Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
- Thread starter
-
- #201
Kilichonituma ni "matakwa ya kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu,"Kilicho kutuma uandike hiki ulichoandika ni bangi? Au ni kichwani umebeba matope badala ya ubongo wenye akili.
Kama unaongelea "mboji" hii hapa chini sawa:Wewe UTAKUWA UMEJAZA "Mboji" Kichwani,....🤣🤣🤣😃😃😃
Baada ya Matengenezo ya Martin Luther Mjeruman Mungu huyu alitupwa kichakani.Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Una ufahamu hafifu wa hoja za kuhusu Mungu au miungu kwa ujumla, jikite kwenye siasa chafu za kupakana matope, huku huwezi!!Nakataa.
Sababu inayotufanya kuona tofauti kati ya kondoo na mbuzi ndio hiyo inanifanya kuona tofauti kati ya Mungu wa Wakatoliki na Mungu wa KKKT.
The necessary and sufficient definition of a Catholic God is not synonymous with a necessary and sufficient definition of the Lutheran God.
Period.
Katika mjadala huu niliouanzisha watu wafuatao hawawezi kuelewa ninachokiongea na hawapaswi kuchangia lolote:Una ufahamu hafifu wa hoja za kuhusu Mungu au miungu kwa ujumla, jikite kwenye siasa chafu za kupakana matope, huku huwezi!!
Hakuna mijadala hapa, mama! ABC zako ni rabish ya kawaida tu, kama ukizijadili nje context ya kidini! Kama ungeleta mjadala wa masuala ya kidini ya kuhusu Mungu au miungu, ungeqoute scriptures za dini na miungu hiyo, otherwise huwezi kumjadili samaki nje ya maji alafu ujifanye unajua uchambuzi! Kuna difinition gani umefanya, bila kuwaelezea hao miungu ni nani, wanaabubiwaje, kwa mujibu wa vitabu vyao?Katika mjadala huu niliouanzisha watu wafuatao hawawezi kuelewa ninachokiongea na hawapaswi kuchangia lolote:
1. Watu wasiojua maana ya necessary and sufficient definition.
2. Watu wasiojua the principle of indescernibility of identicals
3. Watu wasiojua the principle of the dissimilarity of the diverse.
Hizi ni kanuni za metafizikia ya awali kabisa (elementary metaphysics). Na wote hawa wana "ufahamu hafifu wa hoja za kuhusu Mungu au miungu" pamoja na masuala mengine ya msingi katika maisha yetu ya kila siku.
Chadema wana washauri kadhaa wanaojitambulisha kama Maaskofu. Napata shida kumtambua mtu kama askofu endapo hana ABCs za elementary metaphysics. Na mtu wa aina hiyo hana asifa ya kuwa mshauri wa kitaifa kwa jambo lolote! Nawe naona uko miongoni mwao.
Achana na mjadala huu.
Hamia chit chat forum.
Ndio vimada wake pale Bavicha na yule kibibi kizee BAKMkuu unatukana kisa tu jina la Mbowe limetajwa?!
Dont run around the bushes face reality ,from non sense you posted 😃😃😃🤣🤣🤣Kama unaongelea "mboji" hii hapa chini sawa:
"matakwa ya kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu."
Dont run around the bushes face reality ,from non sense you posted 😃😃😃🤣🤣🤣
Anachojali Mwenyezi Mungu ni kilicho rohoni mwa mtu na wakati mwingine kitu sahihi mbele ya Mwenyezi Mungu ni kile kinachoonekana siyo sahihi machoni petu na wakati mwingine kilichosahihi machoni petu siyo sahihi machoni pa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hajali pia tofauti tulizonazo wanadamu maana pachoni pake tunazoziona kama tofauti yeye haoni tofauti na wakati mwingine tunachoona siyo tofauti yeye anaona ni tofauti.View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema
Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.
Maswali matatu:Mwenyezi Mungu hajali pia tofauti tulizonazo wanadamu maana pachoni pake tunazoziona kama tofauti yeye haoni tofauti na wakati mwingine tunachoona siyo tofauti yeye anaona ni tofauti.
Jibu liko kwenye maelezo yangu: Mwenyezi Mungu hana cha 'how do you know?', 'which God are you referring to?' na hana pia cha 'How does God want us to pray and for what?' maana yote hayo ya 'epistemological', 'ontological' na 'praxiological' ni 'human constructions'.Maswali matatu:
1. Epistemological: How do you know this?
2. Ontological: Which God are you referring to?
3. Praxiological: How does that God want us to pray and for what?
Wewe kweli ni covid 19. Bahati nzuri tuna chanjo sasa .Maswali matatu:
1. Epistemological: How do you know this?
2. Ontological: Which God are you referring to?
3. Praxiological: How does that God want us to pray and for what?
Hapana...Mkuu hatukani, nadhani neno UJINGA ndilo lililokufanya useme anatukana,kama ndivyo hivyo liondoe na uweke lifaalo ambalo litakubaliana kuupinga huo uzi. Maombi kwa Mwenyezimungu yapo...anatuambia NIOMBENI NA NITAWAPATIENIMkuu unatukana kisa tu jina la Mbowe limetajwa?!
Dada,Baada ya Matengenezo ya Martin Luther Mjeruman Mungu huyu alitupwa kichakani.
Bado unaonekana kulazimisha mambo kwa nguvu kwani ufafanuzi wake bado niwa hovyo. Lengo la waombaji lililo kuu nikwamba Mbowe aaachiwe. Nguvu yakumwachia yaweza kuwa chanzo chake ni wakristo au waislamu ama wapagani.View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema
Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.
Ahsante ndugu,Anachojali Mwenyezi Mungu ni kilicho rohoni mwa mtu na wakati mwingine kitu sahihi mbele ya Mwenyezi Mungu ni kile kinachoonekana siyo sahihi machoni petu na wakati mwingine kilichosahihi machoni petu siyo sahihi machoni pa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hajali pia tofauti tulizonazo wanadamu maana pachoni pake tunazoziona kama tofauti yeye haoni tofauti na wakati mwingine tunachoona siyo tofauti yeye anaona ni tofauti. Hivyo, tunapoomba tunamwachia Mwenyezi Mungu kuamua kwa namna anayoona inafaa na siyo lazima kwa namna tunayoona inafaa kwetu. Tuendelee kumwomba Mwenyezi Mungu kila siku au kila tunapoweza ili mapenzi yake (siyo yetu) yatimie.
Raisi wenu kasema "wacheza Mpira wa kike Wana vifua flat,na hawana mvuto wa kike"kuolewa itakuwa vigumu.View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema
Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.
egory (Attached).
Maneno meeengi utazani unapata posho kubwa.. tuambie WEWE UNAMUABUDU MUNGU YUPI KATI YA MIUNGU WENU WA KIKATOLIKI..KI KKKT... au MUNGU yupi?View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema
Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.
Hamieni huku wajameni huko ni shida tupuWakatoliki hukataa kumzika mtu aliyekuwa anaabudu madhehebu tofauti.
Vivyo hivyo, hawapaswi kumwombea mtu anayekataa Ukatoliki kama anavyofanya Mbowe ambaye ni muumini wa KKKT mpaka leo.