Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Inachezewa kijinga na nani?.mfumo? Au kuna mtu/kikundi cha watu?
 
Jurjan Ni mbishi hafu hajui anachosimamia kwa kweli, Yani wanawake tuna muumiza Sana kichwa
Angekua mtu makini kweli by now angepaswa kujua kuwa hili suala la wanawake kujishughulisha its a 'systemic issue' na sio suala la kuuliza upate jibu la mtu mmoja mmoja kwanini wanajishughulisha...ni mfumo wa maisha sasa

ni kama vile uulize kuhusu mfumo dume..its systemic..ni mfumo wa maisha ya wanaume

hivyo kutafuta jibu moja moja its a pure waste of time itakayomleta kwenye 'false generalizations' juu ya baadhi ya watu ama jinsia nzima ya kike
 
Kinachowatoa majumbani ni mazingira ambayo wameyakuta. Wakiwa na miaka 3 wanapeleka chekechea, baadae shule ya msingi mpaka chuonin ambapo huwa na ujuzi fulani, na hapo huingia kwenye nguvukazi ya taifa..
Hawana jibu kwa swali lako zaidi ya hili.
Asipoelewa hapa basi tena..
This is now a 'way of life'...si kitu watu wanaamua siku moja...hata leo watoe jibu moja

cc Jurjani Jumbe Brown
 
Mwanamke gani aliwahi kutoka na kulikemea hili na kuzilinda heshima zao na thamani zao ?
Ushawahi msikiliza Mh Mama Samia akiwa anatoa nasaha kwa wasichana?.ulishasikia hekima anazoongea kweli?.
 
Watoto wakishaanza shule unakaa nyumbani kusimamia nini siku nzima?
Shule ni sehemu ndogo sana katika maisha ya mtoto kwa munasaba wa malezi.

Pili, kabla ya mtoto kwenda shule malezi ni ya mama au ya muhudumu wa nyumbani ?

Tatu, unafikiri mama mlezi anatakiwa awe na muda gani wa kukaa na mtoto wake ? Vipi akiwa kazini, na watoto wako shuleni ? Mlezi anakuwa nani ? Suala la familia siyo sawa na suala la kuongoza magari barabarani, au suala la mafubdi bomba kuunga mabomba ni mfano, ni muunganiko wa ndani wenye kutaka elimu, namzingatio na kuangalia mustakabali wa kizazi huko mbeoeni.
 
Ushawahi msikiliza Mh Mama Samia akiwa anatoa nasaha kwa wasichana?.ulishasikia hekima anazoongea kweli?.
Sijawahi kumsikia, kama utaweza kuwasilisha ambacho huwa anawaambia itakuwa bora zaidi.
 
Unakimbia hoja sana , ukibanwa unajidai kuandika kwa hasira. Jibu tu taratibu si umesema kwenye maada tuzingatie ustaarabu?
 
Ss kila mtu aishi km wake zako?
Kila mtu anatakiwa kuishi kwa usahihi, huku akizingatia kuilinda afya ya akili yake, umbile lake, nasaba yake, utu wake,mali yake na mfano wa hayo.
 
Unakimbia hoja sana , ukibanwa unajidai kuandika kwa hasira. Jibu tu taratibu si umesema kwenye maada tuzingatie ustaarabu?
Labda unionyeshe hoja niliyo kimbia hapo utakuwa sahihi, lakini kudai tu haya ni matumizi mabaya ya akili.

Ahsante.
 
Asipoelewa hapa basi tena..
This is now a 'way of life'...si kitu watu wanaamua siku moja...hata leo watoe jibu moja

cc Jurjani Jumbe Brown
Tulipo pewa akili hatukuambiwa kuzitumia kichwa mchunga bali kukabiliana na changamoto kwazo. Hii ndiyo kazi ya akili huku ukiangalia faida na hasara zinazo patikana humo.

Kuzaliwa na kuyakuta mambo fulani si hoja ya kukuambia ufate kila jambo unalo kutana nalo, kwani kufanya hivi ni uhayawani na kuizuia akili isifanye kazi yake, umepewa akili ili upime lina faa na lipi halifai.

Kihistoria huko magharibi wanawake walikuwa hawana haki ya kumiliki mali, lakini watu walikuta hali hii, je swali ni sawa watu waishi kwa kuwazuia wanawake wasimiliki mali ? La hasha, ila ukirudi nyuma utaona ya kuwa wanawake wana haki ya kumiliki mali na hili limesharuhusiwa tangu zamani.
 
Shule inachukua muda mwingi sana watoto wakishaanza

kabla ya kwenda shule mlezi ni wazazi wakisaidiana na watumishi wa ndani

muda wa malezi si maalumu ni jukumu la maisha kumlea na kumtunza mtoto hata kama akijiweza basi hata utamshauri

akiwa shuleni, at that time 't' mlezi ni mwalimu
 
Sijawahi kumsikia, kama utaweza kuwasilisha ambacho huwa anawaambia itakuwa bora zaidi.
Basi labda ndio maana una mtizamo huu ulionao.,
She is the best ktk maadili, juzi tu katoka kuusia mabinti wajiheshimu na wawe watulivu
 
Ss km ruksa kumiliki mali...shida nini kutoka kujishughulisha ?
 
Wewe Shia na shahidi huna kwani hata Mashia nao hujiita Ahlu Sunnah wal Jamaa, ila tunap wapima kwenye mizani ni baina Mashariki na Magharibi.
Ona Ulivyokuwa Zwazwa....unapata wapi mamlaka ya kuniingiza kundi nisilokuwemo?!!!

Wahabi mna matatizo makubwa mno KATIKA kuwatuhumu na kuwashambulia wengine.......

Mashia nao wana matatizo fulani ya hovyo KUWATUSI na kuwatukana waja wema waliopita(wao WAKIWA hawapo) KWA sababu zao za misukumo ya siasa ndani ya DINI...


Ngojea Nirejee kwenu.....

Labda Mjinga TU atataka kujiunga nanyi wahabi kwa kule kupenda kwake kufundishwa CHUKI kwa rejea zenu za DINI....

Labda Mjinga tu mwenye Njaa anayeona fursa za Kuishi kupitia DINI atakuwa mfuasi wenu kwa kuwa MABWANA zenu Wauaji wa familia ya Al Saud wanatoa FURSA ZA KUSOMA kwao ili muje kueneza UTOPOLO wenu kwa FAIDA ya kulinda UTAWALA wao DECEPTIVE TO THE MUSLIMS,ARABS and the world as a whole.....

Labda Ni Yule Mjinga tu katika jamii zetu anayetaka kuwa Karibu na TAASISI zenu ama taasisi mnazowapa MISAADA ya kuwajengea majengo,Muswalah,Vituo vya watoto yatima,kuwapa nyama za ngamia,mbuzi na kondoo,kuwapa Kanzu,Jilbab,vilemba,tarabush na TENDE zinazopunguzwa kutoka kule zilizokotoka na kufanywa miradi na viongozi wenu........

Endelea KUROMOKWA ujinga na upumbavu unaotiririka ndani ya damu na Neva zako za fahamu,kwani huenda UMEKUZWA HIVYO TOKA UTOTO WAKO......

Baada ya Aundhubillahi minashshaytwani rajjim "innal batwila kana zahuka",HAKIKA BATILI NI YENYE KUONDOKA.

Kalaghabaho
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Loooh kweli ni WEAK MEN....πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…