Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

ukija kifedhuli Mungu amenipa kibali cha kukupasua kifedhuli.
Mungu yupi huwa anatoa kibali kwa mtu mzinzi?
Hata madogi wanakushangaa!

1631214369915.png
 
Duuuh Jf ya leo...!!

Maombi ya kila mja huwa kwa kile anachokiamini. Mpokea maombi siku zote huwa hausiani na imani ya yule anaemuombea.. Ndiomaana si ajabu kwa Mkristu kwa Imani yake kumuombea Muisilamu na akapona bila kuzingatia imani yake kwa aliyemuombea.

Yule anaomba ndie anaemlilia Muumba kwa imani yake kwake kwaajili ya chochote au yeyote bila kuzingatia imani ya kile kinachoombewa kuamini ktk imani ya muimbaji.. Neno dogo kama hili ni gumu kulielewa akilini mwako??

Mwalimu Nyerere ktk harakati zake za kudai Uhuru wa Tanganyika, alipata kuombewa na Wakristu, Waislam, Machifu ama waaguzi wa kipindi hicho wote kwa imani zao walitia maombi kwa Mungu wao waliekuwa wakimlilia kwaajili ya kumfanikishia mja wake kufanikisha kile alichokuwa akikipigania.

Unataka kuniambia Nyerere alikuwa na imani zote za wale waliokuwa wakimuombea ili kufanikisha jambo lake?

Mbona ni jambo dogo kulijua kwako kunaugumu gani?? Anyway, salam Mama Amon

BACK TANGANYIKA
Kwani hujui chadema wana mungu wao? Chadema is like a cult kama freemason. Utaona wana advocate mambo ya ajabu hayana logic. Uongo kwao ndio kweli. Ukiwa chadema lazima uwe mbinafsi mshari na mlaku wa mali.
 
Kibali ninacho na ndio maana nakuhenyesha kadiri ya intelejensia ya rohoni.
Naona unajitoa ufahamu. Nani amemhenyesha mwenzie? Utafanikiwa kunihenyesha ukiweza kubomoa hoja yangu. Nakukumbusha hoja yenyewe hivi:

1. Kwa mujibu wa kanuni mama ya kutofautisha wingi wa vitu na umoja wa kitu (the fundamental principle of necessary and sufficient criteria for individuation), palipo na tofauti katika vigezo vya utambulisho kamilifu kuna vitu vingi, na pasipo na tofauti katika vigezo vya utambulisho kamilifu kuna kitu kimoja.

2. Kuna tofauti kati ya Mungu wa Kiluteri na Miungu baki kama vile Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Wasabato, Mungu wa Waislamu, nk. Mfano, Mungu wa Kilutheri anawaruhusu wafuasi wake kutumia kingamimba, Mungu wa Wakatoliki anawakataza wafuasi wake kutumia kingamimba, Mungu wa Wasabato anakataza wafuasi wake kumwabudu Jumapili, Mungu wa Waislamu anawakataza wafuasi wake kula kiti moto.

3. Kwa hiyo, Mbowe ambaye ni muumini katika kanisa la Kiluteri, anaamini katika uwepo wa Mungu wa Kilutheri na haamini katika uwepo wa Miungu baki kama vile Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Wasabato, Mungu wa Waislamu.

4. Tabia ya kukataa uwepo wa Mungu fulani ni tabia iitwayo atehismo (athesim) na mtu anayekataa uwepo wa Mungu fulani anakuwa na mtazamo wa kiatehismo (athest) kuhusiana na uwepo wa Mungu huyo.

5. Kwa hiyo, Mbowe anao mtazamo wa kiatehismo (athest) kuhusiana na uwepo wa Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Wasabato, Mungu wa Waislamu.

6. Mtu akiwa na mtazamo wa kiatehismo (athest) kuhusiana na uwepo wa Mungu fulani anapoteza haki ya kunufaika na baraka za Mungu huyo.

7. Kwa hiyo, Mbowe hana sababu ya kuomba lolote kutoka kwa MUngu asiyemwamini na hana haki ya kuombewa jambo lolote kutoka kwa MUngu asiyemwamini kama vile Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Wasabato, Mungu wa Waislamu.
 
Naona umejificha siku mbili kwaajili ya kuandika huu upuzi huku ukitumia Utambulisho mwingine katika mabandiko mengine...

SIJASOMA HOJA ZAKO ZOTE, kwasababu nimegundua ni upuuzi au "utopolo" mtu.. NIMESOMA MBILI ZA KWANZA, nikujibu kadili ya upuuzi wako "Dada wa kujitakia" maana nilishafungua mjadala baada ya kugundua wewe ni "Duduka".

1.ANAPOJADILIWA MUNGU, toa kanuni zote za kibinaadamu... KWA MAANA MUNGU YEYE HUPITA FAHAMU ZOTE ZA KIBINAADAMU.

