Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Hata leo hii mtoto wa kiume ni haramu kuchanganyika na mtoto wa kike, na kufanya hivyi madhara yake ni makubwa sana, sadw tumekatazwa kuangamiza nafsi zetu.
Twende kidogokidogo...Sasa kwann unapinga watoto wa kike wasibobee kuwatibu wenzao ktka shida ya maradhi Yao?!!!
 
Jenga hoa na vunja hoja kwa elimu. Hoja ni kutibiwa na mwanaume siyo kutibiwa tu.
 
Twende kidogokidogo...Sasa kwann unapinga watoto wa kike wasibobee kuwatibu wenzao ktka shida ya maradhi Yao?!!!
Onyesha haja ya wao kubobea mzee, hili swali linakushinda nini ?
 
Umerudia mulemule niliposema kuwa elimu Ni bahari....na hutoka kwa mwenyewe......

Umekazana na Fani tunazorejea ndani ya Al Furqan...kana kwamba elimu nyingne zisizoelezwa humo hazifai......Na hapa ndipo kilipo kichaka chenu....

Tatizo lako unataka kushindana hoja ili UTANGAZWE mshindi,nao Ni upogo katika mijadala tunduizi....
 
Nacheka sana, hili kadhalika limekushinda.

Bado jambo gani lingine la kujadili.

Nipo ...
 
Onyesha haja ya wao kubobea mzee, hili swali linakushinda nini ?
Wewe Deluded....nilipokwambia hvyo ulikataa ila it's true....
Wanabobea kuwatibu wanawake wenzao katika Magonjwa Yao ya kike....acha uzwazwa
 
Wewe Deluded....nilipokwambia hvyo ulikataa ila it's true....
Wanabobea kuwatibu wanawake wenzao katika Magonjwa Yao ya kike....acha uzwazwa
Naelekea kuhitimisha huu uzi, watu hamna hoja,maswali mnayoulizwa hamjibu.
 
Nacheka sana, hili kadhalika limekushinda.

Bado jambo gani lingine la kujadili.

Nipo ...
Sishangai kupenda mashindano na kutaka USHINDI....

Ulimdogosha mpaka Shaykh wenu wa kiwahabi Sudeis,hushindwi KUMDOGOSHA yeyote....
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 

[emoji23][emoji23][emoji23]ati atavunjika nini? [emoji1787][emoji1787]
 
“””””Nacheka sana, naona umelivagaa kijana, Elimu ya dini ndiyo faradhi kwa kila muislamu, ila elimu za mazingira siyo lazima kila mtu asome kijana. “”””””


Hii sentensi yako imethibitisha “Upungufu “ wako ulipo!!

Damn man you’re toooooo weak!!

Ila Alhamdulilah, Muweza wa vyote atamtoa mpinzani wa haki toka viunga vya kiuno chako!! (Mwanao wa kumzaa!)
 
Kushekucha alhamdulillahi lladhiy ahyana....
Hao wazee WANAOABUDU nanihinoo..nashangaa anaipuuza CENTER BOLT ya gari[emoji3]

Alhamdulilah!

[emoji23][emoji23]ukute muda huu anakunjuka kwa bi mdogo akimaliza ndio akapige goti kwa kuwahi adhaan! [emoji23][emoji23][emoji23]

Asthaghafirullah!
 
Alhamdulilah!

[emoji23][emoji23]ukute muda huu anakunjuka kwa bi mdogo akimaliza ndio akapige goti kwa kuwahi adhaan! [emoji23][emoji23][emoji23]

Asthaghafirullah!
😂😂Hao kwa mabibi hatareee....Yuko mmoja alilalama kuwa Mungu Angeruhusu kumi,na si rubaa!! Loooh salaalee
 
Ni kama kile kisa cha jahazi mmoja kulitoboa na wengine kukaa kimya
 
Nini maana ya dharura?

Jambo ambalo haja yake imepitiliza au ambalo kisheria huruhusiwi kulifanya na kufanyika kwake inabidi kuvunja sheria au ada na kuondoa vizuizi vya kutofanyika kwake.
 
Kushindwa kuonyesha udhaifu ulipo, kunathibitisha ya kuwa wewe ndiyo dhaifu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…