s wakifika 29 wanakuwa wamepona au?
Uelewa ndio tatizo hapa...

23 walioolewa ndio walikuwa wanaongoza maambukizi, it means waliolewa wakakitombesha ndani ya ndoa...

Kuna 29 wenye maambukizi ila hujaelewa hawa sio walioolewa, 23 ni wale walioolewa, sijui ni mwaka gani ilikuwa inasema hivyo...nikiipata ile article naileta...for now sitaki ubishi wa kijinga elewa unavyoelewa
 
Wala hili haliitaji chanzo bali ndo uhalisia ulivyo kwenye jamii yetu mabinti wengi huwa wanaolewa baada ya kumaliza kidato cha 4 lakini kwa sababu ww ni mpenda ligi utabisha ili uonekane unajua.
Ndio maana nikauliza kama hao mabinti wa kuoa wenye umri huo wako wengi kwanini wanaume wanalalamika kwamba wanawake wengi hawafai kuolewa, sababu wametumika hadi wanaume wengine wanafikia hatua ya kususia ndoa na kujiita kataa ndoa, na kwanini pia tunaona hao feminists na single mothers wanaotukanwa na wanaume kila siku nao wanaolewa kwamba wanaolewa na kina nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…