Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

UPUUZI MTUPU!!!
View attachment 1897959
Rodrcik Lutembeka, mmoja wa kiongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.

Kuna wanaopeleka matoleo kwenye makanisa ya parokia Katoliki. Wengine wanapepeleka makanisa ya KKKT. Na baadhi wanasali novena barabarani.

Nina swali kwa Viongozi wa Chadema: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kanuni ya kuzingatiwa:

Kusudi, viongozi wa Chadema waweze kuelewa msingi wa swali langu naweka hapa kanuni zinazopaswa kuongoza mjadala huu:

Mosi, ni kuhusu kanuni ya kutofautisha vitu vinavyofanana, yaani the principle of dissimilairty of the diverse.

Kwa mujibu wa kanuni hii, tukikutana na vitu viwili, X na Y, tunaweza kuvitofautisha endapo tu:

Ama:

(1) katika seti ya sifa za kitu X angalau kuna sifa moja S, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu Y,

Au:

(2) katika seti ya sifa za kitu Y angalau kuna sifa moja S, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu X.

Kwa mfano:

Mipira miwili ya tufe, iliyowekwa mezani, na ambayo inafanana kwa kila kitu, bado tunaitambua kuwa ni mipira miwili tofauti kwa kuwa, kila mpira unayo anwani yake ya kijiografia. Hata watoto mapacha sisisi tunawatofautisha kwa njia hiyo.

Vivyo hivyo, Miungu inayependa kuabudiwa Ijumaa (Miungu ya Waislamu) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Kadhalika, Miungu inayependa kuabudiwa Jumamosi (Miungu ya Wasabato) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo bado) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Aidha, Miungu inayoruhusu waamini kutumia kondomu (Miungu ya Waanglikana) na Miungu inayokataza kondomu (Miungu ya Wakatoliki) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Vile vile, Miungu inayokataza makuhani kuoa (Miungu ya Wakatoliki) na Miungu inayoruhusu makuhani kuoa (Miungu ya Waanglikana na Walutheri) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Na mifano inaendelea kama inavyothibitishwa na utitiri wa usajili wa taasisis za kidini katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani.

Hivyo basi:

Mungu wa KKKT anayemwabudiwa na Mbowe ni tofauti na Mungu wa Wakatoliki wanayejaribu kumwomba wafuasi wa Mbowe.

Mbowe hamtambui Mungu wa Wakatoliki tangu siku alipobatizwa chini ya madhehebu ya KKKT, na hadi leo hajatwambia kama amemkana Mungu wa KKKT na kumkubali Mungu wa Wakatoliki.

Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki hawezi kusikiliza wala kupokea matoleo yanayopelekwa ndani ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kumwomba Mungu wa Wakatoliki amtetee Mbowe, mpaka hapo Mbowe atakapomkiri kwamba yeye pekee ndiye Mungu wa kweli.

Hivyo, viongozi wa Chadema acheni maigizo kama ya "mitano kwanza" na "mitano tena" tuliyoshuhudia mwaka jana.

Msitufikishe mahali kanisa lile lile moja linapokea matoleo ya kuomba mbowe atiwe hatiani na kuyabariki leo; halafu kesho, kanisa hilo hilo linapokea matoleo ya kuomba mbowe asitiwe hatiani na kuyabariki. Dini zitadhalilika sana kwa njia hii.

Ukweli ni kwamba: Mungu anayetaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayetaka Mbowe asitiwe hatiani ni MIungu wawili tofauti!

Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake.

Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki.

Ukweli ndio huo!
 
UPUUZI MTUPU!!!
1629376711084.png
 
Sikurupuki kuandika ujinga humu. Unajifanya unajua kumbe hujui lolote ni ZWAZWA TU! Unadhani huu ujinga ulioandika kama ingekuwa ni kosa Viongozi wa dini wasingesema neno? Shule umeenda lakini HUKUELIMIKA bila ya shaka ULISOMEA UPUMBAVU. Pole yako ZWAZWA.
 
Msimamo wangu ndio msimamo wa viongozi wa dini wanaojitambua na kuutambua ukweli.
 
Nina swali kwa Viongozi wa Chadema: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?​
Mkuu, Magufuli alipokuwa akipiga kelele kila siku Watanzania niombeeni, mbona hukumuuliza tukuombee kwa mungu yupi?
 
Kauli hii sio kweli.
Magufuli alipofariki aliombewa na dini yake ya Ukristo Katoliki kuanzia Dar, Dodoma hadi Chato.
Umepoteza kumbukumbu haraka!
Usinichoshe, naona unaleta malumbano ya kimahakama, haya niseme alisaliwa.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 dini ipi hiyo? Ya maccm? Mpumbavu mkubwa!!! Ile id yako kule Twitter mbona umeikimbia baada ya kufuta kila kitu?
Msimamo wangu ndio msimamo wa viongozi wa dini wanaojitambua na kuutambua ukweli.
 
