Kwa hiyo sasa tunakubaliana kuwa hizi fani ambazo unaona mwanamke hafai kusomea na mwanaume pia haifai kusomea,unakubali sasa ama vipi ?Mbona unauliza mambo ambayo sijayasema kijana, wapi niliandika Mwanaume ameruhusiwa kuchanganyika ?
Katika bado sijatosheka na jaeabu lako kwamba atk migongano hutokea ili wajulikane wakweli.Na ndiyo maana nikakwambia kutokea kwa migongano katika safu ya maswali ni Allah anataka kutuoyesha ni katika wakweli katika da'wa
Umepata wapi kuwa kutoka ni jambo la dharura na isiwe kwa mahitaji ?sababu Mwanamke kutoka ni jambo la dharura, i
Na ikiwa atatoka kwa jambo la mahitaji yake ya kila siku ni haramu sio ?sababu Mwanamke kutoka ni jambo la dharura, i
Kaka mbona unapoteza muda na kurudia jambo ambalo liko wazi ?Kwa hiyo sasa tunakubaliana kuwa hizi fani ambazo unaona mwanamke hafai kusomea na mwanaume pia haifai kusomea,unakubali sasa ama vipi ?
Kama vile udaktari unaosema kuwa mazingira sio mazuri hivyo mwanamke asisome maana yake unakubali pia kuwa ni haramu kwa mwanaume pia kusomea ?
Anasema Allah aliye juu :Umepata wapi kuwa kutoka ni jambo la dharura na isiwe kwa mahitaji ?
Jambo la mahitaji ya kila siku kama lipi ? Bainisha.Na ikiwa atatoka kwa jambo la mahitaji yake ya kila siku ni haramu sio ?
Naona sada umekubali jambo la kufanya kazi, sasa unarudi kwenye jambo jipya la mahitaji ya kila siku.Kama ni haramu ebu lete dalili hapa ambayo inamkataza mwanamke kwenda kwenye mahitaji yake ya kila siku.
Hadithi zimefafanua hilo tena kwa wazi kabisa.Kwa sababu ukitoa aya ya 33 sura ya 33 pale hapakutajwa dharura,na wewe umetia dharura,hii dharura imetajwa katika aya gani mpaka wewe uruhusu kwa dharura ?
Wewe kwanza uoneshe ni wapi aya imesema kuwa watoke kwa dharura kama unavyoruhusu wewe ?Sasa nionyeshe wewe wapi aya imesema mwanamke atoke kea mwahitaji yake ?
Mwanamke kwenda msikitini ni dharura ?Tunasema ni dharura, sababu dalili ziko nyingi toka kwenye hadithi za Rasul, na akatuhusia ya kuwa Wake zetu wakituomba waende misikitini tusiwakataze,
Kazi ni katika mahitaji ya kila siku.Jambo la mahitaji ya kila siku kama lipi ? Bainisha
Unataka kufanya kama hujanielewa kumbe umekwisha nielewa tayari.Naona sada umekubali jambo la kufanya kazi, sasa unarudi kwenye jambo jipya la mahitaji ya kila siku
Dalili ipi iweke tuijadili....Suala la mahitaji ya kila siku(Kama vile kwenda sokoni, dukani na mfano wake) kadhalika utaratibu ni ule ule, lazima aombe ruhusa, aambatane na maharimu wake, akitembea atembee pembezoni mwa njia, na yaliyi kuwa katika wajibu. Dalili ni ile ile.
Mimi nachotaka uniambie ni kuwa haifai kwa mwanaume nae kusomea fani yeyote sasa hivi kama ambavyo haifai kwa mwwnamke kutokana na michanganyiko unayoisema kuwadhuru wote.Jenga hoja. Hivi hukuona madhara ya mchanganyiko wa wote kati ya wanaume na wanawake ? Wanaume wameharibu ndoa zao kwa sababu ya michanganyiko. A mazingira kadhalika Wanawake.
Nilikuuliza kuwa kinyume na asili haina maana ni haramu.Sasa usitoke nje ya mada, mada inahusu asili ya mwanamke ni kukaa nyumbani, na asili yetu sisi ni kutoka na kutafuta. Sasa jenga hoja kutokea hapa.
Aameen.Mungu atuepushe sote na hili mbali.
Kuna watu miongoni mwa Waislamu wanataka watakachokifuata wao Waislamu sote tukifuate hicho hicho. Hii ni siasa ya Firauni! Firauni alikuwa atakachokiona yeye ni sawa hicho kinapita kwa ninyi nyote nacho ni halali kwenu kuwa sawa.
Mfano wa watu hawa ukimkhalifu anakuambia umemkhalifu Mungu na Mtume. Hajakhalifiwa Mungu na Mtume imekhalifiwa fahamu yako. Kwa nini tusiige mfano wa watu wema waliyotangulia mfano Imam Malik r.a.
Alipoambiwa kitu mfano wa Zurri anachokilazimisha jawabu lake linapingana na wewe Zurri unachokilazimisha kwenye huu Uzi. Alimjibu Khalifa kwa ufupi tu kuwa Maswahaba walienda sehemu mbalimbali kwa kutawanyika kufundisha dini na walikuwa na dalili kwa kile walichokifikisha kwa watu. Ukitaka wafuate mwenendo wangu tu hali ya kuwa tumetofautiana kwenye ufahamu wa baadhi ya mambo na kila mtu ana dalili ukilazimisha itakuwa si sawa.