2.Hakuna MUNGU wa waislamu au wakristo.. MUNGU NI MUNGU, YUPO MMOJA MTAKATIFU NA MKUU SANA AKETIYE PAHALA PA JUU PALIPOINUKA PATAKATIFU.. HUYO MUNGU NDIYE ALIYEMUUMBA MTUME PETRO, HUYO HUYO NDIYE ALIYEKUUMBA WEWE NA AKAMUUMBA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)..

Nionyeshe NENO AMBALO MUNGU WA KILUTHERI AMEWARUHUSU WATUMIE KINGAMIMBA, NIONYESHE PIA MAHALI AMBAPO MUNGU WA WAKATOLIKI AMEWAZUIA KUTUMIA KINGAMIMBA... (NARUDIA, NAOMBA UNIONYESHE UTHIBITISHO WA ULICHOSEMA..)
 
Hahahahaha..

"Eti ukifanikiwa kubomoa hoja yangu.."

Mimi sibomoi hoja yako, NAKUGONGA JUU YA HOJA YAKO.. narudia, NAKUGONGEA HAPA HAPA KWENYE HOJA YAKO. (Kibali ninacho)

Ukija kimwili nakulipua kimwili ukija kiroho nakumaliza kiroho na ukija kifedhuli Mungu amenipa KIBALI cha kukupasua kifedhuli..

Karibu
 
Hakuna MUNGU wa waislamu au wakristo.. MUNGU NI MUNGU, YUPO MMOJA MTAKATIFU NA MKUU SANA AKETIYE PAHALA PA JUU PALIPOINUKA PATAKATIFU.. HUYO MUNGU NDIYE ALIYEMUUMBA MTUME PETRO, HUYO HUYO NDIYE ALIYEKUUMBA WEWE NA AKAMUUMBA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)... Nionyeshe NENO AMBALO MUNGU WA KILUTHERI AMEWARUHUSU WATUMIE KINGAMIMBA, NIONYESHE PIA MAHALI AMBAPO MUNGU WA WAKATOLIKI AMEWAZUIA KUTUMIA KINGAMIMBA... (NARUDIA, NAOMBA UNIONYESHE UTHIBITISHO WA ULICHOSEMA..)
Hata kama una kibali cha kufanya uzinzi na kuzalisha watoto wa mitaani kutoka kwa Mungu wako, kama unavyodai, ushahidi ufuatao hauko upande wako:
  1. Kwamba Mungu wa Kilutheri anawaruhusu wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea Maazimio ya Lambeth Conference 1932
  2. Kwamba Mungu wa Wakatoliki anawakataza wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea waraka wa Humanae Vitae 1968
  3. Kwamba Mungu wa Wasabato anakataza wafuasi wake kumwabudu Jumapili--Rejea ibada za Wasabato kila JUmamosi.
  4. Kwamba Mungu wa Waislamu anawakataza wafuasi wake kula kiti moto--Rejea mafundisho ya Mashehe kila Ijumaa.
QED
 
Hahahahaha..

"Eti ukifanikiwa kubomoa hoja yangu.."

Mimi sibomoi hoja yako, NAKUGONGA JUU YA HOJA YAKO.. narudia, NAKUGONGEA HAPA HAPA KWENYE HOJA YAKO. (Kibali ninacho)

Ukija kimwili nakulipua kimwili ukija kiroho nakumaliza kiroho na ukija kifedhuli Mungu amenipa KIBALI cha kukupasua kifedhuli..

Karibu
Unaweza kuwa na "kibali" cha ablakadabla lakini huna kibali cha urazini. Hoja yangu umeikimbia na umefeli mtihani.
 
Ukija kimwili nakulipua kimwili ukija kiroho nakumaliza kiroho na ukija kifedhuli Mungu amenipa KIBALI cha kukupasua kifedhuli..
Kwa povu hili umekubali kwamba hoja yangu huiwezi.
Wasoamji wa uzi huu ni mashahidi kwamba sasa unayumba.
 
Hata kama una kibali cha kufanya uzinzi na kuzalisha watoto wa mitaani kutoka kwa Mungu wako, kama unavyodai, ushahidi ufuatao hauko upande wako:
  1. Kwamba Mungu wa Kilutheri anawaruhusu wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea Maazimio ya Lambeth Conference 1932
  2. Kwamba Mungu wa Wakatoliki anawakataza wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea waraka wa Humanae Vitae 1968
  3. Kwamba Mungu wa Wasabato anakataza wafuasi wake kumwabudu Jumapili--Rejea ibada za Wasabato kila JUmamosi.
  4. Kwamba Mungu wa Waislamu anawakataza wafuasi wake kula kiti moto--Rejea mafundisho ya Mashehe kila Ijumaa.
QED
"Bwege mtozeni".. unaeelewa maana yake?

