Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Good kabisa. Sasa bandiko lako linabaki kuwa 'uzio' wa kiwango cha uelewa na 'wigo' wa IMANI kadri ya kiwango cha maarifa kuhusu DINI na DHEHEBU.

[emoji120]

Kuna jambo hulioni katika bandiko langu. Ili uweze kuona usiyoyaona, soma haya kwa umakini kuhusu huyu Yesu na Mungu wa Biblia unaowaongelea:

Members of a given religion or denomination need to define what the necessary and sufficient conditions are for something to be a religion-specific-god or a denomination-specific-god before they can call themselves members of a given religion or members of a given denomination.

If so:
  • Are the necessary and sufficient attributes of a Christian God IDENTICAL TO the necessary and sufficient attributes of a non-Christian God?
  • Are the necessary and sufficient attributes of a Catholic God IDENTICAL TO the necessary and sufficient attributes of a Lutheran God?
  • Are the necessary and sufficient attributes of Jesus Christ as understood by Catholics IDENTICAL TO the necessary and sufficient attributes of Jesus Christ as understood by non-Catholic churches?
A quick list of the attributes under each category allows us to give a negative answer to all the questions above.

Then, let us answer these questions next:
  • From the above, are the phrases "Christian God", "Catholic God" and "Lutheran God" synonymous?
  • From the above, are the phrases "Catholic Jesus Christ", "non-Catholic Jesus Christ" synonymous?
The answer is negative to both of these questions too. Let us note carefully the reasons:

In mathematics and philosophy, we show something to be true if it meets criteria that are both necessary and sufficient. For example, for an object to be a square, it must have four sides.

But while a necessary condition is that the object have four sides, this condition is not sufficient because a rectangle also has four sides.

On the other hand, some conditions are sufficient but not always necessary. For instance, in school, a student who earns an A is guaranteed to pass the course.

In other words, an A is a sufficient condition for passing the course, but it isn’t necessary because a student who earns a B or a C will also pass the course.

To prove something to be true, like the square, we sometimes need a multitude of necessary conditions that together become sufficient.

That is, all conditions must be met at once for the answer to be true. In this example, a square must have four sides, all straight, all equal length, joined at the ends, lying in a plane, with four 90-degree angles, etc.

If we meet all these criteria, then, and only then, are we guaranteed a square.

If we apply this approach to the God-question and the Jesus-question, we find that, we have many conceptions of God and many conceptions of Christ.

Here are the facts:

The Catholic God hates contraception, while non-Catholic Gods don't. Thus, as opposed to first century Christians, today we have many conceptions of the Biblical God.

The Catholic Jesus comes from the father and the son, while the non-Catholic Jesus comes from the father through the son. Thus, as opposed to first century Christians, today we have many conceptions of the Biblical Christ.

So, to save human dignity against religious confusion, let us think loudly about religion!
 
Mleta mada, Mungu sio binadamu! na Mungu hahitaji kujua jina halisi la yule unayemuombea! Kabla hamjamuombea tayari Mungu anajua hitaji la nafsi zenu. Acha ubabaishaji!
 
Mleta mada, Mungu sio binadamu! na Mungu hahitaji kujua jina halisi la yule unayemuombea! Kabla hamjamuombea tayari Mungu anajua hitaji la nafsi zenu. Acha ubabaishaji!
Aha! Kama Mungu anajua kila kitu tunachotaka mantiki ya maombi ni ipi? Hapo umepoteza hoja yako!
 
