mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Wewe mama AmonNani anapaswa kujibu swali hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mama AmonNani anapaswa kujibu swali hili?
Hapana, sitakuwa na jawabu sahihi.Wewe mama Amon
Sure.. ukija kifedhuli Mungu amenipa kibali cha kukupasua kifedhuli.Kwa kauli hii, sioni kama unayo sifa ya kuendelea na majadala wa kirazini pamoja nami.
Asante.
View attachment 1924525
Mungu yupi huwa anatoa kibali kwa mtu mzinzi?ukija kifedhuli Mungu amenipa kibali cha kukupasua kifedhuli.
Hahahahaha...Mungu yupi huwa anatoa kibali kwa mtu mzinzi?
Kwani hujui chadema wana mungu wao? Chadema is like a cult kama freemason. Utaona wana advocate mambo ya ajabu hayana logic. Uongo kwao ndio kweli. Ukiwa chadema lazima uwe mbinafsi mshari na mlaku wa mali.Duuuh Jf ya leo...!!
Maombi ya kila mja huwa kwa kile anachokiamini. Mpokea maombi siku zote huwa hausiani na imani ya yule anaemuombea.. Ndiomaana si ajabu kwa Mkristu kwa Imani yake kumuombea Muisilamu na akapona bila kuzingatia imani yake kwa aliyemuombea.
Yule anaomba ndie anaemlilia Muumba kwa imani yake kwake kwaajili ya chochote au yeyote bila kuzingatia imani ya kile kinachoombewa kuamini ktk imani ya muimbaji.. Neno dogo kama hili ni gumu kulielewa akilini mwako??
Mwalimu Nyerere ktk harakati zake za kudai Uhuru wa Tanganyika, alipata kuombewa na Wakristu, Waislam, Machifu ama waaguzi wa kipindi hicho wote kwa imani zao walitia maombi kwa Mungu wao waliekuwa wakimlilia kwaajili ya kumfanikishia mja wake kufanikisha kile alichokuwa akikipigania.
Unataka kuniambia Nyerere alikuwa na imani zote za wale waliokuwa wakimuombea ili kufanikisha jambo lake?
Mbona ni jambo dogo kulijua kwako kunaugumu gani?? Anyway, salam Mama Amon
BACK TANGANYIKA
Naona unajitoa ufahamu. Nani amemhenyesha mwenzie? Utafanikiwa kunihenyesha ukiweza kubomoa hoja yangu. Nakukumbusha hoja yenyewe hivi:Kibali ninacho na ndio maana nakuhenyesha kadiri ya intelejensia ya rohoni.
Naona umejificha siku mbili kwaajili ya kuandika huu upuzi huku ukitumia Utambulisho mwingine katika mabandiko mengine...Naona unajitoa ufahamu. Nani amemhenyesha mwenzie? Utafanikiwa kunihenyesha ukiweza kubomoa hoja yangu. Nakukumbusha hoja yenyewe hivi:
1. Kwa mujibu wa kanuni mama ya kutofautisha wingi wa vitu na umoja wa kitu (the fundamental principle of necessary and sufficient criteria for individuation), palipo na tofauti katika vigezo vya utambulisho kamilifu kuna vitu vingi, na pasipo na tofauti katika vigezo vya utambulisho kamilifu kuna kitu kimoja.
2. Kuna tofauti kati ya Mungu wa Kiluteri na Miungu baki kama vile Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Wasabato, Mungu wa Waislamu, nk. Mfano, Mungu wa Kilutheri anawaruhusu wafuasi wake kutumia kingamimba, Mungu wa Wakatoliki anawakataza wafuasi wake kutumia kingamimba, Mungu wa Wasabato anakataza wafuasi wake kumwabudu Jumapili, Mungu wa Waislamu anawakataza wafuasi wake kula kiti moto.
3. Kwa hiyo, Mbowe ambaye ni muumini katika kanisa la Kiluteri, anaamini katika uwepo wa Mungu wa Kilutheri na haamini katika uwepo wa Miungu baki kama vile Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Wasabato, Mungu wa Waislamu.
4. Tabia ya kukataa uwepo wa Mungu fulani ni tabia iitwayo atehismo (athesim) na mtu anayekataa uwepo wa Mungu fulani anakuwa na mtazamo wa kiatehismo (athest) kuhusiana na uwepo wa Mungu huyo.
5. Kwa hiyo, Mbowe anao mtazamo wa kiatehismo (athest) kuhusiana na uwepo wa Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Wasabato, Mungu wa Waislamu.
6. Mtu akiwa na mtazamo wa kiatehismo (athest) kuhusiana na uwepo wa Mungu fulani anapoteza haki ya kunufaika na baraka za Mungu huyo.
7. Kwa hiyo, Mbowe hana sababu ya kuomba lolote kutoka kwa MUngu asiyemwamini na hana haki ya kuombewa jambo lolote kutoka kwa MUngu asiyemwamini kama vile Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Wasabato, Mungu wa Waislamu.