Sasa Bw. Zurri jiangalie mahesabu yako kwenye dini unapiga kama mahesabu ya siasa ya Firauni. Ni lazima tukuambie ukweli, huko unakoelekea ambapo wewe unakuona pako sahihi ukweli ni kuwa unakopaelekea huko umepotea.
Ibn Sina R.A anasema: "Sema tumepewa mtihani tumeonjwa na watu ambao kwamba wanadhani Mwenyezi Mungu hakuwaongoza watu kwenye haki isipokuwa ni wao."
Hao watu aliyowasema Ibn Sina wewe ni mmoja wao. Kingine ujibuji wako ni wa kiburi (dharau dharau) kwamba mimi ni bora najua kuliko wewe. Sasa hayo nayo ni mahesabu ya Ibilisi. Yaani mahesabu yako unayapiga kama Ibilisi.
Kazi katka mahitaji ya kila siku bali kazi huwa sababu ya kukidhi mahitaji ya kila siku. Elewa hili.Kazi ni katika mahitaji ya
Mahitaji ni matumizi mzee, huwezi kusema kazi ni mahitaji, kila Kiswahili chepesi sanaMwanamke ambae anafanya kazi apokee mshahara mwisho wa mwezi akanunua mahitaji yake ya mwezi kwa siku moja hana tofauti na mwanamke ambae kila siku anaenda kupanga dagaa sokoni akawauzia watu.
Kaka jifunze Kiswahili ujue sisi Waswahili tuyatumiaje maneno. Tunapo enda kazini huwa tunaenda kufanya kazi tulipwe ujira kisha tukidhi mahitaji ya kila siku kama vile chakula, mavazi (Japo kuvaa nguo mpya si hitaji la siku).Hawa wote wanaenda kwenye mahitaji yao ya kila siku,tofauti ni mfumo tu.
Hadithi zimefafanua aya kwa matendo na hadithi ziko nyingi.Wewe kwanza uoneshe ni wapi aya imesema kuwa watoke kwa dharura kama unavyoruhusu wewe ?
Dharura sifa yake kuu ni kutengua katazo.Sifa ya dharura inakuwaje kwa mujibu wa sheria ?
Ni dharura ndiyo maana mtume aliwaambia maswahaba, wasiwakataze wanawake kwenda misikitini ikitokea wakienda, kadhalika ndiyo maana ikawa sala ya Mwanamke huwa bora zaidi Nyumbani na si msikitini.Mwanamke kwenda msikitini ni dharura ?
Uzito zaidi na Wepesi zaidi una maanisha nini ?Kwa kipimo gani iwe ni dharura wakati kusali kwake msikitini ndio uzito zaidi na kuswali kwake nyumbani ndio wepesi zaidi ?
Hakuna Kiswahili cha namna hii kijana, usilazimishe mambo, yaende unavyotaka wakati Waswahili tunatumia tamko vingine.Ninaposema mahitaji nakusudia mwanamke kutoka lwenda kazini kutafuta kipato.
Hili unataka niliseme mara ngapi ? Au wapi labda nilisema mwanaume ameruhusiwa kuchanganyika. ?Mimi nachotaka uniambie ni kuwa haifai kwa mwanaume nae kusomea fani yeyote sasa hivi kama ambavyo haifai kwa mwwnamke kutokana na michanganyiko unayoisema kuwadhuru wote.
Hili unasemaje ?
Huu mfano wako haukai hapa, na hili ni tatizo lingine ka kutokuwa makini.Nilikuuliza kuwa kinyume na asili haina maana ni haramu.
Nikakupa mfano.
Kulea asili ni kazi ya mwanamke tokea asili.
Je mwanaume kulea ni haramu ati kwa sababu sio asili yake ?
Naona umemtaja Ibn Sina, watu wa Magharibi walimuita "Aviccena" huyu ni Aboo ‘Alee Al-Husayn ibn ‘Abdillaah ibn al-Hasan ibn ‘Alee ibn Sina alifariki mwaka 428H. Sasa ukitajiwa ujue uongofu anao ukusudia Ibn Sina ni upi.Ibn Sina R.A anasema: "Sema tumepewa mtihani tumeonjwa na watu ambao kwamba wanadhani Mwenyezi Mungu hakuwaongoza watu kwenye haki isipokuwa ni wao."
Dalili niiweke mara ngapi ? Embu niambie niiweke mara ngapu, ili uione ?Dalili ipi iweke tuijadili....
Tatizo sio dalili,tatizo unaitafsiri vipi.
Hizo ni huduma sasa na sio malezi.nilichokusudia ni malezi ya kukaa nyumbani na kulea familia,kuwaangalia watoto na kadhalika.Huu mfano wako haukai hapa, na hili ni tatizo lingine ka kutokuwa makini.
Mwanaume analea na hii ni asili yake, sababu yeye ni msimamizi wa familia, sasa una mtoa vipi mwanaume katika malezi ?
dalili ya kuwa mwanamke hawezi kutoka pasi na maharim,mwanamke hawezi kutoka ila kwa dharura...Dalili niiweke mara ngapi ? Embu niambie niiweke mara ngapu, ili uione ?
Kwenda msikitini haiwezi kuwa dharura kwa sababu zifuatazo.Tunasema ni dharura, sababu dalili ziko nyingi toka kwenye hadithi za Rasul, na akatuhusia ya kuwa Wake zetu wakituomba waende misikitini tusiwakataze, Wanawake walihudhuria masherehe zama za mtume na dalili ziko nyingi.