Kumbuka:

Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo sio Mungu tunaemwamini leo.
Huyo ni Mungu wa Agano la Kale na alikuwa ni roho tupu.
Mungu wa Agano Jipya ana mwili pia, hasa tangu umwilisho wa Yesu.
Kunahitajika skills kidogo tu za kufanya literature review kubaini tofauti hii.
Unakwama wapi?
Acha kukariri mambo kama kasuku.
Dada yangu
Biblia iko wazi kwa wanaoisoma wakiongozwa na Roho mtakatifu. Mungu ni yule yule jana, leo na kesho. Mungu wa walio hai.
Na huyo ndie Mungu tunaemwamini, kumtumaini na kumtukuza bila ya kupepesa macho.
Yesu Kristo alipokutana na wa aina yako aliwaasa:
"Msidhani ya kuwa nilikuja kuitangua Torati au Manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie". Mathayo 5:17 - 18.
AMEN
 
Biblia iko wazi kwa wanaoisoma wakiongozwa na Roho mtakatifu. Mungu ni yule yule jana, leo na kesho. Mungu wa walio hai.
Na huyo ndie Mungu tunaemwamini, kumtumaini na kumtukuza bila ya kupepesa macho.
Hoja yangu iko wazi:
  1. Yesu wa Agano Jipya, tofauti na Yesu wa Agano la Kale, ana mwili.
  2. Yesu ni nafsi ya pili ya Mungu wa Agano JIpya,
  3. Kwa hiyo, tofauti na Mungu wa Agano la Kale, Mungu wa Agano JIpya ana mwili.
Ugumu uko wapi?
Soma na kuelelwa maandiko.
Ama sivyo, huyo Roho Mtakafitu anakupotosha
 
Dada yangu,
Kwa kweli unajitahidi sana, isipokuwa sasa umebakiza kidogo tu.
Enenda ukajitulize, ili uweze kufanya sala toka moyoni mwako, ukiongozwa na roho mtakatifu. Kwa unyenyekevu upige magoti, umwombe Mungu uweze kuisoma biblia taratibu kwa utulivu, ili akufunulie neno lake. Nina imani kuwa Mungu atakujibu na ataimarisha uelewa na imani yako. Kwani Yesu alisema: "Nanyi mkiomba lolote kwa Jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba apate kutukuzwa katika Mwana". Yohana 14:13.
AMEN.

Ignoratio elenchi!

Maelezo yako haya hayahusiani kabisa na hoja unayoijibu!

Jielimishe kwanza kwa kusoma kitabu hiki:

Describing gods: An investigation of divine attributes by Graham Oppy (Attached)
 
Attachments

Bado sijakuelewa na nakusikiliza tu..
Philosophy versus biblical theology: Which came first?
I answer that, philosophy preceded biblical theology.
The reason is: the philosophers wrote the Bible.
Thus, the Bible is not a referral forum when it comes to key issues of humanity and divinity.
Understood?
 
Biblia haikuandikwa na wanafalsafa. Waandishi wa vitabu ambavyo vimekusanywa pamoja katika Biblia Takatifu, wanakiri kwamba waliangaziwa na Mungu kuandika ujumbe wake. Petro, ambaye Authority yake imetumika katika Injili ya Marko, na ambaye ameandika pia Nyaraka 2 katika Biblia, hakuwa mwanafalsafa. Mwenjili Yohane aneandika Injili, Nyaraka 3 na kitabu cha Ufunuo, hakuwa msomi. Yeye na Petro walikuwa wavuvi wasiokwenda shule. Mwanafalsafavkwa maana ya kusoma hasa ni Paulo.
 
Hoja yangu iko wazi:
  1. Yesu wa Agano Jipya, tofauti na Yesu wa Agano la Kale, ana mwili.
  2. Yesu ni nafsi ya pili ya Mungu wa Agano JIpya,
  3. Kwa hiyo, tofauti na Mungu wa Agano la Kale, Mungu wa Agano JIpya ana mwili.
Ugumu uko wapi?
Soma na kuelelwa maandiko.
Ama sivyo, huyo Roho Mtakafitu anakupotosha
Unaposema kuna Mungu wa Agano la Kale na Mungu wa Agano Jipya, unapotoka sana.
Mungu aliyeumba vyote, kama inavyoelezwa katika Agano la Kale, alimuumba pia Adamu na Eva. Walivyoanguka inaelezwa katika Agano la Kale, pamoja na Mpango wa Mungu kumkomboa binadamu. Mpango huu unakamilika katika Agano Jipya. Mungu aliyejidhihirisha kwa Musa katika kijiti, Agano la Kale, ndiye huyo huyo nayeabudiwa na Wayahudi katika Hekalu
 
