M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Dhubutu, hakuna mwenye nerves za kuongea chochote ambacho hakitawafurahisha Samia, Abdul na Kikwete.Ngoma nzito inaweza kudhihirika bungeni kama wale jamaa waliomtetea huko wataamu kukinukisha kwenye kumthibitisha makamu mpya kwa kupiga kura ya kutokumkubali
Tukubali pia haya ya kuua, kuteka na kundi zima la Fwele gang(wasiojulikana) muumbaji wake Jiwe Magu.Acha uongo ndugu, Magufuli alikuwa hapendi mambo ya hovyo sio kunyanyasa mfano kukemea ufisadi wa wa ccm wenzake ulikuwa ukifanywa kwenye chama hayo ni manyanyaso, hivi utafananisha kipindi cha Magufuli na kipindi hichi kweli
myonge mnyongeni haki yake mpeni pamoja na yote Magufuli hakuwa Malaika ila kwa muda mfupi alifanya kazi kubwa sana kwa kuanzisha miradi mikubwa
Goodluck Jonathan wa Nigeria alikubali kushindwa na Buhari.Nchi gani hapa Africa uchaguzi uwe huru na haki, rais aliye madarakani ashinde? Hakuna
mkuu ukiwa nje ya Mfumo huna nguvu yoyote Nchimbi ukimvua uccm wake hana watu wa kumpigania huku nje toafuti na Lissu ambaye tayari alishatengeneza kijiji chake nje ya mfumo.EN ni 'insider'' anaijua CCM na alijua nini kinafuata. Alikuwa na habari zote! alikataa makusudi ili kusetiri uso wake siku zijazo!
EN hakutegemea Marafiki, alijifunza kutoka kwa Lowassa, Membe, Ndugai etc. Mahakamani kwa kesi gani? Uhaini!
Hili litakuwa kosa wakilifanya! EN ata spill out the beans. EN ni insider
Naam!
Nasikia eti EN aliitwa kwenye maadili hakwenda labda anakumbuka Horace Kolimba alipotoka kuhojiwa kwa kauli ya CCM imepoteza uelekeo kilichofuata ilikuwa sala ya Wafu
Hata iweje hamuwezi mtenga magufuli na haya kwasababh yeye ndiye aliyepalilia ..umesahau utekaji ulianza kuonekana kushamiri enzi za magu,ufisadi pia 1.5T akaja kumtoa. CAG kihuni kisa alifichua huo ufisadi bado akina makonda Mkuu wa mkoa tu akawa tajiri wa kuitisha,ujambazi wa sabaya pia vyote hivi aliwaambia chapeni kazi😀Acha uongo ndugu, Magufuli alikuwa hapendi mambo ya hovyo sio kunyanyasa mfano kukemea ufisadi wa wa ccm wenzake ulikuwa ukifanywa kwenye chama hayo ni manyanyaso, hivi utafananisha kipindi cha Magufuli na kipindi hichi kweli
myonge mnyongeni haki yake mpeni pamoja na yote Magufuli hakuwa Malaika ila kwa muda mfupi alifanya kazi kubwa sana kwa kuanzisha miradi mikubwa
Watawala wanaamini ya October 29,2025 yalishasahaulika...hakuna mapinduzi yoyote yaliyopangwa Oct 29.
..Mama ni mzembe na hana confidence.
..alikuwa na mapesa kibao ya kampeni kuanzia walizojipatia kupitia kashfa ya uagizaji wa sukari, na BILLION 200 alizochangiwa na mafisadi.
..sasa pamoja na mapesa yote hayo, kwa sababu hana confidence, akalazimisha Polisi, na Usalama, wamsaidie kushinda uchaguzi. Matokeo yake ndio ghasia na mauaji ya OCT 29.
CCM siku wakidhibitiwa kupora uchaguzi ndio itakuwa mwisho wao. Nadhani watakuwa none existence kama TADEA au TLPHivi mnaamini kweli uchaguzi ukiwa wa huru na haki hao CCM watashinda?
Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?Acha uongo ndugu, Magufuli alikuwa hapendi mambo ya hovyo sio kunyanyasa mfano kukemea ufisadi wa wa ccm wenzake ulikuwa ukifanywa kwenye chama hayo ni manyanyaso, hivi utafananisha kipindi cha Magufuli na kipindi hichi kweli
myonge mnyongeni haki yake mpeni pamoja na yote Magufuli hakuwa Malaika ila kwa muda mfupi alifanya kazi kubwa sana kwa kuanzisha miradi mikubwa
Ungetubu kwanza dhambi za kushadadia maovu kipindi cha Magufuli… usipotubu acha zamu ya wengine kukosea nayo ipite, vumilia dawa ikuingie. Siungi mkono yanayoendelea ila ninakumbuka jinsi ulivyokuwa kabla ya Magufuli kuingia madarakani, kipindi cha Magufuli na sasa hivi vilio, napata faraja walau nawewe unaumia.Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa hakuwa mwanasiasa mwenye mikakaiti mizuri. Alikuwa anafanya maamuzi ambayo kama kuna watu walikuwa wanamuunga mkono basi alikuwa amepigwa upofu (blind sided) wa kutokujua nani anamtakia mema.
