Well i know u know me......! The issue ni kwamba sisapoti ajenda Nyuma ya 3rd wave feminism sababu ni za kifashist.Wewe tumeshakutana sana kwenye nyuzi nyingi kama hii na kila nilichokuwa nasema kuhusu maovu ya wanaume ulikuwa lazima upinge na ulikuwa mmoja wa waliokuwa wananiita feminist mara activist! Unafikiri sikumbuki?
Well i know u know me......! The issue ni kwamba sisapoti ajenda Nyuma ya 3rd wave feminism sababu ni za kifashist.
Na hata wanawake wenyewe wanazitoa dosari. Sababu wao ajenda yao kubwa ni kutaka ligi na jinsia ya kiume ndio maana ajenda zao zinakwama hata wanawake wenzao wanaziwekea question mark.
Sasa ulitaka nikusapoti katika ajanda hizo.....?!
Mimi pia ni miongoni mwa wadau wa kutetea stahiki na haki halisi za mwanamke na hata ukinambia nikupe makabrasha yangu ya ufahamu juu ya haki halisi za wanawake utastaajabu kujua ninachojua......
So don't get it twisted or getting wrong, i support basic females rights agenda but not 3rd wave feminism bullshit crap like the one most of you ladies seem to support and propagate about on these social media platforms. Eg. Kukaa nje hadi usiku kurudi muda unajisikia, kuwa na rafiki wa kiume na kuwa nao around katika mazingira tatanishi, kuwa na kipato na kujiendeleza binafsi na kutohusisha mali na assets zako kwa mumeo na watoto. Huu ndio upuuzi ambao wewe na wengine huwa mnatetea na hamtakuta siku nimewasapoti na ingekuwa live tayari ningeshakuwa violent kwa kutembeza kichapo maana kuna wanawake bila kuzabuliwa vichwa vyenu havifanyi kazi msyuuuuuuuuu . [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Old friendOna sasa kumbe hata haunijui vizuri halafu uko hapa unabwabwaja kana kwamba unanijua! Nani alikuambia mimi nasupport hayo unayoyasema na nani alikuambia mimi nasupport mwanamke kuwa sawa na/juu ya mwanaume kama kuna mada niliwahi kusema hayo ilete tumshinde shetani!
Acha uongo wewe kijana hata haya hauoni? Ndiyo maana nasema ni wanaume wachache sana ambao walikuwa wanasoma comments zangu between the lines ndiyo waliokuwa wananielewa nilichokuwa nasema ila wengine kutwa mko hapa kusubiri wanawake watasema nini ili mbishane nao!
Hapa tunataka hoja mzee, kuamini bila ubainifu na kujenga hoja, hii ni imani potofu iliyo jengeka katika ujinga.Nimeupitia Uzi na Michango ya Members,
Haya ndio niliyoyaona Kwa Maudhui ya Uzi na Mleta Uzi.
a)Misogynist:
A Man Who Hates Women or Believes Men are Much Better Than Women...!
b)Conservative/Traditionalist.
C)Religious Fanatic.
d) Kubwa kuliko kwa Mleta Uzi,Watu Wamuulizao Maswali na kuchangia maada huwajibu kwa kejeri,dharau na Matusi ya reja-reja...(Hii anaweza kuirudia Tena)
[emoji23][emoji23] impossibleNina wewe... Am tailing you... I can't wait to have u.....
Good analysis of this threadNimeupitia Uzi na Michango ya Members,
Haya ndio niliyoyaona Kwa Maudhui ya Uzi na Mleta Uzi.
a)Misogynist:
A Man Who Hates Women or Believes Men are Much Better Than Women...!
b)Conservative/Traditionalist.
