Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kilicho kutuma uandike hiki ulichoandika ni bangi? Au ni kichwani umebeba matope badala ya ubongo wenye akili.
Kilichonituma ni "matakwa ya kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu,"
 
Wewe UTAKUWA UMEJAZA "Mboji" Kichwani,....🤣🤣🤣😃😃😃
Kama unaongelea "mboji" hii hapa chini sawa:

"matakwa ya kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu."
 
Nakataa.
Sababu inayotufanya kuona tofauti kati ya kondoo na mbuzi ndio hiyo inanifanya kuona tofauti kati ya Mungu wa Wakatoliki na Mungu wa KKKT.

The necessary and sufficient definition of a Catholic God is not synonymous with a necessary and sufficient definition of the Lutheran God.

Period.
Una ufahamu hafifu wa hoja za kuhusu Mungu au miungu kwa ujumla, jikite kwenye siasa chafu za kupakana matope, huku huwezi!!
 
Una ufahamu hafifu wa hoja za kuhusu Mungu au miungu kwa ujumla, jikite kwenye siasa chafu za kupakana matope, huku huwezi!!
Katika mjadala huu niliouanzisha watu wafuatao hawawezi kuelewa ninachokiongea na hawapaswi kuchangia lolote:

1. Watu wasiojua maana ya necessary and sufficient definition.
2. Watu wasiojua the principle of indescernibility of identicals
3. Watu wasiojua the principle of the dissimilarity of the diverse.

Hizi ni kanuni za metafizikia ya awali kabisa (elementary metaphysics). Na wote hawa wana "ufahamu hafifu wa hoja za kuhusu Mungu au miungu" pamoja na masuala mengine ya msingi katika maisha yetu ya kila siku.

Chadema wana washauri kadhaa wanaojitambulisha kama Maaskofu. Napata shida kumtambua mtu kama askofu endapo hana ABCs za elementary metaphysics. Na mtu wa aina hiyo hana asifa ya kuwa mshauri wa kitaifa kwa jambo lolote! Nawe naona uko miongoni mwao.

Achana na mjadala huu.

Hamia chit chat forum.
 
Hakuna mijadala hapa, mama! ABC zako ni rabish ya kawaida tu, kama ukizijadili nje context ya kidini! Kama ungeleta mjadala wa masuala ya kidini ya kuhusu Mungu au miungu, ungeqoute scriptures za dini na miungu hiyo, otherwise huwezi kumjadili samaki nje ya maji alafu ujifanye unajua uchambuzi! Kuna difinition gani umefanya, bila kuwaelezea hao miungu ni nani, wanaabubiwaje, kwa mujibu wa vitabu vyao?
You a simply an earthest and a pagan, you know nothing about God or gods! Ufahamu hafifu kuhusu Mungu na miungu, unatokana na mtazamo hafifu wa mambo hayo! Huwezi kuwa na akili na ufahamu wa mambo ya kiroho kwa netafizikia zako hizo! Kwa ufupi tu, inasemekana kwenye moja ya vitabu vya dini kwamba: “Mpumbavu amesema moyoni mwake, hakuna Mungu!” Una namba kwenye msemo huo!
 
Kama unaongelea "mboji" hii hapa chini sawa:

"matakwa ya kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu."
Dont run around the bushes face reality ,from non sense you posted 😃😃😃🤣🤣🤣
 
Dont run around the bushes face reality ,from non sense you posted 😃😃😃🤣🤣🤣
mtoto.PNG
 
View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.
Anachojali Mwenyezi Mungu ni kilicho rohoni mwa mtu na wakati mwingine kitu sahihi mbele ya Mwenyezi Mungu ni kile kinachoonekana siyo sahihi machoni petu na wakati mwingine kilichosahihi machoni petu siyo sahihi machoni pa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hajali pia tofauti tulizonazo wanadamu maana pachoni pake tunazoziona kama tofauti yeye haoni tofauti na wakati mwingine tunachoona siyo tofauti yeye anaona ni tofauti.

Hivyo, tunapoomba tunamwachia Mwenyezi Mungu kuamua kwa namna anayoona inafaa na siyo lazima kwa namna tunayoona inafaa kwetu. Tuendelee kumwomba Mwenyezi Mungu kila siku au kila tunapoweza ili mapenzi yake (siyo yetu) yatimie.
 
Mwenyezi Mungu hajali pia tofauti tulizonazo wanadamu maana pachoni pake tunazoziona kama tofauti yeye haoni tofauti na wakati mwingine tunachoona siyo tofauti yeye anaona ni tofauti.
Maswali matatu:

1. Epistemological: How do you know this?
2. Ontological: Which God are you referring to?
3. Praxiological: How does that God want us to pray and for what?
 
Maswali matatu:

1. Epistemological: How do you know this?
2. Ontological: Which God are you referring to?
3. Praxiological: How does that God want us to pray and for what?
Jibu liko kwenye maelezo yangu: Mwenyezi Mungu hana cha 'how do you know?', 'which God are you referring to?' na hana pia cha 'How does God want us to pray and for what?' maana yote hayo ya 'epistemological', 'ontological' na 'praxiological' ni 'human constructions'.
 
