Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Good kabisa. Sasa bandiko lako linabaki kuwa 'uzio' wa kiwango cha uelewa na 'wigo' wa IMANI kadri ya kiwango cha maarifa kuhusu DINI na DHEHEBU.None!
[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good kabisa. Sasa bandiko lako linabaki kuwa 'uzio' wa kiwango cha uelewa na 'wigo' wa IMANI kadri ya kiwango cha maarifa kuhusu DINI na DHEHEBU.None!
Good kabisa. Sasa bandiko lako linabaki kuwa 'uzio' wa kiwango cha uelewa na 'wigo' wa IMANI kadri ya kiwango cha maarifa kuhusu DINI na DHEHEBU.
[emoji120]
Aha! Kama Mungu anajua kila kitu tunachotaka mantiki ya maombi ni ipi? Hapo umepoteza hoja yako!Mleta mada, Mungu sio binadamu! na Mungu hahitaji kujua jina halisi la yule unayemuombea! Kabla hamjamuombea tayari Mungu anajua hitaji la nafsi zenu. Acha ubabaishaji!
Dada yanguKumbuka:
Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo sio Mungu tunaemwamini leo.
Huyo ni Mungu wa Agano la Kale na alikuwa ni roho tupu.
Mungu wa Agano Jipya ana mwili pia, hasa tangu umwilisho wa Yesu.
Kunahitajika skills kidogo tu za kufanya literature review kubaini tofauti hii.
Unakwama wapi?
Acha kukariri mambo kama kasuku.
Hoja yangu iko wazi:Biblia iko wazi kwa wanaoisoma wakiongozwa na Roho mtakatifu. Mungu ni yule yule jana, leo na kesho. Mungu wa walio hai.
Na huyo ndie Mungu tunaemwamini, kumtumaini na kumtukuza bila ya kupepesa macho.
Dada yangu,Hoja yangu iko wazi:
Ugumu uko wapi?
- Yesu wa Agano Jipya, tofauti na Yesu wa Agano la Kale, ana mwili.
- Yesu ni nafsi ya pili ya Mungu wa Agano JIpya,
- Kwa hiyo, tofauti na Mungu wa Agano la Kale, Mungu wa Agano JIpya ana mwili.
Soma na kuelelwa maandiko.
Ama sivyo, huyo Roho Mtakafitu anakupotosha
Ignoratio elenchi!Dada yangu,
Kwa kweli unajitahidi sana, isipokuwa sasa umebakiza kidogo tu.
Enenda ukajitulize, ili uweze kufanya sala toka moyoni mwako, ukiongozwa na roho mtakatifu. Kwa unyenyekevu upige magoti, umwombe Mungu uweze kuisoma biblia taratibu kwa utulivu, ili akufunulie neno lake. Nina imani kuwa Mungu atakujibu na ataimarisha uelewa na imani yako. Kwani Yesu alisema: "Nanyi mkiomba lolote kwa Jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba apate kutukuzwa katika Mwana". Yohana 14:13.
AMEN.
Bado sijakuelewa na nakusikiliza tu..Kilichoanza ni Biblia au Falsafa?
Maudhui ya Biblia ni fasihi andishi inayotunza fasihi simulizi ya kale.
Understood?
Philosophy versus biblical theology: Which came first?Bado sijakuelewa na nakusikiliza tu..
Biblia haikuandikwa na wanafalsafa. Waandishi wa vitabu ambavyo vimekusanywa pamoja katika Biblia Takatifu, wanakiri kwamba waliangaziwa na Mungu kuandika ujumbe wake. Petro, ambaye Authority yake imetumika katika Injili ya Marko, na ambaye ameandika pia Nyaraka 2 katika Biblia, hakuwa mwanafalsafa. Mwenjili Yohane aneandika Injili, Nyaraka 3 na kitabu cha Ufunuo, hakuwa msomi. Yeye na Petro walikuwa wavuvi wasiokwenda shule. Mwanafalsafavkwa maana ya kusoma hasa ni Paulo.Philosophy versus biblical theology: Which came first?
I answer that, philosophy preceded biblical theology.
The reason is: the philosophers wrote the Bible.
Thus, the Bible is not a referral forum when it comes to key issues of humanity and divinity.
Understood?
Unaposema kuna Mungu wa Agano la Kale na Mungu wa Agano Jipya, unapotoka sana.Hoja yangu iko wazi:
Ugumu uko wapi?
- Yesu wa Agano Jipya, tofauti na Yesu wa Agano la Kale, ana mwili.
- Yesu ni nafsi ya pili ya Mungu wa Agano JIpya,
- Kwa hiyo, tofauti na Mungu wa Agano la Kale, Mungu wa Agano JIpya ana mwili.
Soma na kuelelwa maandiko.
Ama sivyo, huyo Roho Mtakafitu anakupotosha
Ahsante Ndugu,Biblia haikuandikwa na wanafalsafa. Waandishi wa vitabu ambavyo vimekusanywa pamoja katika Biblia Takatifu, wanakiri kwamba waliangaziwa na Mungu kuandika ujumbe wake. Petro, ambaye Authority yake imetumika katika Injili ya Marko, na ambaye ameandika pia Nyaraka 2 katika Biblia, hakuwa mwanafalsafa. Mwenjili Yohane aneandika Injili, Nyaraka 3 na kitabu cha Ufunuo, hakuwa msomi. Yeye na Petro walikuwa wavuvi wasiokwenda shule. Mwanafalsafavkwa maana ya kusoma hasa ni Paulo.
Shida ya huyu mama hana imani, hana maarifa. Anaishia kukopi na kupesti mambo yaliyoandikwa na wasio na imani kama yeye, akidhania ni madini, kumbe takatakaAhsante Ndugu,
Kulielewa neno la Mungu huanzia na NEEMA kama aliyokuja jaaliwa Mtume Paulo na sio kwa usomi pekee wa 'Mwandishi' Sauli.
Ninaamini kuwa Dada yeu NAE, karibu ataangaziwa na kulijua neno, na hivyo KUMJUA Mungu wa kweli aliye hai. "Mungu (huyu) ndie kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu". ZABURI 46:1. AMEN
Tusichoke kumuombea kwa Mungu wetu. AMENShida ya huyu mama hana imani, hana maarifa. Anaishia kukopi na kupesti mambo yaliyoandikwa na wasio na imani kama yeye, akidhania ni madini, kumbe takataka
Hata sijaelewa unachoandika. Kwamba "Petro, ambaye Authority yake imetumika katika Injili ya Marko, na ambaye ameandika pia Nyaraka 2 katika Biblia, hakuwa mwanafalsafa".Biblia haikuandikwa na wanafalsafa. Waandishi wa vitabu ambavyo vimekusanywa pamoja katika Biblia Takatifu, wanakiri kwamba waliangaziwa na Mungu kuandika ujumbe wake. Petro, ambaye Authority yake imetumika katika Injili ya Marko, na ambaye ameandika pia Nyaraka 2 katika Biblia, hakuwa mwanafalsafa. Mwenjili Yohane aneandika Injili, Nyaraka 3 na kitabu cha Ufunuo, hakuwa msomi. Yeye na Petro walikuwa wavuvi wasiokwenda shule. Mwanafalsafavkwa maana ya kusoma hasa ni Paulo.