Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Hizi fikra au haya mawazo ya kimasikini yatakufanya ufe masikini,Dunia inafunguka kwa sasa,

Ipo siku mwisho utasema ujisimamie kazi zako zote wewe mwenyewe hutataka kuwaamini hata ndugu zako.
 
Nisamehe mkuu wangu, huyo jamaa ndo ameteuliwa kuwa msemaji wa serekali yetu kwa sasa. nisamehe boss si unajua hapa jf huwa kuna vimameno maneno tunatumiaga mkuu wangu? sorry chief i ddnt mean to offen yu, imetokea tu.
 
Kuna vimbwenelehi watakuja hapa kusema kuwa safari za rais ni privacy.

Kama anatumia hela zake sawa, lakjni kama anatumia kodi yangu basi kila dime counts
 
Wewe unataka rais awe anaenda wapi ili uone sawa? Kaombe kazi Ikulu ili uwe unampangia rais safari ambazo unazipenda wewe.
mkuu sasa na wewe unakuwa kilaza sasa, kwa hyo nikishapata kazi ikulu ndo nitakuwa na mamlala ya kumpangia rais safari, mkuu unajua mamlaka aliyonayo rais wetu kwa mujibu wa katiba ya 1970?
 
Kuna vimbwenelehi watakuja hapa kusema kuwa safari za rais ni privacy.

Kama anatumia hela zake sawa, lakjni kama anatumia kodi yangu basi kila dime counts
si muhimu,
halazimikuki kukujulisha au kutokukujulisha.

unawezajulishwa au unaweza usijulishwe hiyo ni hiari yake ilmradi gharama za za jumla za safari za Rais zilisha pitishwa kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…