Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.

Kuna wanaopeleka matoleo kwenye parokia za Kanisa Katoliki. Wengine wanapepeleka makanisa ya KKKT. Na baadhi wanasali novena barabarani.

Kama mambo haya yangefanyika kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoendeshwa na Martin Luther wa Ujerumani, yangeweza kuingia akilini. Wakati huo Kanisa la Kikristo lilikuwa moja. Lakini hali sio hivyo leo.

Swali kuu na majibu yangu

Kwa hiyo, ninawaalika Viongozi wa Chadema kujiuliza na kujibu swali lifuatalo: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kwa kuzingatia matakwa ya kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu, binafsi napendekeza yafuatayo:
  • Kwamba, Mungu wa KKKT anayeabudiwa na Mbowe ni tofauti na Mungu wa Wakatoliki wanayeabudiwa na wafuasi wa Mbowe ambao ni Wakatoliki;
  • Na kwamba, kwa sababu hiyo, Mbowe hana haki ya kuombewa na wafuasi wake kupitia kwa Mungu asiyemwamini.
Mbowe hamtambui Mungu wa Wakatoliki tangu siku alipobatizwa chini ya madhehebu ya KKKT, na hadi leo hajatwambia kama amemkana Mungu wa KKKT na kumkubali Mungu wa Wakatoliki.

Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki hawezi kusikiliza wala kupokea matoleo yanayopelekwa ndani ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kumwomba Mungu wa Wakatoliki amtetee Mbowe, mpaka hapo Mbowe atakapomkiri kwamba yeye pekee ndiye Mungu wa kweli.

Hivyo, viongozi wa Chadema wanapaswa kuacha maigizo kama yale ya "mitano kwanza" na "mitano tena" tuliyoshuhudia mwaka jana.

Vinginevyo watayafikisha makanisa mahali ambapo kanisa lile lile moja linapokea matoleo ya kuomba mbowe atiwe hatiani na kuyabariki leo; halafu kesho yake, kanisa hilo hilo linapokea matoleo ya kuomba mbowe asitiwe hatiani na kuyabariki.

Dini zitadhalilika sana kwa njia hii.

Nijuavyo mimi, ukweli ni kwamba: Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!

Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake.

Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki, yaani Mungu wa kuchonga (constructed God), wakati mwingine ni Mungu wa kweli (essential God).

Kanuni tatu za kuongoza mjadala:

Kusudi, viongozi wa Chadema waweze kuelewa msingi wa swali langu hapo juu na kulitendea haki, naweka hapa kanuni TATU zinazopaswa kuongoza mjadala huu. Kanuni hizo ni:
  • kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti,
  • kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na
  • kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu.
Kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti

Mosi, ni kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, yaani the principle of the Identity of indescernibles.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea kitu kimoja kile kile, hiyo maana yake ni kwamba, kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu kile kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Kwa pamoja, sentensi kwamba:

(1) kila sifa iliyofungamana na kitu X pia imefungamana na kitu Y;

na sentensi kwamba:

(2) kila sifa iliyofungamana na kitu Y pia imefungamana na kitu X.

ni za kweli.

Kwa mfano,
  • Julius ni jina linalorejea mtu yule yule anayeitwa Nyerere. Yaani, Julius na Nyerere ni majina ya kitu kimoja.
  • Na, DOG ni jina linalorejea kitu kile kile kinachoitwa MBWA. Yaani, DOG na MBWA ni majina ya kitu kimoja.
Kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika

Pili, ni kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, yaani the principle of dissimilarity of the diverse.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea vitu tofauti kwa mujibu wa utaratibu wa kuhesabu, basi, hiyo maana yake ni kwamba, sio kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu tofauti na kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Ama:

(1) katika seti ya sifa za kitu X angalau kuna sifa moja P, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu Y,

Au:

(2) katika seti ya sifa za kitu Y angalau kuna sifa moja Q, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu X.