Hakuna mtu anayeamini katika Biblia. Tunaamini summary inaitwa Kanuni ya Imani yenye maneno "Kanisa Moja Katoliki".

Halafu, paroko akipokea matoleo kutoka kwa makundi mawili, moja linaomba mbowe asitiwe hatiani, jingine linaomba Mbowe atiwe hatiani, anapokea matoleo yote kwa niaba ya Mungu yule yule?

In short, this matter has revealed the double agent nature of the religious institution!
Hivi nyie huwa mkoje nyie?... Mbona Mbowe ni mtu smart Sana?

Sasa huyo anayemuombea akutwe na hatia si atakuwa na roho ya kichawi?
 
Mama Amon huwa upo smart sana naamini hivyo. Ila nadhani labda akili zimekuzidi mpaka sasa umeanza kuwa chizi kwakweli.

Umetumia nguvu sana kuelezea ujinga kwa njia ya kitaalam. Pole kwa kuandika pumba in a technical way.

Sioni kama mama amon ameleleza ujinga sababu Mungu ana taratibu zake za kumuomba... hata wale wenye imani sawa kabla ya kujiombea, au kuwaombea wengine kuna taratibu zake. Mungu atupe neema tuweze kusimama na imani yake kwa matendo

Isaya 1:15
Na mnaponyoosha mikono yenu,Mimi huficha macho yangu nisiwaone. Ingawa mnatoa sala nyingi, Mimi sisikilizi; Mikono yenu imejaa damu.

Yakobo 4:3
Mnapoomba, hampokei kwa sababu mnaomba kwa kusudi baya, ili mvitumie kwa ajili ya tamaa zenu za mwili.

1Wakorinto 6: 9, 10
Au je, hamjui kwamba watu wasio waadilifu hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msipotoshwe. Waasherati, waabudu-sanamu, wazinzi, wanaume wanaofanya ngono na wanaume, wezi, watu wenye pupa, walevi, watukanaji, na wanyang’anyi hawataurithi Ufalme wa Mungu

Mathayo 5: 23-24

“Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako.
 
View attachment 1897959
Rodrcik Lutembeka, mmoja wa kiongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.

Kuna wanaopeleka matoleo kwenye makanisa ya parokia Katoliki. Wengine wanapepeleka makanisa ya KKKT. Na baadhi wanasali novena barabarani.

Nina swali kwa Viongozi wa Chadema: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kanuni ya kuzingatiwa:

Kusudi, viongozi wa Chadema waweze kuelewa msingi wa swali langu naweka hapa kanuni zinazopaswa kuongoza mjadala huu:

Mosi, ni kuhusu kanuni ya kutofautisha vitu vinavyofanana, yaani the principle of dissimilairty of the diverse.

Kwa mujibu wa kanuni hii, tukikutana na vitu viwili, X na Y, tunaweza kuvitofautisha endapo tu:

Ama:

(1) katika seti ya sifa za kitu X angalau kuna sifa moja S, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu Y,

Au:

(2) katika seti ya sifa za kitu Y angalau kuna sifa moja S, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu X.

Kwa mfano:

Mipira miwili ya tufe, iliyowekwa mezani, na ambayo inafanana kwa kila kitu, bado tunaitambua kuwa ni mipira miwili tofauti kwa kuwa, kila mpira unayo anwani yake ya kijiografia. Hata watoto mapacha sisisi tunawatofautisha kwa njia hiyo.

Vivyo hivyo, Miungu inayependa kuabudiwa Ijumaa (Miungu ya Waislamu) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Kadhalika, Miungu inayependa kuabudiwa Jumamosi (Miungu ya Wasabato) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo bado) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Aidha, Miungu inayoruhusu waamini kutumia kondomu (Miungu ya Waanglikana) na Miungu inayokataza kondomu (Miungu ya Wakatoliki) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Vile vile, Miungu inayokataza makuhani kuoa (Miungu ya Wakatoliki) na Miungu inayoruhusu makuhani kuoa (Miungu ya Waanglikana na Walutheri) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Na mifano inaendelea kama inavyothibitishwa na utitiri wa usajili wa taasisis za kidini katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani.

Hivyo basi:

Mungu wa KKKT anayemwabudiwa na Mbowe ni tofauti na Mungu wa Wakatoliki wanayejaribu kumwomba wafuasi wa Mbowe.

Mbowe hamtambui Mungu wa Wakatoliki tangu siku alipobatizwa chini ya madhehebu ya KKKT, na hadi leo hajatwambia kama amemkana Mungu wa KKKT na kumkubali Mungu wa Wakatoliki.

Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki hawezi kusikiliza wala kupokea matoleo yanayopelekwa ndani ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kumwomba Mungu wa Wakatoliki amtetee Mbowe, mpaka hapo Mbowe atakapomkiri kwamba yeye pekee ndiye Mungu wa kweli.