Id ya kike mwandiko wa kiume ...
Uzi wa kishamba Sana sijaona evidence yoyote zaidi ya porojo tu
 
Biblia haikuandikwa na wanafalsafa. Waandishi wa vitabu ambavyo vimekusanywa pamoja katika Biblia Takatifu, wanakiri kwamba waliangaziwa na Mungu kuandika ujumbe wake. Petro, ambaye Authority yake imetumika katika Injili ya Marko, na ambaye ameandika pia Nyaraka 2 katika Biblia, hakuwa mwanafalsafa. Mwenjili Yohane aneandika Injili, Nyaraka 3 na kitabu cha Ufunuo, hakuwa msomi. Yeye na Petro walikuwa wavuvi wasiokwenda shule. Mwanafalsafavkwa maana ya kusoma hasa ni Paulo.
Ahsante Ndugu,
Kulielewa neno la Mungu huanzia na NEEMA kama aliyokuja jaaliwa Mtume Paulo na sio kwa usomi pekee wa 'Mwandishi' Sauli.
Ninaamini kuwa Dada yeu NAE, karibu ataangaziwa na kulijua neno, na hivyo KUMJUA Mungu wa kweli aliye hai. "Mungu (huyu) ndie kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu". ZABURI 46:1. AMEN
 
Mtu yoyote anaweza kuombewa kwa Mungu. Mleta mada unapata shida gani Mbowe akiombewa kwa Mungu na waumini wa dini mbali mbali?
 
Ahsante Ndugu,
Kulielewa neno la Mungu huanzia na NEEMA kama aliyokuja jaaliwa Mtume Paulo na sio kwa usomi pekee wa 'Mwandishi' Sauli.
Ninaamini kuwa Dada yeu NAE, karibu ataangaziwa na kulijua neno, na hivyo KUMJUA Mungu wa kweli aliye hai. "Mungu (huyu) ndie kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu". ZABURI 46:1. AMEN
Shida ya huyu mama hana imani, hana maarifa. Anaishia kukopi na kupesti mambo yaliyoandikwa na wasio na imani kama yeye, akidhania ni madini, kumbe takataka
 
Shida ya huyu mama hana imani, hana maarifa. Anaishia kukopi na kupesti mambo yaliyoandikwa na wasio na imani kama yeye, akidhania ni madini, kumbe takataka
Tusichoke kumuombea kwa Mungu wetu. AMEN
 
Biblia haikuandikwa na wanafalsafa. Waandishi wa vitabu ambavyo vimekusanywa pamoja katika Biblia Takatifu, wanakiri kwamba waliangaziwa na Mungu kuandika ujumbe wake. Petro, ambaye Authority yake imetumika katika Injili ya Marko, na ambaye ameandika pia Nyaraka 2 katika Biblia, hakuwa mwanafalsafa. Mwenjili Yohane aneandika Injili, Nyaraka 3 na kitabu cha Ufunuo, hakuwa msomi. Yeye na Petro walikuwa wavuvi wasiokwenda shule. Mwanafalsafavkwa maana ya kusoma hasa ni Paulo.
Hata sijaelewa unachoandika. Kwamba "Petro, ambaye Authority yake imetumika katika Injili ya Marko, na ambaye ameandika pia Nyaraka 2 katika Biblia, hakuwa mwanafalsafa".

Kwani uanafalsafa ni kitu gani na mwanafalsafa ni nani? Mwanafalsafa ni mtu yeyote anayefanya udadavuzi wa kirazini kwa kutumia kanuni za fikra makini. Kwa kigezo hiki Petro alikuwa mwanafalsafa.

Habari ya "uvuvio wa Roho Mtakatifu" wambie wakatekumeni. Soma zaidi hapa: Did the Holy Spirit inspire the Bible's authors to write without any errors?
 
Back
Top Bottom