Kwa mfano:
  • Mipira miwili ya tufe, iliyowekwa mezani, na ambayo inafanana kwa kila kitu, bado tunaitambua kuwa ni mipira miwili tofauti kwa kuwa, kila mpira unayo anwani yake ya kijiografia. Hata watoto mapacha sisisi tunawatofautisha kwa njia hiyo.
  • Vivyo hivyo, Miungu inayependa kuabudiwa Ijumaa (Miungu ya Waislamu) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Kadhalika, Miungu inayependa kuabudiwa Jumamosi (Miungu ya Wasabato) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo bado) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Aidha, Miungu inayoruhusu waamini kutumia kondomu (Miungu ya Waanglikana) na Miungu inayokataza kondomu (Miungu ya Wakatoliki) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Vile vile, Miungu inayokataza makuhani kuoa (Miungu ya Wakatoliki) na Miungu inayoruhusu makuhani kuoa (Miungu ya Waanglikana na Walutheri) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!
  • Na mifano inaendelea kama inavyothibitishwa na utitiri wa usajili wa taasisis za kidini katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu

Na tatu, ni kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu. Yaani necessary and sufficient definitions.

Ukitaka kikitambulisha kiti kama vile kitu chenye umbo mraba, kwa namna ambayo inatofautisha umbo mraba na vitu baki, lazima kutaja vigezo vinavyomwezesha msikilizaji kufanya mambo mawili.

Mosi, ni kutambua mraba ni kitu gani. Na pili ni kutambua mraba sio kitu gani.

Kazi hizi mbili zinafanyika kwa njia ya kutaja vigezo ambavyo ni vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu kinachoongelewa.

Kuhusu vigezo vya lazima, tuchukue mfano wa fasili ya kitu chenye umbe la mraba. Ni lazima kila mraba uwe na pande nne.

Lakini, sifa hii haitoshi kuutofautisha mraba na maumbo baki kama vile mstatili ambayo pia yanazo pande nne.

Na kwa upande mwingine, kuna vigezo ambavyo vinatosheleza kukitambulisha kitu, lakini sio vya lazima kwa ajili ya utambulisho huo.

Mfano, katika mazingira ya shule mwanafunzi anayepata alama ya A anapasi kozi.

Lakini, alama ya A sio alama ya lazima ili kumfanya wanafunzi huyo apasi kozi. Anaweza kupasi kwa kupata alama ya B, C au hata alama D.

Hivyo, kupata alama ya A ni kigezo cha lazima katika kupasi kozi, lakini sio kigezo kinachotosheleza matakawa ya kumpa mwanafunzi sifa ya kuhesabiwa amepasi mtihani, kwani hata wale wanaopata B, C na D hupasi pia.

Kwa sababu hii, kwa ajili ya kueleza mraba ni kitu gani na sio kitu gani kwa mpigo, tunahitaji mambo mawili:

(1) kutaja kigezo kimoja kimoja ambacho ni lazima kihusike katika kutambulisha mraba.

Na (2) kutaja seti ya vigezo vyote ambavyo kwa pamoja vitatosheleza kutofautisha mraba na maumbo baki yenye pande nne.

Kwa hakika, kila mraba lazima uwe na sifa zifuatazo kwa mpigo: pande nne, pande zilizo nyooka, pande zinazolingana, pande zilizoungana katika ncha zake, pale zilizo katika ubapa mmoja, na lazima uwe na kona nne zenye nyuzo 90 kila moja.

Kanuni hizi tatu zilizotajwa hapo juu, zinapaswa kutumika katika kutambua na kutambulisha kitu chochote kama vile mbuzi, kondoo, mti, mtu, miungu, na kadhalika.

Hivyo basi:

Ukweli ndio huo, na hayo ndiyo madhara yasiyotarajiwa yaliyoletwa na Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoaasisiwa na Matrin Luther wa Ujerumani.

Kwa uelewa zaidi soma kitabu: The Unintended Reformation: How a Religious Revolution Secularized Society by Brad S. Gregory (Attached).
Mawazo ya kijinga sana haya..

Mbona jpm alikuwa anaombewa na wote, hata waislamu na hukulalama?!!!
 
Kuna mawili.

1. Nilihoji uhalali wa Rais JPM kuimba MUNGU HOYEE jukwaani na kupinga tabia yake ya kuwahimiza watanzania WAMWOMBEE katika nafasi yake kama Rais wa nchi. Pekua mabandiko yangu. Kama hutaona niambie nikuonyeshe.

2. Hata kama ningekuwa sijakosoa jambo hili wakati wa JPM hiyo sio sababu ya kutokosoa jambo hilo leo.

Kwa hiyo, madai yako kwamba bandiko langu ni la kijinga yanakufa kwa sababu hizi mbili. Jielekeze kwenye hoja.
 
Mama Amon,
Unapenda kuandika gazeti kwa mambo ya kijinga wakati mwingine! Kama ungetaka kumjadili Mungu, ungetuwekea hapa reference kutoka kwenye vitabu vya dini kujenga hoja zako! Kwa taarifa yako hao wote wanamwomba na kumwabudu Mungu mmoja kwa njia mbalimabali!
 