C)Religious Fanatic.
d) Kubwa kuliko kwa Mleta Uzi,Watu Wamuulizao Maswali na kuchangia maada huwajibu kwa kejeri,dharau na Matusi ya reja-reja...(Hii anaweza kuirudia Tena)
Future possible tense[emoji23][emoji23] impossible
A big noFuture possible tense
Kukaa nje hadi usiku kurudi muda wanaojisikia kuwa na marafiki wa kiume ktk mazingira tatanishi..vyote hivyo nani anaefundishwa hivo jamani? Mbona uongo uongo mwingi.Well i know u know me......! The issue ni kwamba sisapoti ajenda Nyuma ya 3rd wave feminism sababu ni za kifashist.
Na hata wanawake wenyewe wanazitoa dosari. Sababu wao ajenda yao kubwa ni kutaka ligi na jinsia ya kiume ndio maana ajenda zao zinakwama hata wanawake wenzao wanaziwekea question mark.
Sasa ulitaka nikusapoti katika ajanda hizo.....?!
Mimi pia ni miongoni mwa wadau wa kutetea stahiki na haki halisi za mwanamke na hata ukinambia nikupe makabrasha yangu ya ufahamu juu ya haki halisi za wanawake utastaajabu kujua ninachojua......
So don't get it twisted or getting wrong, i support basic females rights agenda but not 3rd wave feminism bullshit crap like the one most of you ladies seem to support and propagate about on these social media platforms. Eg. Kukaa nje hadi usiku kurudi muda unajisikia, kuwa na rafiki wa kiume na kuwa nao around katika mazingira tatanishi, kuwa na kipato na kujiendeleza binafsi na kutohusisha mali na assets zako kwa mumeo na watoto. Huu ndio upuuzi ambao wewe na wengine huwa mnatetea na hamtakuta siku nimewasapoti na ingekuwa live tayari ningeshakuwa violent kwa kutembeza kichapo maana kuna wanawake bila kuzabuliwa vichwa vyenu havifanyi kazi msyuuuuuuuuu . [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna ninyi ndio vitu mnataka otherwise why haki sawa iwe tatizo kwa wanaume unadhani?!Kukaa nje hadi usiku kurudi muda wanaojisikia kuwa na marafiki wa kiume ktk mazingira tatanishi..vyote hivyo nani anaefundishwa hivo jamani? Mbona uongo uongo mwingi.
Na kama hamjui wanaume ndo mnasababisha wanawake watake haki sawa.
Nyinyi mnapigania sana mwanamke asiwe anahoji chochote mnamnyong'onyeza mwanamke kwa kumfanya si kitu ndoa zimekua chungu sababu yenu inafika wakati wanawake wanaamua kubaki ndoani sababu ya watoto.Hakuna ninyi ndio vitu mnataka otherwise why haki sawa iwe tatizo kwa wanaume unadhani?!
Watetezi wa hizi fikra za kufanana haki, hawana hoja zaidi ya viroja. Wanalia lia sana.Ngoja tutumie video at least tutaeleweshana.
Kumbe tatizo lako liko hapa sasa kwanini unazunguka mkuu[emoji849]Ni miongoni mwa sababu hizo.
Kwani jukumu la kuwasimamia watoto nyumbani ni nani ? House girl au mama mwenye watoto ?
Unaweza kunionyesha nimezunguka wapi na hili unalo liona hujaona nilipo ligusia huko juu ?Kumbe tatizo lako liko hapa sasa kwanini unazunguka mkuu[emoji849]
Hapa sijaluelewa bibie unamaanisha nini ?Sasa utofauti anaoongelea mwenzio msomi ndo ushapotea ulikuepo kipindi cha mkwawa mwanamme alikua anaonekana mwanaume kweli na kazi zake zilimbeba kama mwanaume na hazikufanana na za mwanamke.
Bibie mbona hutulii, kwani lililo wasabisha nyinyi mtoke majumbani ni baada ya sisi kuacha majukumu yetu, au ni maazimio ya haki za binadamu na uwana harakati ? Mbona unakuwa muzabizabina hujui wapi pakushika ?Kumrudisha mama nyumbani inawezekana lakin jee na nyi mko tayari kua wanaume kweli!!! Mana mbaka mionekano yenu mmeiharibu.