Nakumbuka sakata la Lowassa, lakini kabla ya hapo mambo ya kina SAS enzi zile. Alipotangazwa kuwa Makamu wa Rais sikuwahi kudhania alikuwa ana potential ya nyadhifa kubwa hiyo. EN alikuwa ni zao la CCM; aliipenda sana CCM na bila CCM asingekuwa hapo alipo. Inawezekana hili ndiyo kosa lake kubwa ambalo anaenda kulilipia. Inawezekana zile ziara zake za karibuni kwa viongozi mbalimbali wa tofauti zilikuwa ni kuomba wampe nafasi ya kuzungumza SSH. Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.
Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.
Naamini kama nilivyodokeza juzi usalama wa Nchimbi ni kuwa aamue kweli kujitoa ufahamau. Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika. Lakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga. Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".
Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.
Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
We msukuma tulia dawa ikuingie, enzi za Magufuli uliongea shombo nyingi sana humu, hizi ni zama zingine.Samia ni mzigo. Anatuharibia Tanganyika yetu.
Muda wa intervention umefika sasa.
Mlio karibu naye hebu fanyeni mambo.
Mnamkumbuka Indira Gandhi? 😉
Yaani tupo milioni 60+ halafu tunakubali kupelekeshwa na Samia?
Kaua maelfu ya Watanganyika na nyie mliopo huko mnamwangalia tu?
Shameful.
Hayo yote yameonekana leo?Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa hakuwa mwanasiasa mwenye mikakaiti mizuri. Alikuwa anafanya maamuzi ambayo kama kuna watu walikuwa wanamuunga mkono basi alikuwa amepigwa upofu (blind sided) wa kutokujua nani anamtakia mema.
Nakumbuka sakata la Lowassa, lakini kabla ya hapo mambo ya kina SAS enzi zile. Alipotangazwa kuwa Makamu wa Rais sikuwahi kudhania alikuwa ana potential ya nyadhifa kubwa hiyo. EN alikuwa ni zao la CCM; aliipenda sana CCM na bila CCM asingekuwa hapo alipo. Inawezekana hili ndiyo kosa lake kubwa ambalo anaenda kulilipia. Inawezekana zile ziara zake za karibuni kwa viongozi mbalimbali wa tofauti zilikuwa ni kuomba wampe nafasi ya kuzungumza SSH. Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.
Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.
Naamini kama nilivyodokeza juzi usalama wa Nchimbi ni kuwa aamue kweli kujitoa ufahamau. Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika. Lakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga. Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".
Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.
Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Naungana na huyo mdau huko juu kwenye comments aliye-volunteer mkono wake ujichagulie kidole.
Mzee Mwanakijiji, ajabu ni hii: Tunazungumza lugha moja lakini bado hatuelewani.Na. M. M. Mwanakijiji

Hivi hili nalo lilikuwa na utata?Sasa nadhani pia mmejua waliomuua Polepole ni akina nani.
Havina uhusiano wowote.Kitendo cha kuvuliwa uanachama, kinaweza kuathiri haki zake za ustaafu?
Unapata shida ya bure kumuelewesha huyo pimbi, huyo ni MZANZIBAR anafanya kusudi kutokuelewa..Oct 29 kulikuwa na makundi mengi lakini hakuna hata moja lilolenga kupindua serikali.
..kulikuwepo na kundi lililokuwa na hasira na uchaguzi hao walijielekeza kuharibu vituo vya kura.
..kuna kundi la vibaka ambalo lilijielekeza kufanya wizi mdogo mdogo ikiwemo kuvunja maduka.
..hiyo ni kwa uchache tu.
..kupindua nchi kuna hatua zake, na moja wapo ni kukamata taasisi nyeti kama Ikulu, makambi ya jeshi, uwanja wa ndege,...
..Sasa hebu jiulize kama waandamanaji walionyesha nia au uwezo wa kuvamia kambi yoyote ya jeshi.
Kwa akili zako nyingi ulitaka Mabeyo afanye nini?No ni Mabeyo. Yule jamaa basi tu.
Wana hofu kuuHali ni mbaya sana, watu waliolewa madaraka hadi kupitiliza yakawapofusha ndiyo wanalipeleka taifa hili pabaya, ile kauli ya Tanzania kisiwa Cha amani imeshakufa kifo kibaya sana, inahuzunisha