Mkuu uko serious kweli? Hivi ni mwanamke gani asiyependa raha ya kukaa nyumbani na watoto wake akiwalea vyema na aende ofisini akapate karaha.Maisha yametushape hivyo wengi wetu,maisha yamefanya wenyewe tuamke tulipolala especially kuna wababa hawatimizi majukumu yako na sidhani ksma Mungu aliumba kazi zifanywe na wanaume pekee kama angetaka hivyo nadhani angefanya namna yoyote mwanamke asipate ujuzi wowote ule maana yeye ni muweza ya yote.Ndiyo.
Wewe kwanini unafanya kazi ? Unaweza kuniambia kwanini na kunionyesha ulazima uko wapi ?
Nice speech. But unfortunately, it comes from place of fear, pain, vengeance and revenge. Kimsingi comment yako imebase katika kulipizia rather than kutazama society in general, social responsibility, and gender roles.
Focus yako kwa sasa ni kutaka kuprove kitu ambacho ni hypothetical, yaani kusema wanaume wanaume eti wanawageuza wanawake watumwa kwa kutaka wakae ndani.
My dear maybe u are sourcing your information from the wrong sources. Mwanaume hakuwahi kutaka mwanamke awe slave wake au mfungwa, rather alitaka mtu wa kushirikiana nae katika kujenga jamii. Mwanaume ndie amekuwa slave kwa mwanamke kwa miaka yote akitumia nguvu na jitihada zake kusupport familia yake yaani watoto na mama yao. Sidhani kama kuna mwanamke anaweza kufanya the same thing.
Kwa maneno yako ni wazi kuwa wewe si mshika imani na dini yako whatever type ya dini unayoabudu. Wewe ndie kile kizazi kilichopotea, umeongea ukweli ila kwa namna potofu.
Mwisho wa siku tukubaliane kuwa wewe unapelekeshwa na maisha ya hii dunia ya sasa, sisi ambao tumakupinga tunasimamia misingi.
Binadamu leo hata akijustify kula nyama ya mtu hatakosa hoja ya kutetea huo uamuzi na atakushawishi. Ila unachotakiwa kusimamia ni je, MUNGU anaruhusu wewe kumuua mwanadamu mwenzako kwaajiri ya chakula?!
Ni nani aliesema kuwa nyakati za upotofu zikifika kila atauweza uona uovu na kutetea utukufu wa MUNGU katika dunia iliyojaa maasi. Mojawapo ya maasi ni hivi kuikana taasisi ndoa hadharani na kusapoti maisha ya kifuska ya hii dunia. Hata miaka ya nyuma kwenye hadithi za kiimani, utaona kuna wale mitume na watu waliomheshimu MUNGU kipindi walipofanya jumu lao la kusimamia ukweli wa MUNGU na maagizo yake walidhihakiwa na kutamkiwa maneno ya kejeli na ujuaji. Wale wanatofauti gani na wewe nyakati hizi za kizazi cha technology ya social media?!
Unajitapa kabisa hapa na kukiri kuwa hauna namna ila kuhasi maagizo ya muumba wako ya kutii na kuheshimu taasisi ndoa na majukumu yako ndani ya hiyo ndoa.....
Hizi fujo na usichana huwa vinaisha... Kumbuka kuna maisha baada ya hapa duniani. Huko tuendako utaulizwa jambo moja tu, ulitii mafunzo ya muumba wako, sasa sijui utamjibu na hoja zako hizi hizi mufllisi ya kibinadamu.
Jitafakari upya katika hii vita umechagua kusimama na nani, maana ni aidha shetani, au MUNGU.
Mwanamke huwezi kuongea maneno ya fedheha hivi na ukaona ni sawa.
Zamani unayo izungumzia wewe ni ipi ? Kabla ya mitume au karne ya 17 mpaka 18 ? Sasa usilazimeishe Historia ambayo inatumika tu kama kichaka, ila maazimio ndiyo ya kutaka kufanana ndiyo mnayaweka mbele.
Akili salama imeumbwa kuangalia faida na hasara, vipi unapo kutana na jambo ambalo lina faida chache na hasara kubwa, vipi utaendelea kulifanya kwa kauki mbiu ya kujikomboa au utarudi nyuma na kuacha sababu lina madhara mengi ?