Ni HERI kwakua "Huo ushahidi hauko upande wangu".. Na kamwe HAUWEZI KUWA UPANDE WANGU.

Mimi niko UPANDE WA NENO LA MUNGU, huo "utumbo wa bomba" (wewe unaiita ushahidi) ni Kanuni za makanisa/misikiti/dini.. na wala SIO USHAHIDI WA NENO LA MUNGU.

Hivyo, nataka "kukugonga" tena usiku huu kwa kusema, HAKUNA SEHEMU MUNGU WA WALUTHERI/WAKATOLIKI alisema... MIMI NI MUNGU WA DHEHEBU/DINI FULANI, SITAKI MFANYE KITU FULANI.

Dini (pepo ambalo limekuganda mama amon) ndio IMESEMA USITUMIE KINGAMIMBA, MARA NYINGINE IKASEMA TUMIA.. hizo ni dini na sio MUNGU.

Mungu ni MMOJA, Akiombwa kwa kichina anajibu, akiombwa na muislamu anajibu, akiombwa na Mzungu kwa kutumia kijapan anajibu, Mnyarwanda toka gisenyi akimuomba kwa kimakonde anajibu, Mngoni toka songea akikaa chini ya mkuyu akimuomba kwa kiingereza anajibu, KWA KIFUPI MUNGU HANA MIPAKA NA WALA HABAGUI...

Niende katika roho kidogo, LICHAVYA KUWA MUNGU NI MMOJA, HABAGUI NA WALA HANA MIPAKA... ANA TARATIBU ZAKE ILI AJIBU MAOMBI HUSIKA.. Je, unataka kuzijua taratibu ZAKE?
 
Kwa povu hili umekubali kwamba hoja yangu huiwezi.
Wasoamji wa uzi huu ni mashahidi kwamba sasa unayumba.
Unakimbilia kuomba mashahidi.. MUNGU HAPANGIWI SHAHIDI, TIZAMA NDANI YA MOYO WAKO.. HICHO UNACHOJISIKIA JUU YA HOJA NA MAJADILIANO HAYA NDIO SHAHIDI WA MUNGU... kinaitwa UKWELI.

KIBALI cha kukugonga ninacho mama amon.
 
Mimi niko UPANDE WA NENO LA MUNGU, huo "utumbo wa bomba" (wewe unaiita ushahidi) ni Kanuni za makanisa/misikiti/dini.. na wala SIO USHAHIDI WA NENO LA MUNGU.
Unafichua ujinga wako tena. There are specific differences regarding the various conceptions of God by different faith groups. And these conceptions as overtly uttered by respective followers are what we can reasonably grasp. As to which conception is right and which is wrong we cannot tell for sure! Acha kupayuka.
 
Unakimbilia kuomba mashahidi.. MUNGU HAPANGIWI SHAHIDI, TIZAMA NDANI YA MOYO WAKO.. HICHO UNACHOJISIKIA JUU YA HOJA NA MAJADILIANO HAYA NDIO SHAHIDI WA MUNGU... kinaitwa UKWELI.

KIBALI cha kukugonga ninacho mama amon.
KIbali kutoka kwa Mungu wa wazinzi na wasema hovyo unacho nakubali.
 
Hata kama una kibali cha kufanya uzinzi na kuzalisha watoto wa mitaani kutoka kwa Mungu wako, kama unavyodai, ushahidi ufuatao hauko upande wako:
  1. Kwamba Mungu wa Kilutheri anawaruhusu wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea Maazimio ya Lambeth Conference 1932
  2. Kwamba Mungu wa Wakatoliki anawakataza wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea waraka wa Humanae Vitae 1968
  3. Kwamba Mungu wa Wasabato anakataza wafuasi wake kumwabudu Jumapili--Rejea ibada za Wasabato kila JUmamosi.
  4. Kwamba Mungu wa Waislamu anawakataza wafuasi wake kula kiti moto--Rejea mafundisho ya Mashehe kila Ijumaa.
QED
Hahahahaha..

Yani hata huoni haya, Toka MUNGU kaumba ulimwengu.. mwaka 1938 ndo aje aruhusu kinga mimba... Au 1962 ndo akataze.

Akili yako inafanya kazi kweli? HAPANA.. Roho wa Bwana ananiambia kabisa AKILI YAKO IMESHIKWA NA INAMILIKIWA NA PEPO LA DINI.
 
Unafichua ujinga wako tena. There are specific differences regarding the various conceptions of God by different faith groups. And these concepts as overtly uttered by respective followers are what we can reasonably grasp. As to which conception is right and which is wrong we cannot tell for sure! Acha kupayuka.

Kuna watu wanapenda kusikia vile wanavyotaka kuvisikia tuu Mama Amon
Wanalazimisha uwezo wako wa kufikiri ufanane na wa kwao bila kujua kwamba huwezi fit kwenye ubongo wao
 
Back
Top Bottom