Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, hakuna dodo hapo ...washataja sifa zao huwa hazibadilikiHaya Tresor Mandala useme sasa huna bahati dodo hilo limedondoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, hakuna dodo hapo ...washataja sifa zao huwa hazibadilikiHaya Tresor Mandala useme sasa huna bahati dodo hilo limedondoka
Walau hapa sie wafupi hatujatengwaYeyote yule tu mwenye heshima,upendo na kujali
Cha muhimu mfukon awe njema na kichwan tu.Hizo rangi na kimo having hata umuhim kwangu.Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.
sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi
#nyumayapazia
Oya punguza Sasa shobo maana nlkuwa sjakuuliza Wewe ..kama unataka sana shobo msaidie mjibie Hilo swaliJibu swali,waarabu walikutafuna? naona umeweka ushuhuda wako hapa,aisifuye mvua jua imemnyeshea,
Walikukata hilo linda?
Nilijua unanipenda mimi kumbe unapenda weusi? Basi tumpigie Joh makini atakufaa, umeniudhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24]Hili swali kila siku jamani?
Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Ulitakiwa na wewe useme I love you too, upendo haubagui alisema PauloHahahaha, hakuna dodo hapo ...washataja sifa zao huwa hazibadiliki
Punguza shobo nammKama ulif**a sema usione aibu
Aaargh...utarudi pale pale mrefu ?Ulitakiwa na wewe useme I love you too, upendo haubagui alisema Paulo
Ooooooh . .... It was a mistakeMbona Sasa unauliza kuhusu mtume wako?
Mbona hueleweki unataka mweusi au intelligent? Chagua mojaMimi hicho ndio kigezo changu kikuu, akili!
Huyu jamaa hajawahi eleweka kila siku ni new version dkk yeyote anakuja kivyovyoteMisimamao yako nilidhaniaga wewe ni mujahedeen....😬
Mi jua likiwaka nakua mweupe kukiwa na mawingu naonekana na ublack flani hivi wa kisomali nafikiri nakufaa maana mi ndo huyo yeyote uliemtajaYeyote yule tu mwenye heshima,upendo na kujali
Mweusi mwenye akili, na sio nataka… ninaye tayari.Mbona hueleweki unataka mweusi au intelligent? Chagua moja
HahahahaMweusi mwenye akili, na sio nataka… ninaye tayari.
Hahahaha,dah hizi dharau mkuu , kwa sie wafupi ujue ...Mwanaume unakuaje mweusi alafu mfupi kama ulitaka kuwa tairi ya bajaj si ungesema
Mi nikikukuta ni mfupi na unatembea na demu wako njiani lazima niwasimamishe nimtongoze demu wako alafu we nakupa hela ukanunue pipi
Da Lu unanifaa njoo uchukue mauwa yako[emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji259][emoji259][emoji259]Awe mweusi au mweupe ili mradi tu anizidi urefu.
Walau kigezo cha hela ..kina solvika..hata wafupi tunakua nazo ila vigezo vingine hivyo dah..ni uonevuSema dada zetu wabaki na msimamo wao ule ule wa Pesa...maana Hela ni kitu ambayo mtu anaweza amua awe nayo au asiwe nayo lkn rangi huchagui unajikuta tu we baraka da price au waiti