Sasa huoni ya kuwa jamii ya kisasa inamfunza mtu kuwa mjinga zaidi, sababu haimfunzi huyo mwanamke kukabiliana na madhara anayaokutana nayo zaidi ya kuyafumbia macho na kujifanya hayaoni, mwisho wa siku wao wenyewe wanaugulia moyoni
Asili haibadiliki, ila mitazamo na fikra za watu ndiyo zinabadilika. Mwanadamu wa leo ndiyo mwanadamu wa kale, mahitaji ya leo ndiyo mahitani ya kale, heshima haikuwai kupitwa na wakati.
Niko serious sana, ndiyo maana nikaandika huu uzi.Mkuu uko serious kweli?
Naendelea kushangaa, kama mumeo amekosea na wewe ukosee ?Hivi ni mwanamke gani asiyependa raha ya kukaa nyumbani na watoto wake akiwalea vyema na aende ofisini akapate karaha.
Sasa bibie mbona bado mmelala, na huku mnadai mmeamka au hujui maana ya kuamka ? Maana haya mnayo yafanya yalifanyika zama na zama zilizopita na sisi tunaziita zama za Jaahiliya (Zama za ujinga) na ni ujinga gani mkubwa kuliko ujinga wenu huu ambao mnakuwa kama Mshumaa, unaumia wewe kwa ajili ya kuwafurahisha wengine ?Maisha yametushape hivyo wengi wetu,maisha yamefanya wenyewe tuamke tulipolala especially kuna wababa hawatimizi majukumu yako na sidhani ksma
Hii ni hoja ya kitoto sana bibie, unapo tumia leo mkono wa kulia, kwa ajiki ya kula au kupokea kitu au kuta kitu, hakumaanishi ya kuwa mkono wa kushoto hauwezi kufanya hayo bali, kutumia mkono wa kulia ni adabu na vizuri zaidi. Kwahiyo unapoambiwa ukae nyumbani haimaanishi kuwezi kutafuta na ukapata, unaweza ila kufanya kwako huko siyo jukumu lako, kwani kimaumbile utaharibu lile la msingi zaidi, la kusimamia nyumba ambalo ndiyo jambo lako hasa.Mungu aliumba kazi zifanywe na wanaume pekee kama angetaka hivyo nadhani angefanya namna yoyote mwanamke asipate ujuzi wowote ule maana yeye ni muweza ya yote.
Woiii aliyekuudhi msamehe,Maisha ni jinsi unayachagua pambana na yako mkuu.NARUDIA TENA ACHA MAKASIRIKO.Niko serious sana, ndiyo maana nikaandika huu uzi.
Naendelea kushangaa, kama mumeo amekosea na wewe ukosee ?
Wenzako hawataki raha, sababu kushindana na mwanaume ndiyo mmefundishwa, mmefubdishwa ya kuwa hutakiwi kubweteka wala hutajiwi kumtegemea mwanaume, huku mkimaliza kwa kusema "kuna leo na kuna kesho". Sasa unapo andika uongo ambao kwa hali yoyote ile hamuutendei kazi, huku ni kuikosea adabu akili.
Unapo ona mumeo hatimizi majukumu, unatakiwa uangalie njia bora yenye maslahi kwako na kwa watoto wako, siyo unachagua njis ambayo itakugharimu wewe na watoto wako huku si kuatua tatizo na akili iliyo salama ina kataa hili.
Kwahiyo msitake kutulazimisha ya kuwa historia ndiyo sababu wakati jambo hili, tunajua limekuja toka umagharibini.
Sasa bibie mbona bado mmelala, na huku mnadai mmeamka au hujui maana ya kuamka ? Maana haya mnayo yafanya yalifanyika zama na zama zilizopita na sisi tunaziita zama za Jaahiliya (Zama za ujinga) na ni ujinga gani mkubwa kuliko ujinga wenu huu ambao mnakuwa kama Mshumaa, unaumia wewe kwa ajili ya kuwafurahisha wengine ?
Hii ni hoja ya kitoto sana bibie, unapo tumia leo mkono wa kulia, kwa ajiki ya kula au kupokea kitu au kuta kitu, hakumaanishi ya kuwa mkono wa kushoto hauwezi kufanya hayo bali, kutumia mkono wa kulia ni adabu na vizuri zaidi. Kwahiyo unapoambiwa ukae nyumbani haimaanishi kuwezi kutafuta na ukapata, unaweza ila kufanya kwako huko siyo jukumu lako, kwani kimaumbile utaharibu lile la msingi zaidi, la kusimamia nyumba ambalo ndiyo jambo lako hasa.
U sound possessed by some sort of a demon inside of you sio bure. Your ego and greed as gone down to that hell state and it has started to consume your character as well.Umezunguuuuka ila umerudi palepale “”unaamini katika mfumo dume!””
