Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Magufuli alipofariki aliombewa na dini na madhehebu yote Tanzania
Kauli hii sio kweli.
Magufuli alipofariki aliombewa na viongozi wa dini yake ya Ukristo Katoliki kuanzia Dar, Dodoma hadi Chato.
Umepoteza kumbukumbu haraka!
 
UPUUZI MTUPU!!!
 
Sikurupuki kuandika ujinga humu. Unajifanya unajua kumbe hujui lolote ni ZWAZWA TU! Unadhani huu ujinga ulioandika kama ingekuwa ni kosa Viongozi wa dini wasingesema neno? Shule umeenda lakini HUKUELIMIKA bila ya shaka ULISOMEA UPUMBAVU. Pole yako ZWAZWA.
 
Msimamo wangu ndio msimamo wa viongozi wa dini wanaojitambua na kuutambua ukweli.
 
Nina swali kwa Viongozi wa Chadema: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?​
Mkuu, Magufuli alipokuwa akipiga kelele kila siku Watanzania niombeeni, mbona hukumuuliza tukuombee kwa mungu yupi?
 
Kauli hii sio kweli.
Magufuli alipofariki aliombewa na dini yake ya Ukristo Katoliki kuanzia Dar, Dodoma hadi Chato.
Umepoteza kumbukumbu haraka!
Usinichoshe, naona unaleta malumbano ya kimahakama, haya niseme alisaliwa.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 dini ipi hiyo? Ya maccm? Mpumbavu mkubwa!!! Ile id yako kule Twitter mbona umeikimbia baada ya kufuta kila kitu?
Msimamo wangu ndio msimamo wa viongozi wa dini wanaojitambua na kuutambua ukweli.
 
Hivi nyie huwa mkoje nyie?... Mbona Mbowe ni mtu smart Sana?

Sasa huyo anayemuombea akutwe na hatia si atakuwa na roho ya kichawi?
 
Mama Amon huwa upo smart sana naamini hivyo. Ila nadhani labda akili zimekuzidi mpaka sasa umeanza kuwa chizi kwakweli.

Umetumia nguvu sana kuelezea ujinga kwa njia ya kitaalam. Pole kwa kuandika pumba in a technical way.

Sioni kama mama amon ameleleza ujinga sababu Mungu ana taratibu zake za kumuomba... hata wale wenye imani sawa kabla ya kujiombea, au kuwaombea wengine kuna taratibu zake. Mungu atupe neema tuweze kusimama na imani yake kwa matendo

Isaya 1:15
Na mnaponyoosha mikono yenu,Mimi huficha macho yangu nisiwaone. Ingawa mnatoa sala nyingi, Mimi sisikilizi; Mikono yenu imejaa damu.


Yakobo 4:3
Mnapoomba, hampokei kwa sababu mnaomba kwa kusudi baya, ili mvitumie kwa ajili ya tamaa zenu za mwili.

1Wakorinto 6: 9, 10
Au je, hamjui kwamba watu wasio waadilifu hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msipotoshwe. Waasherati, waabudu-sanamu, wazinzi, wanaume wanaofanya ngono na wanaume, wezi, watu wenye pupa, walevi, watukanaji, na wanyang’anyi hawataurithi Ufalme wa Mungu


Mathayo 5: 23-24

“Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako.
 
Hivi nyie huwa mkoje nyie?... Mbona Mbowe ni mtu smart Sana?

Sasa huyo anayemuombea akutwe na hatia si atakuwa na roho ya kichawi?
Kesi iko mahakamani, kuna mawili: kushinda au kushindwa.
 
Katika uharisia wa kiimani hakuna kitu miungu vitu hivyo no Shana isiyo na ukweli no kazi za mikono ya mwanadamu (sanamu) Kisha kuiabudu ndiyo maana MUNGU aliita miungu ya uongo
Na maana ya uongo ni kua Jambo kitu tukio likiitwa la uongo maana yake si kweli halipo hakipo
MUNGU wlitutaka tutende matendo ya huruma (ibada) kuwaendea wahitaji wenye njaa wenye shida ya mavazi na hata wahalifu(kifungoni)
Hebu soma bibilia enjili ya mathayo 25;35-40
ubarikiwe sana
math 25;35-40
 
Kwani we ndo umemshikilia mungu kiasi kwamba hutamwachia kwa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…