Alifariki kwa kuumwa akiwa hospitali india akipatiwa matibabuKilichomuua Ndungulile uliambiwa?
SS pia aghairi kugombea.Ndio tamaa zimewaponza ,wenzie wamestaafu yeye alikuwa anakomalia nini? Wenzake watamuacha?
Of CourseKifo ni kifo tu
ALISHASEMA CHURA KIFO NI KIFO TUHii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Dua za kuku hiziNje ya mada ; Samia hafai kuongiza Nchi hii, kifo cha ndugai hakiko mbali na mkono wake.
Kikubwa akiwa anaondoka ,aondoke na Zanzibar yao, hatuwataki tena kama wao wasivotutaka zaidi.
Kura ya maoni iitwe tuone kama huu muungano tunahuitaji , waende na zanzibar yao ili wakajijue kuwa bado kuna wapemba na waunguja waendelee kutengana.Mwl Nyerere aliongea hili na litatimia.
Huu ugomvi wa Wanamtandao na Sukuma Gang unaenda kumaliza wengi sana
Aliowataja Polepole kuwa alizungumza nao wanaanza kuondolewa mmoja baada ya mwingine.
Sukuma Gang ni wakatili ila Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu wabaya sana.
Mtandao kwenye kulinda ugali wao ni watu hatari sukuma gang hawaoni ndani.
Alafu operations zao ndo hivi. Kimya kimya. Unasikia tu mtu hayupo.
Bila Wazalendo kuamua kweli hii nchi ndo basi tena.
Siku si nyingi tujiandae kusikia Mzee Warioba is no more.
Mkipendana ndo hamfi?Nilichojifunza tuishi kwa kupendana huwezi jua..
Tanzanians demands formal announcement and the cause, even though we may not agree with what will be presented, just like it was in the case of our beloved Jiwe ( RIP).Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
PossiblyBaada ya uchaguzi kulikuwa na mpango wa kwenda bungeni kumwondoa ki-bibi nini, wakashtukiwa.
Ni sahihi, Job angewasumbua kuelekea 2030 na hasa hata hii last term ya bibie angapata shida kwake, maana watakuwa wanajua ya kuwa anaaga so wasingemuogopa any more and there could be increased rebellions in the party and the general system. It could be a calculated timing of events. It is better Amb Slow2 ale cover kwanza huko huko atarudi after 2030 when his enemies are all retired and became harmless.Mzee Warioaba hana madhara kwao.
Akifia hospitali Kuna afadhali ya kifo?Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Huyo Mwalimu ndie katuachia kirusi sisiem na katiba mbovu!Nje ya mada ; Samia hafai kuongiza Nchi hii, kifo cha ndugai hakiko mbali na mkono wake.
Kikubwa akiwa anaondoka ,aondoke na Zanzibar yao, hatuwataki tena kama wao wasivotutaka zaidi.
Kura ya maoni iitwe tuone kama huu muungano tunahuitaji , waende na zanzibar yao ili wakajijue kuwa bado kuna wapemba na waunguja waendelee kutengana.Mwl Nyerere aliongea hili na litatimia.