Kaka! Narudia tena! Tabia yako ya kuniunganisha na vicheche wako (generalization) ukome!!!
Nimekwambia na ninarudia tena, hata wanaume wasiofaa wapo, tena zaidi ya wanawake ila kwa vile tu “mmetufunza kusitiriwa “ tumewaheshimu na kusitiri mapungufu yenu karne na karne!!
Unazungumzia mwanamume kutumia nguvu “kusuppport “ familia (mke na watoto) unasahau ya kwamba huyo mnayejimwambafai kwa kutumia maelekezo yake (sina hakika kama ya a ukweli) ndie huyo huyo aliyekupeni “laana ” ya kutafuta kwa jasho na uchungu!!!?
Niite majina yote uyatakayo ila ukweli unabaki vilevile “mwanamume bila mwanamke sawa sawa na 0 & vice verca is true!!
Halafu Chief, hebu jichunguze!!....uko na sumu nyingi sana kwa nyongo yako kiasi kila kitu you take it personal!!
Husirudie kunifokea!! [emoji6]
Huu msemo sahihi, sababu tumeshafunuliwa katika vitabu juu ya maisha ya kaburini, na hakuna tena siri.Siri ya kaburi anaijua maiti sio aliyeko hai!!
Lini tumewachagalia maisha bibie ? Bali sisi tunawarudisha kwenye asili na tuna uchungu kuona heshima yetu haipo tena kwa kukubali kuchezewa kama mpira na kifanywa wanasesere.Wakati wa wanaume kuwachagulia aina ya maisha wanawake umeshaondoka na kamwe hautorudi mpaka “kweli halisi “ ippatikane na sio kwa mihemko yenu ya kimwili zaidi na sio kiroho!!!
Allah aliyempandisha darja mwanamke ndiyo huyo huyo aliyemuamrisha mtume na kumwambia awaambie mkae majumbani, kwani heshima yenu iko huko.Allah mwenyewe kampandisha daraja mwanamke mara 3 ya mwanamume!!, ninyi huo ujasiri wa kutushusha mpaka kuwa vijakazi mwautolea wapi???
Bibie huwezi kushindana na asili, heshima ya hakika huwezi kuipata kupitia njia zenu zaidi ya kufanyea bidhaa na mmeshakuwa bidhaa, na hili hamulioni sababu mwalimu wenu ni kipofu.Hatupo hivyo Na kamwe hatutothubutu tena!! Mwanamke ni msingi wa jamii na haki hiyo tutaipata come rain or sunshine!!!
Bibie ukiona kuna mstari nimeuacha ujue umeandika ujinga, ujinga ambao kuujibu kwake ni ujinga maradufu. Weka akilini hilo.Siku nyingine ukitaka kujibu hoja husibague mistari!!!!
Kwani kukaa nyumbani na kulea watoto ni utumwa ? Bibie jikite kwenye mada.
Mtume wetu alimuomba Allah aliye juu kwa kusema hivi "Ewe Allah mpe madhambi yule ambaye atawafanyia uovu madhaifu wawili,ambao ni Mayatima na Wanawake". Mwanamke utabakia kuwa dhaifu kwa maana ya kimaumbile na silika, kiasili shuruba na mikiki tumeachiwa sisi, na nyinyi mkapewa majumba kuyasimamia. Sasa unaposema wewe siyo dhaifu wakati ni dhaifu, haya bi matumizi mabaya ya akili bibi, na huwezi kushindana na asili, na ndiyo maana zama hizi mmekuwa bidhaa.
Narudi...
Hakua makasiriko mbele ya kuweka hoja, weee shindana na hoja zangu, na usiandike lile ambalo hata nikikupa miaka kumi hutaweza kulithibitisha.Woiii aliyekuudhi msamehe,Maisha ni jinsi unayachagua pambana na yako mkuu.NARUDIA TENA ACHA MAKASIRIKO.
Shout out kwa wanawake wote wanaojituma katika shughuli mbalimbali kwa ajili yao na familia zao. Muumba azidi kuwatia nguvu na nia mfikie malengo yenu.
Ombi langu msione mmefanikiwa mkaanza kutupangia ratiba ngumu za papuchi, mtatufanya tusione umuhimu wa mnachokifanya maana haka ndo kaugonjwa kakurithi tuliko nako
Sijakuelewa unamaanisha nini bibie.emoji28][emoji119]husnichekeshe Chief!! Imagine unayemzungumzia ni binadamu na mwanamume kama wewe tu!! (Ila kakuzidi ubunifu!)
