Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Kwa ambae amesoma na hakukuelewa vema basi ni wazi ni mwanajamii mfu asiye na uelewa na namna jamii imetokea wapi na inakwenda wapi.

Ila kwa sisi ambao tunafahamu jamii yetu inatoka wapi na inakwenda wapi tunaelewa.

So big up kwa uzi huu uliojawa na chachu ya ukweli na hoja yako ni nzito yenye kuhitaji hekima ya juu sana kuijadili.
 
Mmmmmmhmn nilijua nitakukuta hapa ewe toxic feminist.....
 
Wapi nimeandika wote wamepotoka. Ndiyo maana nikatoa angalizo, umakini unatakiwa ili usikosee katika kujenga hoja au kujibu hoja. Naomba usome tena huko juu nilicho kiandika, samahani lakini mrembo.
Anajaribu kukudistract.... Hawa si ndio kansa yenyewe tayari wameshaharibiwa na fikra za umagharibi..... Tuawaache wavune wanachopanda....
 
Mmmmmmhmn nilijua nitakukuta hapa ewe toxic feminist.....
Mtazamo wangu tu ka ninavoheshimu maoni yako, so calling me toxic umekosea sana. Ur manipulative in nature or narcissistic personality disorder.
 
Reactions: BAK
Unamjibu kwa hekima sana...
 
Hebu kuwa mstaarabu basi usimkere mleta uzi.... Mbona mgovi lakini we mdada.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu kuwa mstaarabu basi usimkere mleta uzi.... Mbona mgovi lakini we mdada.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mstaarabu shida Ni nyie wanaume msio na koromeo kuanza personal attack, mko dhaifu Sana mnakwama wapi lakini, hebu jiamini msipende kupangia watu
 
Mimi mstaarabu shida Ni nyie wanaume msio na koromeo kuanza personal attack, mko dhaifu Sana mnakwama wapi lakini, hebu jiamini msipende kupangia watu
Haupangiwi kitu hapa. Ni utaratibu unafuatwa.... Tutakaza hivi hivi hadi utasurrender na utafuta utaratibu wa jamii yako, huo umagharibi wako peleka huko kwa wazungu kwetu sisi wanaume wa kiafrika you must bow.... Aidha unataka au hautaki you will bow my dear..... Sisi hatuendeshwi na fikra za kike mnazodanganyana nazo huko Instagram au kwenye mitandao, uhalisia ni tofauti sana. Ndio maana wengi mnaendelea kuumizwa hisia zenu...... Its our job and duty kuserve and protect our culture.

Weak women like u who pretend to be strong au actually our failure.... So we shall fix you be it by will, choice or command u will and must bow before your culture.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenibidi tu nicheke, Yani wewe ukaze eti nibadilike [emoji23][emoji23]over my dear body, nyie wanaume hamjiamini na sawa na kutaka kupaka upepo rangi au kushindana na mda hapo mtaaumia
 


Heeehee....bhaeleze
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenibidi tu nicheke, Yani wewe ukaze eti nibadilike [emoji23][emoji23]over my dear body, nyie wanaume hamjiamini na sawa na kutaka kupaka upepo rangi au kushindana na mda hapo mtaaumia
But of course darling love, kukukazia ni muhimu wether unataka au hautaki. Mwanamke ukienda nae kwa maneno hamtafanya maendeleo.

Wazee wamewadekeza sana mabinti wa kizazi hadi jamii inaanza kufeli. Hebu ona watoto wa kiume wa sasa walivyo hovyo, tazama wanaume walivyo wa kindezi sababu ya makuzi ya ajabu ambayo ninyi ndio mnayasapoti.

Sasa sisi tutatumia mamlaka halali tuliyo nayo. Na hizo kanuni na sheria za kipuuzi tutazifanyia marekebisho ili kuwarudisha katika mstari.
 
Ndio tunataka tatizo litokomee hili. Nyie wanawake ndio mnatuangusha......

Ukikutana na mwanaume anakuwekea ugoko acha ubishi......
 
Bado una nafasi ya kutengeneza House Wives Kadhaa. Oa. Ukizaa watoto wa kike.... Wasomeshe mpaka darasa la 7 au form 4 ili wawe House Wives kwa wanaume kadhaa hapo baadae. Very Simple.

Kupanga Ni Kuchagua.
 
Mimi siishi kwa kupangiwa maisha na mtu naishi nitakavyo, Mimi Ni timamu kwanini unipangie na wewe umejuaje uko sahihi na huo wa ku kujifanya ku correct watu siulale tu[emoji23][emoji23].

Mimi baba yangu hajanidekeza Ni very understanding na Hana mentality za kuhangaika ili aonekane baba, since he knows his position kila kitu kina flow vizuri tu maana yeye ni baba na haihitaji kunikandamiza ili kujionyesha yeye ni baba.

Halafu pia kwanini watu waharibike uje ulaumu wanawake, maana mtu kajiamulia kuishi atakavyo kwanini u blame wengine, na kwanini usiseme sisi wanaume tumefeli lawama watuangishia wanawake, ujue failures ndio hulaumu wengine kwa kushindwa kwenye kila Jambo badala ya kutafta solutions.
Halafu ka watu wanaharibika kwanini wewe usilee wanao wawe na tabia njema maana hyo itatosha kuliko kupangia wengine life.
 
Tatizo unabishia jambo ambalo haulifahamu na upeo nalo mdogo. Na ndio hapo ubishi unapoanzia....
 
Hizi kampeni zianze na mabinti zenu muwaweke nyumbani tu hapa mnaongea kwa social media nikifika majumbani kwenu mnawaambia mabinti zenu nataka uwe Dr. nataka uwe pilot nitakusomesha mpk mwisho wa elimu yako.
Anzisheni hii movement na watoto wenu mbona mtafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…