Maswali matatu:

1. Epistemological: How do you know this?
2. Ontological: Which God are you referring to?
3. Praxiological: How does that God want us to pray and for what?
Wewe kweli ni covid 19. Bahati nzuri tuna chanjo sasa .

Tunawaombea mpaka waliotukose na mwisho wa maombi yete tunamuaachia Mwenyezi Mungu "MAPENZI YAKE YATIMIZWE"

So malalamiko kuwa sijui makanisa na misikiti inatumika ki siasa . Ni pale wanapoombewa wapinzani. Lakini pale alipokuwa jiwe ' mpango' samia etc kila wakati wako kwenye mimbari huhoji chochote .

Msipate vichefuchefu pale wapinzani wenu wanapopata huduma stahiki.
 
Mkuu unatukana kisa tu jina la Mbowe limetajwa?!
Hapana...Mkuu hatukani, nadhani neno UJINGA ndilo lililokufanya useme anatukana,kama ndivyo hivyo liondoe na uweke lifaalo ambalo litakubaliana kuupinga huo uzi. Maombi kwa Mwenyezimungu yapo...anatuambia NIOMBENI NA NITAWAPATIENI
 
Baada ya Matengenezo ya Martin Luther Mjeruman Mungu huyu alitupwa kichakani.
Dada,
-Kwa sababu sasa wataka kuujadili ukristo, waonaje kama utakua unaambatanisha kwenye hoja zako vifungu husika vya Biblia Takatifu. Machapisho mengi nje ya Biblia yanahitaji sio tu kwa uangalifu mkubwa kuyasoma, bali pia neema ya Mungu kuyatafakari.
-Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, wanaomwombea Mbowe wapo Wakatoliki, Walutheli, Walokole na makundi mengi mengine; kwa upendo wao kwa Mbowe na pia imani waliyonayo kuwa Mungu wanaemwabudu atatenda HAKI.
-Yawezekana humpendi Mbowe na LABDA hata chama chake, LAKINI ukiruhusu chuki hizo kukutawala utakuwa wampa nafasi shetani kukuongoza. "Angalieni sana mtu yeyote asipungukiwe na neema ya Mungu, na muwe waangalifu pasizuke chuki ambayo, kama mmea wenye sumu, inaweza kukua ikaleta matatizo na kuwachafua wengi".Waebrania 12:15
AMEN
 
View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.
Bado unaonekana kulazimisha mambo kwa nguvu kwani ufafanuzi wake bado niwa hovyo. Lengo la waombaji lililo kuu nikwamba Mbowe aaachiwe. Nguvu yakumwachia yaweza kuwa chanzo chake ni wakristo au waislamu ama wapagani.

Lazima wapongezwe.Huwezi kuchagua rangi ya paka wakati panya wamekuzidi akili. Hata wewe kuna watu wanakuombea kwa imani isiyo yako kila siku.
 
Anachojali Mwenyezi Mungu ni kilicho rohoni mwa mtu na wakati mwingine kitu sahihi mbele ya Mwenyezi Mungu ni kile kinachoonekana siyo sahihi machoni petu na wakati mwingine kilichosahihi machoni petu siyo sahihi machoni pa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hajali pia tofauti tulizonazo wanadamu maana pachoni pake tunazoziona kama tofauti yeye haoni tofauti na wakati mwingine tunachoona siyo tofauti yeye anaona ni tofauti. Hivyo, tunapoomba tunamwachia Mwenyezi Mungu kuamua kwa namna anayoona inafaa na siyo lazima kwa namna tunayoona inafaa kwetu. Tuendelee kumwomba Mwenyezi Mungu kila siku au kila tunapoweza ili mapenzi yake (siyo yetu) yatimie.
Ahsante ndugu,
Mwanzo 1:26 “Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu............."; lakini siku hizi WANADAMU ndio twashindana 'kumuumba' Mungu kwa mifano tuitakayo sisi.
 
View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.
Raisi wenu kasema "wacheza Mpira wa kike Wana vifua flat,na hawana mvuto wa kike"kuolewa itakuwa vigumu.
Nendeni mtafakari kwanza hayo matamshi,na muwaombe radhi wanawake wote,
Mkimaliza sie Pro Chadema tutawajibu maswali yenu ya kipuuzi

egory (Attached).
 
View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.
Maneno meeengi utazani unapata posho kubwa.. tuambie WEWE UNAMUABUDU MUNGU YUPI KATI YA MIUNGU WENU WA KIKATOLIKI..KI KKKT... au MUNGU yupi?
 
Wakatoliki hukataa kumzika mtu aliyekuwa anaabudu madhehebu tofauti.

Vivyo hivyo, hawapaswi kumwombea mtu anayekataa Ukatoliki kama anavyofanya Mbowe ambaye ni muumini wa KKKT mpaka leo.
Hamieni huku wajameni huko ni shida tupu
 
Back
Top Bottom