Qur'aan inasemaje kuhusu nyinyi wanawake ?Mimi nafuata Quran ya Allah Subhanah ambayo ameapia kwayo kwamba inajitosheleza na wala haiitaji nyongeza wala haina mapungufu!! Hizo “hadith “ zako waweza tambaa nazo tu kishkaji! [emoji57
Naona unazidi kukosea, baba ndiyo kiongozi wa familia,anapotoka na anapo rudi, sababu sisi ni wajibu wetu kuwatafutia na kuwaletea huo ni ulezi pia, mama ni wa nyumbani na ni jukumu lake kusimamia nyumba na vilivyomo nyumbani pindi mimi napokuwa sipo.Kingine.....naona umekazania suala la malezi ya mtoto!! Kaka !! Kama babako hajakufunza basi naomba nikufunze japo kiduchu....jukumu la kuumba (kuzaa + kulea) siyo la mama pekee!! Andaa kesho yako kwa kupitia kizazi chako /mbegu zako!!!
U sound possessed by some sort of a demon inside of you sio bure. Your ego and greed as gone down to that hell state and it has started to consume your character as well.
See how you refer the Almighty creator of all.... Eti inasema "huyo", such a disrespectful product of sin......
Anyways, i will let u face your demons whomever they might be.... But you know, deep down, evil and those who are found of it are bound for an internal doom and failure.
So be as it may, i dont respect your views and dont bother with mine... Live your evil ways and be out of my preaching as u see it better fit your desire. Goodbye.
Huu msemo sahihi, sababu tumeshafunuliwa katika vitabu juu ya maisha ya kaburini, na hakuna tena siri.
Lini tumewachagalia maisha bibie ? Bali sisi tunawarudisha kwenye asili na tuna uchungu kuona heshima yetu haipo tena kwa kukubali kuchezewa kama mpira na kifanywa wanasesere.
Allah aliyempandisha darja mwanamke ndiyo huyo huyo aliyemuamrisha mtume na kumwambia awaambie mkae majumbani, kwani heshima yenu iko huko.
Bibie kama akili yako inafanya kazi vizuri, aisee hakuna jambo ambalo limekatazwa na Allah wewe ukalifanya bila kupata madhara, utaona unafanikiwa unapata mali ila unapoteza utu, heshima na unakuwa muovu na maisha yako yanakosa baraka, na mali unazo pata zitakushungulisha baada ya kuzishughulisha zenyewe.
Bibie huwezi kushindana na asili, heshima ya hakika huwezi kuipata kupitia njia zenu zaidi ya kufanyea bidhaa na mmeshakuwa bidhaa, na hili hamulioni sababu mwalimu wenu ni kipofu.
Bibie ukiona kuna mstari nimeuacha ujue umeandika ujinga, ujinga ambao kuujibu kwake ni ujinga maradufu. Weka akilini hilo.
Ahsante.
Unaiamini Qur'aan bibie?Ya kwamba Allah aliona Quran haitoshi at the same time akaapa juu ya binaadam kupitia hiyo??!
Eti alimwambia mtume wake atuambie!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli leo hii mwanamume aliye na ubavu wa kuoa binti wa Miaka 9 pamoja na mke wa mwanamume mwingine kwa njia ya fitna ndio nimsikize juu ya mwanamume mwenye nia na dhamira ya kunitawala mpaka kuamua umauti wangu utanipeleka wapi???
Chief, Mwanamume hakumuumba mwanamke!! Wote sisi ni viumbe wake Maulana!! Kibaya zaidi alipoumbwa Adam Muumbaji alishuhudia mapungufu yake na ndio sababu ya kuumbwa mimi Hawa na sio kinyume chake!!
Mama ni mama hata Allah kaamua kupitisha viumbe wake kati ya miguu yangu anatambua umuhimu wangu japo yeye ndiye muumbaji!!
Jenga hoja bibie.“””Bibie ukiona kuna mstari nimeuacha ujue umeandika ujinga, ujinga ambao kuujibu kwake ni ujinga maradufu. Weka akilini hilo.
Ahsante.””””
Na huyu ndio ‘mwanamume’ anaye command maadili kwa wanawake!!!
Natamani nikutane na mama yako!!!
Unaiamini Qur'aan bibie?
Maana unayo yaandika ni kufru ya wazi na hakuna muislamu anae weza kuandika haya uliyo yaandika wewe.
Jenga hoja bibie.
Utanikuta hapa.
naona hoja zimekuzidia mpaka umeanza kuonyesha uhalisia wako.
Nimekuuliza au nakuuliza hivi Qur'aan imetufikiaje sisi ?