Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Naona kama umetoka kutestiwa
 
Ongeza sauti hujasikika wala hujaeleweka.
 
Kwanini msitumie utaalamu wa sayansi (ya sheria) kumchomoa Mbowe ktk kesi? Kama hamuamini maombi kupambana na korona na kuamini sayansi (ya tiba) vivo hivyo huku iwe hivyo, consistency mkuu ipo wapi?
 
Umewaza mbali sana.

Wafuasi wa mahabusu hawataweza kuuelewa kirahisi uzi huu
 
Hata shetani alitumia maandiko kumjaribu Yesu
 
Hata shetani alitumia maandiko kumjaribu Yesu
Soma andiko langu kwa kuzingatia mipaka ya urazini pekee. Utaelewa hoja yangu. Nimetumia kanuni tunayoisoma kwenye metaphysics, kanuni ya indiscernibility of identicals. Inakwenda sambamba na kanuni ya dissimilarity of the diverse. Kanuni hizi mbili zina msaada mkubwa dhidi ya upumbazaji wa umma (mass stupefaction) unaofanywa na baadhi ya viongozi wa dini na kisiasa pale wanaposema kuwa "dini zote zinamwabudu Mungu mmoja". Sio kweli. Na kila mtu aliyesoma metapysics anaujua ukweli huu.
 
Uzi wa kijinga kabisa kutoka kwa mjinga.
 
Ongeza sauti hujasikika wala hujaeleweka.
Ni hivi:

1. Viongozi wa dini ya Mungu Katoliki hawana jukumu la kisheria la kuombea mtu ambaye sio mfuasi wa Mungu wa Katoliki, kama vile Mbowe.

2. Watu waliomkataa Mungu Katoliki, kama vile Mbowe, hawana haki ya kuombewa kupitia miundombinu ya Kanisa Katoliki.

3. Wafuasi wa Mungu Katoliki hawana haki ya kutumia miundombinu ya kanisa la Mungu Katoliki kumwombea mtu aliyemkataa Mungu Katoliki, kama vile Mbowe.

Done!
 
Kuwa alikuwa anaombwa kuombewa tena kwa lazima,ukigoma moto huo.Ikawa anaingia mpaka huko makanisani na misikitini kuhutubia kana kambwa ndiye Alfa na Omega.
Mlifumba macho..muda huu mnakuja na Uchawi wa mchana kweupu kuongea shudu shudu.
 
Sijasoma huo uharo Ila nikujibu kupitia heading yako kwani JPM alivyokufa anaomba tumuombee alikikuwa anataka tutumie ibada ya Mungu yupi?
Umeuliza: JPM alivyokufa anaomba tumuombee alikikuwa anataka tutumie ibada ya Mungu yupi?

Jawabu: Magufuli alikuwa religious fanatic. Hata angekuwa hai leo asingekupa jawabu sahihi. So, achana na mwendazake. Rejea kwenye hoja.
 
Wengine ni wagene tulipoingia humu kwa kusukumwa na kauli mbiu ya jf kwamba sifa ya members wa jf ni great thinkers Sasa kwa uzi kama huu mbona kama ni kinyume chake!!!
Acha kujitoa ufahamu.
Uzi huu ndio SI unit ya mabandiko ya JF yanavyopaswa kuwa.
Ni uzi chokonozi.
Usome tena!
 
Kwa maoni yangu huo,ni ubaguzi na ubinafsi ,nii imani yangu kuwa imani za dini zinakataza hilo.
 
Uzi wa kijinga kabisa na wa kitoto... Admin wa JF waufute kabisa huu uzi..
 
Wakatoliki kila jpili wanamwombea Samoa Suluhu ambae ni muislam, je Mungu wa katoliki ndo Mungu wa waislamu?
Kauli yako hii inatukumbusha kujadiliana kwa kina kuhusu maana ya "maombi", "sala", "maombezi", yaani PRAYER.

Nijuavyo mie, maombi pekee ambayo ni halali kufanywa na Wakatoliki kuhusu Rais Samia, ni kumwomba Mungu wa Wakatoloki akubali kumbadilisha Rais Samia kuwa Mkatoliki. Maombi yote baki ni batili.
 
Magufuli alipofariki aliombewa na dini na madhehebu yote Tanzania lakini hatukuiona pua yako hapa, furahia kwa kumtia hatiani Mbowe hata kabla ya kesi kusikilizwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…