.....nasadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki.....
Nenda katafute kwenye dictionary neno ‘catholic’, alafu utajua kuna dini ya Roma unayo amini na kanisa moja takatifu katoliki, ambavyo ni vitu viwili tofauti!
 
Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.

Ndiyo maana Mungu sasa amewaumbua eti Mbowe kafadhili ugaidi kwa sh laki 6 eti. Halafu eti kashiriki njama za ugaidi dhidi ya gaidi halisi Sabaya.
Sukuma gang limekwama kabisa pamoja na mdau wao (SASHA) waliyemkabidhi ofisi awatunzie hadi 2025!
 
Wewe UTAKUWA UMEJAZA "Mboji" Kichwani,....🤣🤣🤣😃😃😃
 
Nyie mnaojifanyaga kumtetea allah na kumjibia maombi au kupinga, mnataka(ga) kutuonesha kwamba allah hawezi kuchambua maombi mwenyewe?!
Wewe nawe ulikuwa unakunya kwenye kichaka umekurupushwa huko huku suruali ikiwa magotini makalio wazi ukatoka spidi huku unasoma na kureply.Wapi nimemtetea allah.
 
"Ukweli ni kwamba: Mungu anayetaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayetaka Mbowe asitiwe hatiani ni MIungu wawili tofauti! Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake. Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki."
Unachotakiwa kutii ni kumwombea adui kama ilivyoandikwa swali ni uombe nini ndio changamoto.
 
Mbowe ni mkistro na amebadizwa katika jina la Yesu Kristro anakili imani hiyo kila akienda kanisani jumapili, wakatoliki ni wakristo wamebatizwa katika Kristo Yesu, wote tunatumia kitabu kimoja yaani biblia takatifu, Mungu tunayemwabudu ni mmoja katika utatu mtakatifu Baba, Mwana naoho Mtakatifu, wote Mungu wetu ni mmoja..
Ukatoliki,Urutheri Uislam nk.ni matawi tu ya mti mmoja(MUNGU).Hakika kila aombaye kwa imani yake Mungu humsikiliza. Msichanganye imani na dini
 
Hakuna mtu anayeamini katika Biblia. Tunaamini summary inaitwa Kanuni ya Imani yenye maneno "Kanisa Moja Katoliki".

Halafu, paroko akipokea matoleo kutoka kwa makundi mawili, moja linaomba mbowe asitiwe hatiani, jingine linaomba Mbowe atiwe hatiani, anapokea matoleo yote kwa niaba ya Mungu yule yule?

In short, this matter has revealed the double agent nature of the religious institution!
Unashida moja ndogo sana nayo Ni kutokumjua MUNGU.MUNGU angalii matoleo yako na maombi ya kile unachotaka linapokuja swala la kuhukumu. Siyo ccm Hata Dunia nzima iseme Mbowe ni GAIDI atakachokiangalia MUNGU ni kile kilicho HAKI TU. je Mbowe kweli gaidi? Na akiwa siyo gaidi Kama mnavyosema MUNGU atasimama upande wa Mbowe. Na Kama Ni gaidi kweli MUNGU atasimama upande waliosema Mbowe gaidi. Ndiyo maana MUNGU anasema. KWA HAKI NITAHUKUMU MATAIFA. si kwa kelele za ccm Wala chadema wala mahakama. Sababu mahakama inaweza kukuachia na bado kwa MUNGU ukawa na makosa. Au ikakufunga na kwa MUNGU ukawa hauna makosa.
 
View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.

Kuna wanaopeleka matoleo kwenye parokia za Kanisa Katoliki. Wengine wanapepeleka makanisa ya KKKT. Na baadhi wanasali novena barabarani.

Kama mambo haya yangefanyika kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoendeshwa na Martin Luther wa Ujerumani, yangeweza kuingia akilini. Wakati huo Kanisa la Kikristo lilikuwa moja. Lakini hali sio hivyo leo.

