Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Mshirikishe Mungu,
Amesema apataye mke amepata kitu chema,naye amejipatia kibali kutoka kwa Bwana

Lakini pia amesema katika kitabu cha Isaya

"Hakuna hata mmoja katika hawa atakayekosekana, hakuna hata mmoja atakayemkosa mwenzi wake. Kwa kuwa ni kinywa chake Mungu kimeagiza, na Roho wake atawakusanya pamoja..."

Lakin pia Amesema tena katika kitabu cha isaya 60:22

When the time is right,
I,THE LORD, will come quickly...I will make these things happen

Na Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Huenda huwa ridhishi ndio maana wanakata moods zao kwako kaka jitafute uangalie wapi uko na shida
 
Usitafute mwanamke dar es salaam,ili ufanikiwe tafuta muha,msukuma. ,mchaga au mmasai ,wafipa, wanawake wa makabila hayo sio wasumbufu kivile mkuu nenda nje ya mkoa.
Hapa umenena vema... Hapo kwa kuoanmchaga asiwe kizembezembe. Kwa msukuma ndio mke uhakika upande wa Muha Sina uzoefu nk
 
Kutafuta mwenza wa maisha kwa kutegemea utashi,Elimu,pesa au akili zako mwenyew ni kazi sana hata Mimi nilipitia changamoto sana za kutafuta mwenza baada ya kuhitimu chuo ila namshkuru MUNGU alinipatia MKE MWEMA asee ingawa haikuwa rahisi.

Binafsi baada ya kuchoshwa na mambo ya wanawake kuumizwa kwenye mahusiano ndipo nilisikia sauti ndani yangu Nifunge siku 3 na baada ya kufunga nkaenda kumtolea sadaka MUNGU kanisani anisaidie kwani nilikuwa nipo serious sana kupata mke ukizngatia kaumri nako kamesogea na teali nna ajira ya kuniingizia kipato by that time nilikuwa 28yrs.

Ilipita kama 3 weeks baada ya mfungo wa siku 3 ndipo siku 1 nkasema nna Muda sikwenda kumchek sister ang nyumban nkafunga Safari ya kwenda kumcheki sister ilikuwa mida ya saa1 moja hivi jioni kufika tukapiga story ukafika muda wa kula...Akaja mfanyakazi wa sister ni mdada mmoja tabasam lake tu asee sikuwa sawa zaidi zaidi akanikarbsha chakula akaninawisha nikala namalzia tu kula akarudi kuninawisha na kuondoa vyombo mtoto mmoja mwenye sura ya upole na umbo la kuvutia akili iliniruka nkajiuliza Binti kama huyu how come is house girl basi toka hapo mpaka namalzia kuandika comment hii ni MKE NA MUME na tuna mtoto mmoja wa kiume.
So kikubwa usitegemee sana akili zako kwenye harakati za maisha Mtegemee MUNGU kwa shetani ana akili kuliko zako na lengo lake kufurahia kukuangusha tu.

Naimani nimeeleweka.
 
Haya maisha ya mapenzi hayapo sawa kabisa, mwingine mke kabisa kamuacha anaenda huko nje anakaa muda kagoma kwenda na mkewe wakati fursa ipo, mke katulia sasa kamaliza kaanza kumdharau mkewe eti hana elimu yakutosha, chakujiuliza wakati anamchumbia hakulijua hilo? Huyo mme anachokitafuta atakipata.

Nawe kijana naona umejipangia mke kichwani mwako muombe MUNGU akupe mke aliyekupangia, huyo wa 31yrs ni mtu mzima anajielewa hivyo akifanyacho anakijua tulia na muombe Mungu mke utampata tu.
 
Salama Mkuu,naweza kupata mawasiliano ya mkeo kuna kitu anishauri,ahsante
 
Mtu wa maana sana wewe mzee πŸ˜„
 
Point
 
Yaani upo nae vacation halafu ananuna,iko wazi una disability katika kutomba,huwezi kutomba, je umekuwa mpiga punyeto mkuu? Kwa muda gani? Uko na chululuu ndogo? Unanuka korodani? Huswaki? Una lafudhi ya kisukuma? Mfupi? Kama unahela basi angalia hizo sababu nilizotaja zifanyie kazi,lastly naomba namba za huyo mwanamke tafadhali
 
Kwa Bongo huwezi kukosa kabisa mwanamke unachokosea ni kwenda levo ambazo sio zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…