Hivyo, viongozi wa Chadema acheni maigizo kama ya "mitano kwanza" na "mitano tena" tuliyoshuhudia mwaka jana.

Msitufikishe mahali kanisa lile lile moja linapokea matoleo ya kuomba mbowe atiwe hatiani na kuyabariki leo; halafu kesho, kanisa hilo hilo linapokea matoleo ya kuomba mbowe asitiwe hatiani na kuyabariki. Dini zitadhalilika sana kwa njia hii.

Ukweli ni kwamba: Mungu anayetaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayetaka Mbowe asitiwe hatiani ni MIungu wawili tofauti!

Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake.

Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki.

Ukweli ndio huo!
Katika uharisia wa kiimani hakuna kitu miungu vitu hivyo no Shana isiyo na ukweli no kazi za mikono ya mwanadamu (sanamu) Kisha kuiabudu ndiyo maana MUNGU aliita miungu ya uongo
Na maana ya uongo ni kua Jambo kitu tukio likiitwa la uongo maana yake si kweli halipo hakipo
MUNGU wlitutaka tutende matendo ya huruma (ibada) kuwaendea wahitaji wenye njaa wenye shida ya mavazi na hata wahalifu(kifungoni)
Hebu soma bibilia enjili ya mathayo 25;35-40
ubarikiwe sana
View attachment 1897959
Rodrcik Lutembeka, mmoja wa kiongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.

Kuna wanaopeleka matoleo kwenye makanisa ya parokia Katoliki. Wengine wanapepeleka makanisa ya KKKT. Na baadhi wanasali novena barabarani.

Nina swali kwa Viongozi wa Chadema: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kanuni ya kuzingatiwa:

Kusudi, viongozi wa Chadema waweze kuelewa msingi wa swali langu naweka hapa kanuni zinazopaswa kuongoza mjadala huu:

Mosi, ni kuhusu kanuni ya kutofautisha vitu vinavyofanana, yaani the principle of dissimilairty of the diverse.

Kwa mujibu wa kanuni hii, tukikutana na vitu viwili, X na Y, tunaweza kuvitofautisha endapo tu:

Ama:

(1) katika seti ya sifa za kitu X angalau kuna sifa moja S, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu Y,

Au:

(2) katika seti ya sifa za kitu Y angalau kuna sifa moja S, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu X.

Kwa mfano:

Mipira miwili ya tufe, iliyowekwa mezani, na ambayo inafanana kwa kila kitu, bado tunaitambua kuwa ni mipira miwili tofauti kwa kuwa, kila mpira unayo anwani yake ya kijiografia. Hata watoto mapacha sisisi tunawatofautisha kwa njia hiyo.

Vivyo hivyo, Miungu inayependa kuabudiwa Ijumaa (Miungu ya Waislamu) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Kadhalika, Miungu inayependa kuabudiwa Jumamosi (Miungu ya Wasabato) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo bado) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Aidha, Miungu inayoruhusu waamini kutumia kondomu (Miungu ya Waanglikana) na Miungu inayokataza kondomu (Miungu ya Wakatoliki) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Vile vile, Miungu inayokataza makuhani kuoa (Miungu ya Wakatoliki) na Miungu inayoruhusu makuhani kuoa (Miungu ya Waanglikana na Walutheri) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.

Na mifano inaendelea kama inavyothibitishwa na utitiri wa usajili wa taasisis za kidini katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani.

Hivyo basi:

Mungu wa KKKT anayemwabudiwa na Mbowe ni tofauti na Mungu wa Wakatoliki wanayejaribu kumwomba wafuasi wa Mbowe.

Mbowe hamtambui Mungu wa Wakatoliki tangu siku alipobatizwa chini ya madhehebu ya KKKT, na hadi leo hajatwambia kama amemkana Mungu wa KKKT na kumkubali Mungu wa Wakatoliki.

Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki hawezi kusikiliza wala kupokea matoleo yanayopelekwa ndani ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kumwomba Mungu wa Wakatoliki amtetee Mbowe, mpaka hapo Mbowe atakapomkiri kwamba yeye pekee ndiye Mungu wa kweli.

Hivyo, viongozi wa Chadema acheni maigizo kama ya "mitano kwanza" na "mitano tena" tuliyoshuhudia mwaka jana.

Msitufikishe mahali kanisa lile lile moja linapokea matoleo ya kuomba mbowe atiwe hatiani na kuyabariki leo; halafu kesho, kanisa hilo hilo linapokea matoleo ya kuomba mbowe asitiwe hatiani na kuyabariki. Dini zitadhalilika sana kwa njia hii.

Ukweli ni kwamba: Mungu anayetaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayetaka Mbowe asitiwe hatiani ni MIungu wawili tofauti!

Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake.

Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki.

Ukweli ndio huo!
math 25;35-40
 
Kwani we ndo umemshikilia mungu kiasi kwamba hutamwachia kwa chadema
 
Back
Top Bottom