Swali kuu na majibu yangu

Kwa hiyo, ninawaalika Viongozi wa Chadema kujiuliza na kujibu swali lifuatalo: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kwa kuzingatia matakwa ya kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu, binafsi napendekeza yafuatayo:
  • Kwamba, Mungu wa KKKT anayeabudiwa na Mbowe ni tofauti na Mungu wa Wakatoliki wanayeabudiwa na wafuasi wa Mbowe ambao ni Wakatoliki;
  • Na kwamba, kwa sababu hiyo, Mbowe hana haki ya kuombewa na wafuasi wake kupitia kwa Mungu asiyemwamini.
Mbowe hamtambui Mungu wa Wakatoliki tangu siku alipobatizwa chini ya madhehebu ya KKKT, na hadi leo hajatwambia kama amemkana Mungu wa KKKT na kumkubali Mungu wa Wakatoliki.

Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki hawezi kusikiliza wala kupokea matoleo yanayopelekwa ndani ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kumwomba Mungu wa Wakatoliki amtetee Mbowe, mpaka hapo Mbowe atakapomkiri kwamba yeye pekee ndiye Mungu wa kweli.

Hivyo, viongozi wa Chadema wanapaswa kuacha maigizo kama yale ya "mitano kwanza" na "mitano tena" tuliyoshuhudia mwaka jana.

Vinginevyo watayafikisha makanisa mahali ambapo kanisa lile lile moja linapokea matoleo ya kuomba mbowe atiwe hatiani na kuyabariki leo; halafu kesho yake, kanisa hilo hilo linapokea matoleo ya kuomba mbowe asitiwe hatiani na kuyabariki.

Dini zitadhalilika sana kwa njia hii.

Nijuavyo mimi, ukweli ni kwamba: Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!

Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake.

Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki, yaani Mungu wa kuchonga (constructed God), wakati mwingine ni Mungu wa kweli (essential God).

Kanuni tatu za kuongoza mjadala:

Kusudi, viongozi wa Chadema waweze kuelewa msingi wa swali langu hapo juu na kulitendea haki, naweka hapa kanuni TATU zinazopaswa kuongoza mjadala huu. Kanuni hizo ni:
  • kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti,
  • kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, na
  • kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu.
Kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti

Mosi, ni kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, yaani the principle of the Identity of indescernibles.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea kitu kimoja kile kile, hiyo maana yake ni kwamba, kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu kile kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Kwa pamoja, sentensi kwamba:

(1) kila sifa iliyofungamana na kitu X pia imefungamana na kitu Y;

na sentensi kwamba:

(2) kila sifa iliyofungamana na kitu Y pia imefungamana na kitu X.

ni za kweli.

Kwa mfano,
  • Julius ni jina linalorejea mtu yule yule anayeitwa Nyerere. Yaani, Julius na Nyerere ni majina ya kitu kimoja.
  • Na, DOG ni jina linalorejea kitu kile kile kinachoitwa MBWA. Yaani, DOG na MBWA ni majina ya kitu kimoja.
Kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika

Pili, ni kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, yaani the principle of dissimilarity of the diverse.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea vitu tofauti kwa mujibu wa utaratibu wa kuhesabu, basi, hiyo maana yake ni kwamba, sio kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu tofauti na kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Ama:

(1) katika seti ya sifa za kitu X angalau kuna sifa moja P, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu Y,

Au:

(2) katika seti ya sifa za kitu Y angalau kuna sifa moja Q, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu X.

Kwa mfano:
  • Mipira miwili ya tufe, iliyowekwa mezani, na ambayo inafanana kwa kila kitu, bado tunaitambua kuwa ni mipira miwili tofauti kwa kuwa, kila mpira unayo anwani yake ya kijiografia. Hata watoto mapacha sisisi tunawatofautisha kwa njia hiyo.
  • Vivyo hivyo, Miungu inayependa kuabudiwa Ijumaa (Miungu ya Waislamu) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Kadhalika, Miungu inayependa kuabudiwa Jumamosi (Miungu ya Wasabato) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo bado) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Aidha, Miungu inayoruhusu waamini kutumia kondomu (Miungu ya Waanglikana) na Miungu inayokataza kondomu (Miungu ya Wakatoliki) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Vile vile, Miungu inayokataza makuhani kuoa (Miungu ya Wakatoliki) na Miungu inayoruhusu makuhani kuoa (Miungu ya Waanglikana na Walutheri) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!
  • Na mifano inaendelea kama inavyothibitishwa na utitiri wa usajili wa taasisis za kidini katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu

Na tatu, ni kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu. Yaani necessary and sufficient definitions.

Ukitaka kikitambulisha kiti kama vile kitu chenye umbo mraba, kwa namna ambayo inatofautisha umbo mraba na vitu baki, lazima kutaja vigezo vinavyomwezesha msikilizaji kufanya mambo mawili.