Hata kama una kibali cha kufanya uzinzi na kuzalisha watoto wa mitaani kutoka kwa Mungu wako, kama unavyodai, ushahidi ufuatao hauko upande wako:Hakuna MUNGU wa waislamu au wakristo.. MUNGU NI MUNGU, YUPO MMOJA MTAKATIFU NA MKUU SANA AKETIYE PAHALA PA JUU PALIPOINUKA PATAKATIFU.. HUYO MUNGU NDIYE ALIYEMUUMBA MTUME PETRO, HUYO HUYO NDIYE ALIYEKUUMBA WEWE NA AKAMUUMBA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)... Nionyeshe NENO AMBALO MUNGU WA KILUTHERI AMEWARUHUSU WATUMIE KINGAMIMBA, NIONYESHE PIA MAHALI AMBAPO MUNGU WA WAKATOLIKI AMEWAZUIA KUTUMIA KINGAMIMBA... (NARUDIA, NAOMBA UNIONYESHE UTHIBITISHO WA ULICHOSEMA..)
Unaweza kuwa na "kibali" cha ablakadabla lakini huna kibali cha urazini. Hoja yangu umeikimbia na umefeli mtihani.Hahahahaha..
"Eti ukifanikiwa kubomoa hoja yangu.."
Mimi sibomoi hoja yako, NAKUGONGA JUU YA HOJA YAKO.. narudia, NAKUGONGEA HAPA HAPA KWENYE HOJA YAKO. (Kibali ninacho)
Ukija kimwili nakulipua kimwili ukija kiroho nakumaliza kiroho na ukija kifedhuli Mungu amenipa KIBALI cha kukupasua kifedhuli..
Karibu
Kwa povu hili umekubali kwamba hoja yangu huiwezi.Ukija kimwili nakulipua kimwili ukija kiroho nakumaliza kiroho na ukija kifedhuli Mungu amenipa KIBALI cha kukupasua kifedhuli..
"Bwege mtozeni".. unaeelewa maana yake?Hata kama una kibali cha kufanya uzinzi na kuzalisha watoto wa mitaani kutoka kwa Mungu wako, kama unavyodai, ushahidi ufuatao hauko upande wako:
QED
- Kwamba Mungu wa Kilutheri anawaruhusu wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea Maazimio ya Lambeth Conference 1932
- Kwamba Mungu wa Wakatoliki anawakataza wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea waraka wa Humanae Vitae 1968
- Kwamba Mungu wa Wasabato anakataza wafuasi wake kumwabudu Jumapili--Rejea ibada za Wasabato kila JUmamosi.
- Kwamba Mungu wa Waislamu anawakataza wafuasi wake kula kiti moto--Rejea mafundisho ya Mashehe kila Ijumaa.
Unakimbilia kuomba mashahidi.. MUNGU HAPANGIWI SHAHIDI, TIZAMA NDANI YA MOYO WAKO.. HICHO UNACHOJISIKIA JUU YA HOJA NA MAJADILIANO HAYA NDIO SHAHIDI WA MUNGU... kinaitwa UKWELI.Kwa povu hili umekubali kwamba hoja yangu huiwezi.
Wasoamji wa uzi huu ni mashahidi kwamba sasa unayumba.
Unafichua ujinga wako tena. There are specific differences regarding the various conceptions of God by different faith groups. And these conceptions as overtly uttered by respective followers are what we can reasonably grasp. As to which conception is right and which is wrong we cannot tell for sure! Acha kupayuka.Mimi niko UPANDE WA NENO LA MUNGU, huo "utumbo wa bomba" (wewe unaiita ushahidi) ni Kanuni za makanisa/misikiti/dini.. na wala SIO USHAHIDI WA NENO LA MUNGU.
KIbali kutoka kwa Mungu wa wazinzi na wasema hovyo unacho nakubali.Unakimbilia kuomba mashahidi.. MUNGU HAPANGIWI SHAHIDI, TIZAMA NDANI YA MOYO WAKO.. HICHO UNACHOJISIKIA JUU YA HOJA NA MAJADILIANO HAYA NDIO SHAHIDI WA MUNGU... kinaitwa UKWELI.
KIBALI cha kukugonga ninacho mama amon.
Idiot!Dini (pepo ambalo limekuganda mama amon) ndio IMESEMA USITUMIE KINGAMIMBA, MARA NYINGINE IKASEMA TUMIA.. hizo ni dini na sio MUNGU.
ZitajeNiende katika roho kidogo, LICHAVYA KUWA MUNGU NI MMOJA, HABAGUI NA WALA HANA MIPAKA... ANA TARATIBU ZAKE ILI AJIBU MAOMBI HUSIKA.. Je, unataka kuzijua taratibu ZAKE?
Hahahahaha..Hata kama una kibali cha kufanya uzinzi na kuzalisha watoto wa mitaani kutoka kwa Mungu wako, kama unavyodai, ushahidi ufuatao hauko upande wako:
QED
- Kwamba Mungu wa Kilutheri anawaruhusu wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea Maazimio ya Lambeth Conference 1932
- Kwamba Mungu wa Wakatoliki anawakataza wafuasi wake kutumia kingamimba--Rejea waraka wa Humanae Vitae 1968
- Kwamba Mungu wa Wasabato anakataza wafuasi wake kumwabudu Jumapili--Rejea ibada za Wasabato kila JUmamosi.
- Kwamba Mungu wa Waislamu anawakataza wafuasi wake kula kiti moto--Rejea mafundisho ya Mashehe kila Ijumaa.
Unafichua ujinga wako tena. There are specific differences regarding the various conceptions of God by different faith groups. And these concepts as overtly uttered by respective followers are what we can reasonably grasp. As to which conception is right and which is wrong we cannot tell for sure! Acha kupayuka.