Mosi, ni kutambua mraba ni kitu gani. Na pili ni kutambua mraba sio kitu gani.

Kazi hizi mbili zinafanyika kwa njia ya kutaja vigezo ambavyo ni vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu kinachoongelewa.

Kuhusu vigezo vya lazima, tuchukue mfano wa fasili ya kitu chenye umbe la mraba. Ni lazima kila mraba uwe na pande nne.

Lakini, sifa hii haitoshi kuutofautisha mraba na maumbo baki kama vile mstatili ambayo pia yanazo pande nne.

Na kwa upande mwingine, kuna vigezo ambavyo vinatosheleza kukitambulisha kitu, lakini sio vya lazima kwa ajili ya utambulisho huo.

Mfano, katika mazingira ya shule mwanafunzi anayepata alama ya A anapasi kozi.

Lakini, alama ya A sio alama ya lazima ili kumfanya wanafunzi huyo apasi kozi. Anaweza kupasi kwa kupata alama ya B, C au hata alama D.

Hivyo, kupata alama ya A ni kigezo cha lazima katika kupasi kozi, lakini sio kigezo kinachotosheleza matakawa ya kumpa mwanafunzi sifa ya kuhesabiwa amepasi mtihani, kwani hata wale wanaopata B, C na D hupasi pia.

Kwa sababu hii, kwa ajili ya kueleza mraba ni kitu gani na sio kitu gani kwa mpigo, tunahitaji mambo mawili:

(1) kutaja kigezo kimoja kimoja ambacho ni lazima kihusike katika kutambulisha mraba.

Na (2) kutaja seti ya vigezo vyote ambavyo kwa pamoja vitatosheleza kutofautisha mraba na maumbo baki yenye pande nne.

Kwa hakika, kila mraba lazima uwe na sifa zifuatazo kwa mpigo: pande nne, pande zilizo nyooka, pande zinazolingana, pande zilizoungana katika ncha zake, pale zilizo katika ubapa mmoja, na lazima uwe na kona nne zenye nyuzo 90 kila moja.

Kanuni hizi tatu zilizotajwa hapo juu, zinapaswa kutumika katika kutambua na kutambulisha kitu chochote kama vile mbuzi, kondoo, mti, mtu, miungu, na kadhalika.

Hivyo basi:

Ukweli ndio huo, na hayo ndiyo madhara yasiyotarajiwa yaliyoletwa na Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoaasisiwa na Matrin Luther wa Ujerumani.

Kwa uelewa zaidi soma kitabu: The Unintended Reformation: How a Religious Revolution Secularized Society by Brad S. Gregory (Attached).

Kilicho kutuma uandike hiki ulichoandika ni bangi? Au ni kichwani umebeba matope badala ya ubongo wenye akili.
 
Mama Amon,
Unapenda kuandika gazeti kwa mambo ya kijinga wakati mwingine! Kama ungetaka kumjadili Mungu, ungetuwekea hapa reference kutoka kwenye vitabu vya dini kujenga hoja zako! Kwa taarifa yako hao wote wanamwomba na kumwabudu Mungu mmoja kwa njia mbalimabali!
Nakataa.
Sababu inayotufanya kuona tofauti kati ya kondoo na mbuzi ndio hiyo inanifanya kuona tofauti kati ya Mungu wa Wakatoliki na Mungu wa KKKT.

The necessary and sufficient definition of a Catholic God is not synonymous with a necessary and sufficient definition of the Lutheran God.

Period.
 
Unashida moja ndogo sana nayo Ni kutokumjua MUNGU.MUNGU angalii matoleo yako na maombi ya kile unachotaka linapokuja swala la kuhukumu. Siyo ccm Hata Dunia nzima iseme Mbowe ni GAIDI atakachokiangalia MUNGU ni kile kilicho HAKI TU. je Mbowe kweli gaidi? Na akiwa siyo gaidi Kama mnavyosema MUNGU atasimama upande wa Mbowe. Na Kama Ni gaidi kweli MUNGU atasimama upande waliosema Mbowe gaidi. Ndiyo maana MUNGU anasema. KWA HAKI NITAHUKUMU MATAIFA. si kwa kelele za ccm Wala chadema wala mahakama. Sababu mahakama inaweza kukuachia na bado kwa MUNGU ukawa na makosa. Au ikakufunga na kwa MUNGU ukawa hauna makosa.
Back to the basics: Unamwongelea Mungu yupi?
 
Back
Top Bottom